Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
Mwaka 2008 Zimbabwe ilifanya uchaguzi mkuu, chama cha upinzani cha MDC cha Morgan Tsavangirai kikashinda urais na viti vingi vya ubunge, kilichotokea tume ya taifa haikutangaza matokeo kwa miezi miwili baada ya uchaguzi.
Hatimaye matokeo yalipotangazwa tume ikamtangaza Morgan Tsavangirai...
Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90.
Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani.
Chadema mwaka huu...
Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni.
Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii.
Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda.
Tanzania.
1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda
2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi
3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France
4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam
Kenya
1. Safaricom - Peter Ndegwa...
Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League) ambayo Kwao (hawa Wachezaji wa Kimataifa na wenye Uzoefu) itakuwa ni kama tu kufanya Mazoezi.
Wala...
Shalom jukwaa!
Nilipokuwa mwanfunzi nilikuwa nina tabia ya kutofika shuleni kwa sababu nilikuwa sipendi shule kuliko kitu chochote kwa kipindi kile lakini wazazi walikuwa wananilazimisha kwenda shule hata kwa fimbo wakati mwingine (nawashukuru sana kwa hilo).
Kule kutokupenda shule kulinifanya...
Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali.
Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa.
Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi.
Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
Hii tabia ya siasa za Tanzania hivi leo mtu akishika tu uraisi basi watu wengi wanajitoa akili na kujifanya vipofu hata watu wakitekwa au kuuwawa wao ni sawa tu.
Hii hali ilianza kwa magufuri sasa hivi tunaiona imeota kwa samia, inamaana mtu kushika uraisi sijui wenzetu wanamuonaje mtu huyo ...
Kwa wale ambao tunakumbuka yaliyokuwa yanawakuta rai wa Uganda miaka hiyo, najiuliza hivi kuna watu walikuwa kabisa wanamtetea kwa maovu yake aliyokuwa anayafanya? Au wananchi wake walisimama kupingana naye, na Nyerere alipokwenda kumuondoa alionekana ni muhaini?
Bila kujali kama waliingia kwa mlango wa mbele au waliingizwa kupitia mlango wa nyuma, bunge lina Wabunge alau hata 5?
Nimejaribu kuwahesabu bila mafanikio. Nimepata kama watatu tu:
1. Jumanne Kishimba!
2. Josephath Gwajima!
3. Luhaga Mpina!
Hao tu ndiyo Wabunge waliopo kwa sasa bungeni?
Gwajima asijibiwe, atachafua mno hali ya hewa
Kama mnakumbuka kipindi cha sakata la mzee Lowasa, mtakubaliana na mimi kuwa yule mtu hana woga
Nimewahi kumsikia mara nyingi akitamka
Yeye haogopi, maana yeye ni mtu mwenye uraia pacha,
Yaani wa Duniani na wa mbinguni na yupo tayari kutumikia...
Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana
Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
I will be short
ccm wafanye tu reform, huko mbele mambo yatakuwa magumu zaidi, kila siku nakutana na bango jipya online. tanzania amani amna
this is not good, once you allow external interference, you will cause more chaos and likely will cause more opposition funding ( divide and...
Jamani freedom is coming tomorrow, nawaombeni WATANZANIA wenzangu vijana tushirikiane kuliokoa hili Taifa kutoka mikononi mwa watu wachache wenye Nia ovu juu ya Taifa letu.
Sambamba na hilo tuone jinsi gani tunaweza kuilinda amani yetu kwasabab ni kazi ngumu sana kuitafuta tena.
Hata hivyo, ni...
Tuue wanaotukosoa bado WaTanzania tunataka tu Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba inayofaa!
Tudhamini vyama mbadala ili kuonesha dunia kuna upinzani, bado WaTanzania tunataka tu Tume Huru ya Uchaguzi,
Tuwaweke wapinzani wetu ndani na kuwafungulia kesi nzito nzito za uhaini, na ikibidi tuwanyonge...
Hata aje engineer wa kutoka mars, hata itumike Trillion moja as long ile pitch itaendelea kuchimbwa chimbwa kabla ya mechi fulani fulani na timu fulani fulani yale madimbwi hayataisha kamwe
Wenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios.
Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone.
Hii nchi bwana
Mjadala unaweza kuamilishwa na maelezo haya.
Kwa ujumla, simu za kisasa (smartphones) ni rahisi zaidi kudukuliwa...
Yale ya COVID 19 kule CHADEMA ni ngumu kutokujirudia huko CHAUMMA,
Wanawake mnakwenda CHAUMMA Kwa malengo ya viti maalum fanyeni hivyo Kwa tahadhari
Sehemu sahihi ni CCM tu.
Huko kwenye mtandao wa X, Wakenya wamekuja juu na lugha kali ambazo nahakika watawala walikuwa hawajazizoea na sidhani kama wanaweza kuvumilia kusoma yanayoandikwa juu yao.
Kwa kifupi, kama kuna watu huwa wanasema watanzania huwa wanaandika lugha chafu mitandaoni, basi wakajifunze kwa Wakenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.