Kwanini dalili hii ya kubalehe haifundishwi hata shuleni?

ephen_

JF-Expert Member
Oct 28, 2022
3,624
14,808
Habari wanaJf!

Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili watoto wasijishangae wanapopata mabadiliko, waweze kukabiliana nayo. Mbona dalili moja hawaizungumziii? Awatoi elimu jinsi ya kukabiliana nayo?

KUPATA SANA HAMU YA TENDO LA NDOA!
Kipindi cha balehe hamu ni kubwa sana na ndo watoto wakiume na wake wanapofanya mambo mabaya madhara yake mimba, magonjwa, ushoga.

Zama hizi si za kuficha mambo kwa kigezo cha mila potofu na Aibu.

WATOTO WAPEWE ELIMU!
 
Mbona inafundishwa kuanzia msingi katika somo la sayansi? Tena ukifundisha mambo hayo wanaofurahia ni wanafunzi wa kiume, wa kike hujisikia vibaya sana wanaona kuwa wanadhalilishwa.

Ukute we ni mwalimu wa kiume kijana unafundisha, wanafunzi wa kike wakipatwa mihemko kutokana na makuzi hayo utaisoma namba.

Kama huna maadili ya ualimu utalabua wanafunzi wanaokuhemkia usijue kuwa wako kwenye kipindi cha mpito katika makuzi yao.

Wanakuwa na hisia kali za kutaka mapenzi hata na mwalimu wao kijana wanamuona ni saizi yao. Ukijua hayo hawakupi shida unawakwepa tu japo watakudharau kuwa hutaki kuwashughulikia
 
Mhitimu wa ujinga huyu
we ulitaka uambiwe utaanza kupata nyenyenye
Unaambiw utaanza kudevelop sex desire sio You will be horny af
 
Habari wanaJf!

Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili watoto wasijishangae wanapopata mabadiliko, waweze kukabiliana nayo. Mbona dalili moja hawaizungumziii? Awatoi elimu jinsi ya kukabiliana nayo?

KUPATA SANA HAMU YA TENDO LA NDOA!
Kipindi cha balehe hamu ni kubwa sana na ndo watoto wakiume na wake wanapofanya mambo mabaya madhara yake mimba, magonjwa, ushoga.

Zama hizi si za kuficha mambo kwa kigezo cha mila potofu na Aibu.

WATOTO WAPEWE ELIMU!
Wewe ni mjinga.
Ina maana kule O-level hujawahi jifunza reproduction?
Au ulikuwa unadoji shule?
Au kulikuwa hakuna waalimu?
 
Labda kipindi inafundishwa ww hukuhudhuria kipindi. Mbona sisi tulifundishwa kabisa
 
Mbona inafundishwa kuanzia msingi katika somo la sayansi? Tena ukifundisha mambo hayo wanaofurahia ni wanafunzi wa kiume, wa kike hujisikia vibaya sana wanaona kuwa wanadhalishwa.

Ukute we ni mwalimu wa kiume kijana unafundisha, wanafunzi wa kike wakipatwa mihemko kutokana na makuzi hayo utaisoma namba.

Kama huna maadili ya ualimu utalabua wanafunzi wanaokuhemkia usijue kuwa wako kwenye kipindi cha mpito katika makuzi yao.

Wanakuwa na hisia kali za kutaka mapenzi hata na mwalimu wao kijana wanamuona ni saizi yao. Ukijua hayo hawakupi shida unawakwepa tu japo watakudharau kuwa hutaki kuwashughulikia
Ila itasaidia kumuepusha na miaka 30 ya jela. Kule utakutana na jamaa ambao wameshapita kipondi cha balehe ila wana akshi za ajabu so utageuzwa kuwa mke wa watu wengi. Ni vyema tujifunze kujicontrol na kuicontrol miili yetu. .
 
Back
Top Bottom