Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,577
- 14,337
mbona hakuna kinachoonekana...
mbona hakuna kinachoonekana...
Nia aibu sana! Halafu lile mama nalo linahangaika kufanya kampeni eti nchi nzima? Upuuzi mtupu!Yaani uzinduzi wa kampeni za kitaifa unafuatiliwa na watu 13?
Yericko Nyerere taambia nini watu?View attachment 3460559
How many hours ago?Yaani uzinduzi wa kampeni za kitaifa unafuatiliwa na watu 13?
Yericko Nyerere taambia nini watu?View attachment 3460559
Inasikitisha sanaTena hao 13 ni meza kuu walikuwa wana-confirm kama walicho-post kimeenda hewani.
Alikuwaga msoma Taarifa ya Habari Kama sipiriani msiba pale channel 10Huyo mgombea ni nani?

Huna hata D moja?mbona hakuna kinachoonekana...
Na sijui kampeni ya nini wakati tayari wamesema ye ndo rahisi.Nia aibu sana! Halafu lile mama nalo linahangaika kufanya kampeni eti nchi nzima? Upuuzi mtupu!
MimiHuyo mgombea ni nani?
Michezo hiiAlikuwaga msoma Taarifa ya Habari Kama sipiriani msiba pale channel 10