Uongozi wa TAZARA mnatia aibu , mnashindwaje kubadili hata balbu tu ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,765
218,383
Screenshot_2023-09-25-16-47-05-1.png

Tazara Makao Makuu Dar es salaam ilikuwa sehemu nzuri sana ya kupendeza , na hasa usiku , kwa yale mataa mazuri yaliyozunguka ofisi hizo , inasemekana yaliwekwa na Wachina .

Sasa inaonekana yote ni kama yamezima kutokana na balbu kuungua , yapo yaliyozima yapata miaka 10 sasa , yaani kubadili balbu kunachukua miaka zaidi ya 10 ! hii ni aibu kubwa kwa uongozi wa shirika hilo .

Ikiiwa shirika kubwa kama hili linashindwa jambo dogo kama hili litaweza nini ?
 
Shirika lishajifia muda tu,hata kuendeshwa linaendeshwa Kwa hasara ndo maana imefikia maeneo yao mengi,wameuza na wanaendelea kuuza kama vile maghorofa yale ya veterinari ambapo yamechukuliwa na kampuni ya afya(watercom) na maeneo ya sandali karibia na kiwalani Kwa binti musa,zilipojengwa bandari kavu
 
Daaaah
 
View attachment 2762009

Tazara Makao Makuu Dar es salaam ilikuwa sehemu nzuri sana ya kupendeza , na hasa usiku , kwa yale mataa mazuri yaliyozunguka ofisi hizo , inasemekana yaliwekwa na Wachina .

Sasa inaonekana yote ni kama yamezima kutokana na balbu kuungua , yapo yaliyozima yapata miaka 10 sasa , yaani kubadili balbu kunachukua miaka zaidi ya 10 ! hii ni aibu kubwa kwa uongozi wa shirika hilo .

Ikiiwa shirika kubwa kama hili linashindwa jambo dogo kama hili litaweza nini ?
Hamna ofisi hapo sahiv limebaki pagara tu vyoo vyao tu UTI hii hapa ukitaka kuamin nenda kapande treni yao pale tazara utajionea ya kusikitisha
 
Yaaani Bora hiireli waludishiwe wachina hawatanzania nawazamhia nikichefucheata reliimechoka wanachojua niupigajitoo halinimbaya sana jalibusikumoja kupandatren
 
Kati ya ndoa ambazo sijawahi kuzielewa hapa duniani, basi ni hii ndoa ya Tanzania na Zambia kwenye hili shirika, na ile ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.

I wish ningekuwa Rais, hakika ningetafuta namna nzuri ili kila nchi ijitegemee kwenye uendeshaji wa shirika/nchi yake. Hii ingepunguza mambo ya kutegeana na pia ukupe.
 
Noma sana
 
View attachment 2762009

Tazara Makao Makuu Dar es salaam ilikuwa sehemu nzuri sana ya kupendeza , na hasa usiku , kwa yale mataa mazuri yaliyozunguka ofisi hizo , inasemekana yaliwekwa na Wachina .

Sasa inaonekana yote ni kama yamezima kutokana na balbu kuungua , yapo yaliyozima yapata miaka 10 sasa , yaani kubadili balbu kunachukua miaka zaidi ya 10 ! hii ni aibu kubwa kwa uongozi wa shirika hilo .

Ikiiwa shirika kubwa kama hili linashindwa jambo dogo kama hili litaweza nini ?
Ni Habari tupu!!
Majuzi nilipita maeneo.yale nikienda Ukonga. Angalia Ile neno TAZARA! Herufi moja imepotea na hawawezi kuirudishia Ina maana hamna uongozi unaona hilo!
Inasoma T ZARA!!
Nchi ya miujiza!
 
View attachment 2762009

Tazara Makao Makuu Dar es salaam ilikuwa sehemu nzuri sana ya kupendeza , na hasa usiku , kwa yale mataa mazuri yaliyozunguka ofisi hizo , inasemekana yaliwekwa na Wachina .

Sasa inaonekana yote ni kama yamezima kutokana na balbu kuungua , yapo yaliyozima yapata miaka 10 sasa , yaani kubadili balbu kunachukua miaka zaidi ya 10 ! hii ni aibu kubwa kwa uongozi wa shirika hilo .

Ikiiwa shirika kubwa kama hili linashindwa jambo dogo kama hili litaweza nini ?
Tatizo ni wachina hawakuacha maelekezo, na siku wakibadili hizo taa zilizoungua msije mkalalamika kuwa haiwezekani balbu moja inunuliwe kwa shilingi laki nane mkisahau hizo ni taa za stesheni ya treni.
 
Back
Top Bottom