hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wengi waliopoteza maisha au kupata majeraha kwenye maandamano hawakuwa na tahadhari au walishindwa kuiona hatari mbele yao kwa kuchukulia poa

    Warning: kwa yule yeyote ataekwazika kwa uzi huu naomba tusamehane sijaandika kwa ajili ya kukashifu au kusema baya kwa yeyote na wote mliofiwa na ndugu zenu mungu awape faraja kwenye hichi kipindi kigumu ,wale majeruhi wanaojiuguza wapone haraka na wote walipoteza maisha mungu( sisi wote wa...
  2. John Sin

    JamiiForums Tanzania Kweli watanzania wapo serious jukwaa la mapenzi na sports yamedoda hatari watu wapo jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko 24/7

    Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa Kweli watu...
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 "Kufreeze" kwa Vyombo vya Sauti za Umma: Hatari Iliyofichika Kwenye Njia Mbadala za Wananchi

    Hali hii imeonekana kwa uwazi nchini Tanzania katika miaka ya karibuni, ambapo baadhi ya vyombo ambavyo kiasili na kisheria vinavyopaswa kuwa mabega ya wananchi kama vile Bunge na vyombo vya habari vimeshindwa kuendeleza wajibu wao ipasavyo. Matokeo ya hali hiyo ni pamoja na kuziba kwa mianya...
  4. Silivian

    JamiiForums Tanzania Mpenzi Bila Majaribio ni Hatari

    Ifike mahali suala la kuoa kisheria liliangalie kwa ukaribu, mke pia ajitolee walau miezi 6. Kama ilivyo kuomba kazi, kwanza ujitolee wakuangalie..🫵🏾
  5. Seran

    JamiiForums Tanzania Kutapika damu kwa mgonjwa madonda ya tumbo inaweza kuwa hatari kiasi gani?

    Habari zenu, kuna kijana kafariki kwa sababu ya madonda ya tumbo hapa mtaani, inasemekana ametapika sana damu kabla ya mauti kumkuta na sio mara ya kwanza, hivi madonda hayahaya yanaweza kumpelekea mtu kutapika damu nusu ndoo? Kijana wa watu kafika hospitali wakajua amepata ajali! Nnajiuliza...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Video: Mbinu mpya na hatari ya Vibaka.

    GT Aisee hii inafanya watu tusiwe na moyo wa kusaidiana aisee.
  7. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nimekula asubuhi viazi vitamu mpaka sasa najamba mashuzi yananuka hatari

    Oya,mko poa? Asubuhi nimekunywa chai ya maziwa na viazi vitamu. Mpaka sasa najamba mashuzi yananuka hatari. Nifanyaje?
  8. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Tahadhali Kabla ya Hatari, Vitisho vya Usalama, Intel analysis

    Sitaki kuamini kwamba siasa za ndani ndio zimetufikisha hatua hii... Ila inawezekana Taifa linapokea vitisho vya kiusalama vinayopelekea kua na hari hii tuliyonayo na watawala hawana namna bali ni kutii Kama sio tatizo ni nini!? Mbona mambo mengi yanaepukika, tuache upumqavu/upu-uzi huo mara...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!! Tujitafakari!
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Tujitafakari!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamka na uchovu wa hatari baada kupelekwa mputa mputa na single mother

    Back to the topic, ile kauli ya usishindane na ulikotoka yamenikuta wakuu. Jana niliingia lodge na single mother mmoja. Huyu huwa nishawahi mlaga kama mara mbili hivi huko nyuma, najua huwa anashoo ya kibabe. Sasa jana ilizidi wakuu. Yaani huyu demu ni wale wanawake wembamba ambao huwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Aliyetarajiwa Kuweka Mfano Mzuri kwa Wanawake Kuwa Viongozi, Ageuka na Kuwa Dikteta Hatari.

    Siongezi neno: "Mwanamke aliyetarajiwa kufungua njia kwa wanawake wengine kuwa viongozi Afrika, kwa mshangao mkubwa, amegeuka kuwa dikteta hatari, na kuweka kiwango kipya cha udikteta, kiasi cha kumfanya M7 kuonekana ni mtakatifu" "A woman who was expected to open new frontiers for women...
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji hatari wa Tv kuanzia Inch 60

    Ebu leo wanandugu njooni tuzungumze kidogo. Mara nyingi sana huwa napishana mitazamo na watu juu ya namna ya usafirishaji wa tv kubwa kuanzia inch 60 na kuendelea. Huwa nawaambia kama umeweza kupata milion 1+ kwaajili yakununua tv ya ndoto yako kwanini ushindwe kutoa elfu 50 ya usafiri tv yako...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Siasa na Imani: Hatari ya Kutumia Dini Kama Kigezo cha Kampeni

    Ukishindwa kutumia busara katika kunadi sera zako wakati kampeni basi tumia utimamu kuangalia maneno unayozungumza. Ni hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakiingia katika kiwango cha ujinga na upumbavu kwa kutumia maneno ya dhihaka dhidi ya imani za kidini, hasa Ukristo, ili...
  15. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kulala na mtungi wa gesi ndani.

    Tena ile ambayo ni mikubwa mirefu inayotumia mipira ni hatari sana, bora ile midogo ya kawaida. Ikiwezekana mtungi unatakiwa ukae nnje halafu unauchimbia chini kidogo unaujengea ukuta juu unaweka kifuniko cha zege au cha bati unaweka kufuli, halafu mpira unatoboa ukuta kiufundi unaingia ndan...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Usipuuze Sauti Hizi 6 Kutoka Kwenye Kompyuta Yako — Ni Dalili Kubwa ya Hatari

    Kompyuta yako si kifaa kinachofanya kazi kimya kabisa. Ndani yake kuna fans, diski zinazozunguka, na sehemu za kielektroniki ambazo kwa kawaida hutoa sauti ndogo. Lakini pale sauti zinapobadilika ghafla kuwa kubwa zaidi, za ajabu, au zisizo za kawaida, hapo ndipo tatizo linaanza. Leo tutaeleza...
  17. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Adui Mdogo Lakini Hatari: Utitiri wa Kuku (Poultry Mites)

    Hawa wadudu wadogo sana wansumbua na kuwananyonya damu ya kuku wako . Wanaficha kwenye nyufa za mbao na sehemu zisizo na mwanga , ila usiku ndio wanashambulia. Wanaongezeka haraka zaidi kwenye mazingira yenye joto na unyevunyevu, na huenea kupitia nyumba uchafu wa mda mrefu wa kutosafisha banda...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni Hatari kufanya Utani kwenye Mambo ya Mungu "Toka lini shetani Kufukuza jini?"

    Kuna mda tunapoelekea sijui kama tuna jenga nchi embu pata huyu ndio kawa waziri
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Beki wa Simba Rushine De Reuck alibabuliwa na mpira usoni akawa anagalagala chini, alipoona hatari golini kwake akasimama kuendelea na mchezo

    Wachezaji wanaojitambua wanastahili heshima ya kipekee. Wachezaji wengi wa Tanzania hawafiki mbali maana hawajitambui. Wanalipwa mshahara, halafu wanageuka tena wanapokea hongo kukwamisha timu zinazowalipa mshahara. Wakifungwa hawajali, yaani kwao kucheza kwa bidii na maarifa siyo shida zao...
  20. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Nani Hatari Zaidi?

    Yupi mtu hatari zaidi kati ya yule anayepigana na wewe hapo hapo au kugombana au yule anayehifadhi maumivu yake?
Back
Top Bottom