Ricky Blair JF-Expert Member Joined Mar 13, 2023 Posts 562 Reaction score 1,148 Sep 15, 2025 #1 Yupi mtu hatari zaidi kati ya yule anayepigana na wewe hapo hapo au kugombana au yule anayehifadhi maumivu yake?
Yupi mtu hatari zaidi kati ya yule anayepigana na wewe hapo hapo au kugombana au yule anayehifadhi maumivu yake?
W Wolverine2 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2025 Posts 1,169 Reaction score 1,571 Sep 15, 2025 #2 Kwani wewe unasemaje?
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,889 Reaction score 133,884 Sep 15, 2025 #3 Wote
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,887 Reaction score 47,511 Sep 16, 2025 #4 Yule anayehifadhi maumivu ni hatari, ogopa sana mtu huyo