hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. technically

    JamiiForums Tanzania Kiufundi Simba Kuna tatizo kubwa

    Mechi 3 bao 0 yaani ufungi bao dakika 270 kwenye mpira haya ni maajabu kwa timu inayotetea ubingwa. Wachezaji hawajitumi Wala hawana Hali kabisa ukiwatazama usoni. Pamoja na kuuza wachezaji wawili ila Simba Kuna tatizo la kiufundi kwani Kuna mechi nyingi msimu ulioisha chama alikuwa amefiwa...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Ni hatari Sana KWa mwenye pumzi jitoa hufaham,kisa maisha na anasa za Dunia,Mtajuta siku

    Wakuu Mungu awe pamoja nanyi, Kwenye mada moja kwa moja Tz tupo wazee,vijana wa kike na kiume , ila Kama nguvu KAZI ya Taifa hili ,tumebaki tu, capacity yetu ya kushauri, kuelimisha imebaki tu, tupo Kama mariboti, tumekalia majungu , ubinafsi wa familia zetu ,ndugu ,matumbo yetu badala ya...
  3. Kilenzi _Jr

    JamiiForums Tanzania Kuwa kwenye Mahusiano na mtu anaekuzidi umri sana ni hatari?

    Salaam Wana JF, Je kuwa kwenye Mahusiano na mtu aliyekuzidi umri sana ni hatari? Na kama ni hatari Jamii ifanye vipi kuepuka hili? Nawasilisha🙏
  4. faokipe

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni hatari tuendako kama hivi ndivyo vigezo vya kupata ajira serikalini

    Niende kwenye nada moja kwa moja ,nimemaliza kidato Cha sita mwaka 2019 nikapata nafasi ya kwenda chuo kikuu, mkopo sikupewa (nilikosa) kutokana na changamoto ya kipato kwenye familia nikawa Sina namna ya kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Juzi hapa likatoka tangazo la nafasi za kazi polisi...
  5. Edychristian

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini Homa ya Ini ni hatari zaidi ya UKIMWI

    Watu wengi hawafahamu Ugonjwa wa Homa ya Ini maarufu kama HEPATITIS B ugonjwa huu unasababishwa na kirusi anaeitwa hepatitis B virus ugonjwa huu unawezamuingia mtu mwilini kwa njia ya majimaji yatokanayo mwilini kwa mtu alie athirika na ugonjwa huu Umoja wa mataifa wamesema Ugonjwa huu unaua...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hatari ya machinga

    Kwenye swala la MACHINGA serikali inahitaji umakini mkubwa kuwatoa Hawa watu kwakuwa wamekuwa wakubwa Kama mbuyu. Kama mnakumbuka miaka ya 2000-2015 walikuwa wanafurushwa Sana na migambo. Kuanzia mwaka 2016 mpaka sasa wamejitawala kila mahali. Ukifika hapa Arusha Ni kero kubwa Sana. Nafikiri...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Dereva wa treni ya abiria hupataje taarifa kama kuna dharura au hatari ili aweze kusimama

    Kwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje huku treni iko kwenye mwendokasi lakini bahati nzuri treni ikasimama katikati ya pori na hiyo...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Upweke huu ni hatari…

    Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!! Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!! Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Amerika Kusini ni bara hatari mno kwa watetezi wa mazingira kuishi

    Shirika la kutetea mazingira la Global Witness limesema rekodi ya watu 227 waliuwawa kote duniani mwaka jana wa 2020 kutokana na utetezi wa mazingira. Shirika hilo linasema idadi hiyo ni sawa na watu 4 kila wiki na karibu robo tatu ya vifo hivyo vimetokea Amerika Kusini. Katika ripoti yake ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Sioni ajabu mapinduzi ya kijeshi Guinea. Yatafika haraka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

    Akihojiwa na kipindi cha BBC kinachorushwa na television ya star TV tarehe 7 mwezi huu kuhusu mapinduzi ya Guinea, Jenerali Ulimwengu amesema yeye haoni ajabu Kwa yale yaliyotokea Guinea. Na akatabiri pia kuwa hali hiyo ya kimapinduzi ya kijeshi itafika Kwa Kwa haraka sana ktk nchi zote zilizo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Asiyechanja hatarini kufa kwa COVID-19 mara 11 zaidi ya aliyechanjwa

    Utafiti mpya uliofanywa na Kituo Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) unaeleza kuwa chanjo ya Covid-19 bado ina umuhimu mkubwa katika kudhibiti homa kali na vifo vinavyotokana na Covid-19. Aidha, inaelezwa utafiti huo ulichunguza visa 600,000 kutoka katika Majimbo 13...
  12. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Vijana tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI upo na bado ni hatari

    Naomba kuwaasa vijana wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI bado upo na ni hatari. Miezi 4 iliyopita nilifanya ujinga nikalala na mwanamke bila kutumia condom ama bila kumfanyia vipimo vya kiafya kujua hali yake, baada ya ngono tukafanya vipimo na ikagundulika mwenzangu alikua na...
  13. bahati93

    JamiiForums Tanzania Hatari na nusu panzi kutoka kuzimu

    NDUGU WATANZANIA NOMAAAA SANAA Picha lenyewe linaanza mi nipo zangu natembea kuelekea kituoni. Hii barabara nayotembea ni ya changalawe na kando yake kuna wigo wa block mrefu sana kwenda juu na juu ya huu wigo kuna nyaya za Senyenge kwa msisitizo. Kwa kuwa jua ni kali sana kipindi hichi cha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Serikali haina mamlaka kuhoji juu ya imani za watu, hii ni hatari sana

    Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie? kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu Nauliza pia kile kikao Cha Gwajima na Mkurugenzi wa...
  15. Mag3

    JamiiForums Tanzania Adui hatari nambari wani wa taifa letu Tanzania ni CCM, je unaafiki?

    Nakiri kuwa sijawahi kuishabikia CCM hata kwa bahati mbaya. CCM ni chafu na inanuka. Siwezi kuishi kwenye nyumba inayonuka, nikijifunika blanketi moja na wanaonuka, nikikesha na wenzangu wanaonuka halafu nidanganye umma kwamba sinuki. Kuwa mwanachama wa CCM maana yake ni kwamba huo uvundo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ki wapi kile kirusi hatari cha Delta

    Wakati kimeingia nilijua tutazika mpaka panzi lakini naona hakuna kilichotokea Misongamano kama yote nchi nzima, wagonjwa wa sukari, wazee, wenye HIV nk naona bado wako mtaani wanadunda Nimeamini korona ni usanii tosha na imetengenezwa ili kufanikisha mageuzi ya mifumo fulani ya kifedha ya...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

    Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati. HT gazeti Mwananchi.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Goli la Kelvin Kapumbu Yanga day

    Umeshaambiwa Wananchi wapo katika Siku yao na Wewe tena Kelvin Kapumbu bila Huruma unapiga Bao la nguvu na la Ushindi hapo hapo.
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi

    Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi au vyote kwa pamoja hapa Tanzania, hivyo uwezekano wa kupata ajari ni mkubwa dereva asipokuwa muangalifu. - Hizi ni baadhi ya barabara hatarishi Tanzania. 1. Nyang’olo barabara ya Iringa kwenda Dodoma 2. Barabara ya mlima Kitonga...
  20. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kubambikiwa kiti na Microphone ni hatari kuliko Corona, barakoa na chanjo

    HATARI!!! KUBAMBIKIWA KITI na MICROPHONE ni Hatari kuliko Corona, Barakoa na Chanjo! Rais Jakaya Kikwete aliwahi kulijulisha Taifa kuwa kutokana uhasama ndani ya medani za Kisiasa, ilifika wakati "watu walikuwa hawaachiani glasi walipotoka kwenda maliwatoni". Siasa za makundi na uhasama...
Back
Top Bottom