hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Waafrika ni kutokujua kuwa hata nyimbo zina mistari yenye maana kama kwenye biblia na quruan!!

    Hiyo mistari yenu ya biblia na quruan mmewekewa kwaajili ya marejeo ni kitu hamjui tu kwani hata nyimbo/miziki ya Kiafrika ina maana na mafundisho mazuri tu kuliko huo upuuzi wenu usioenda na matukio na wakati kila leo ni yaleyale hayabailiki. Situkeni!!
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watu huja na kuondoka, utabaki wewe na Familia yako, hata Mti huchipusha nà kupukutisha, Using'ang'anie Watu

    WATU HUJA NA KUONDOKA, UTABAKI WEWE NA FAMILIA YAKO. HATA MTI HUCHIPUSHA nà KUPUKUTIAHA MAJANI. USING'ANG'ANIE WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya kosa ambalo utalifanya ni kutokutambua kuwa watu ulionao sasa hivi wapo lakini hautakuwa nao siku zote. Watu huja na kuondoka. Kanuni...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hii mikoa ikipiga kura za visasi dhidi ya CCM ya Samia haipati hata asilia 25

    Tanga, kauli ya kifo ni kifo bado inawauma sana. Katavi, imetupwa kushoto kuliko hata Kizimkazi yenye watu 20000 Mwanza, tukio la machi 17 2021 bado linawauma sana. Maana bado hawaamini kama ni mkono wa Mungu Geita, waemkaa kimya ila wanasema walishatengwa kabisa baada ya machi 17 2021...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima karibuni sana Kanisa Katoliki kusali tunawapenda sana hapa ndio nyumbani kwenu hasa, msiogope sanamu mnazoziona

    Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli. Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Shida mtu akiwa muhongo hata siku akongea ukweli anashindwa kuaminika , polepole ni kama zitto kabwe na Mbowe au Lipumbana na Mrema!.

    Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu. Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni. Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile. Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna hata kiongozi mmoja anachaguliwa kwa kura Tanzania

    Kwanza kwenye chama tawala haya ya sasa ni maigizo hata mkibalia wagombea watatu mgombea wa Mwisho anachaguliwa sio kwa kura bali kwa matakwa ya viongozi bila hata kuhojiwa sababu! Hivyo hakuna mchakato wa kidemokrasia ndani ya CCM . Pili kuna watu wamekatwa bila sababu yeyote na hawaja ambiwa...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Wananchi wa Butiama wamzomea Jumanne Sagini wakati anaomba kura za maoni. Hawataki hata kumsikia

    Wakuu, Yaani wananchi hawana mchezo sasa hivi wanaruka na kila mtu. Leo wameruka na Sagini Haijalishi wewe ni Waziri au Mbunge lakini wanaruka na wewe na hapa ni kwenye kura za maoni tu tunasubiri kuona kwenye kampeni itakuwaje.
  9. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu vingine havina hata maana, eti Girlfriend Day!

    Nakataa kufata trend za kipuuzi sasa, hii generation ni ya ajabu kupita kiasi. Hizi ni sherehe ambazo hazina maana zaidi ya kupoteza pesa na muda; Happy birthday Valentine’s day Happy new year Boxing day Happy girlfriend day Happy mothers day na Happy upuuzi mwingine. Kuna siku wataleta "Happy...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Kwa ilipofika Tanzania sasa, Samia hata akiamua kuwa Rais post 2030 atafanikiwa na hakuna wa kumfanya chochote!

    Kwenye Taifa lolote lile, vyombo vya kuilinda Katiba vinapokufa lolote lile linaweza kutokea na hakuna wa kufanya chochote kile. Ni ukweli mchungu kuwa sasa Tanzania Katiba inavunjwa waziwazi kwa Watu kuzuiwa kutekeleza Haki zao za Uhuru wa Kuabudu na hakuna lolote linalofanyika. Haki za...
  11. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Tuwatokomeze ma'simp hawatuwakilishi wanaume hata kidogo

    Katika jamii tunazo ishi kuna aina au kundi la wanaume ambao ni dhaifu ambao ni aina ya mwanaume jamii ya wanawake humtengeneza kama retirement plan au mpango maalumu kufanikisha mipango yao ya kimaisha bila kuwajibika lolote kwa huyo mwanaume au huyo mwanaume kupata maslahi yoyote katika huo...
  12. Jesusie

    JamiiForums Tanzania DC Shaka: Hakuna atakayemwaga damu ya Mwanakilosa mwenzake tena, sio damu tu hata wa kumwaga Mkojo hapa hayupo tena-VIdeo

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mhe Shaka Hamdu Shaka asema hayuko tayari chini ya Uongozi wake wa Wilaya ya Kilosa kuona Wilaya hiyo ikirudia historia yake ya nyuma, Akiongea na Wananchi wa Kata ya Tumbatu mahali palipotokea mgogoro wa Kimipaka ngazi ya Vijiji na Vitongoji, DC...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Anazindua kitu asichokua nacho uelewa wowote, Wameshindwa hata kumpa ABC, anajikuta anauliza maswali yasoendana na alichozindua!!

    Huenda angeambiwa, Asingeenda, angemtuma Naibu Waziri tu !!. Kilichozinduliwa ,katika Teknolojia ya Uranium, ni Uhuni Mtupu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hata kama ninaowapenda wamekatwa majina yao, nitasimama na CCM hadi naingia kaburini

    Mimi nimezaliwa babangu mzazi akiwa Katibu Tarafa, alikuwa akifanya kazi pale Shirika la Ugawaji la Taifa - KIUTA, enzi hizo magazeti ni Uhuru, Mfanyakazi, Daily News na Sunday News.Sasa hivi Mfanyakazi halipo. Babangu ambaye ss hivi ni marehemu alikuwa kada lia lia wa CCM, hata hivyo amebakia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hata nyakati za Biblia watalawa walitumia jela kuonea na kutesa watu

    Mmesahau Yohana Mbatizaji aliwekwa jela kwa kusema ukweli kisha akakatwa kichwa? Paul na Sila waliwekwa jela kwa kuhubiri injili. Msishangae yanayotokea leo kwenye taifa hili na yanamsibu Tundu Lissu
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  17. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusiana na Maisha Unaopaswa kuujua mapema Kabla Hata ya kufikisha miaka 18

    Ukweli ni Kwamba MAISHA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUCHAGUA Na cha kusikitisha ni kwamba… KILA SIKU UNACHAGUA — hata bila kujua. Kila jambo unalofanya ni uchaguzi: – Unapochagua kulala badala ya kusoma... – Unapochagua kula bata badala ya kuwekeza... – Unapochagua kulalamika badala ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania CCM haina uwezo wa kusema ukweli hata kwa jambo dogo kama hili la kukutana na waandishi wa habari

    Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management? Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani? Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi? Alafu wahuni kama hawa...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hata moja ya mababu zako leo wakiamka na kuona umepost uzi wa kulalamika mbele za wanaume wenzako kuwa mkeo anakubania msos atakukana na kurudi kulala

    "Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu. Wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri. Nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu. Na, wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu" -G. Michael Hopf
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Msanii gani hata show iwe bure huendi

    Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo.. Mimi ambao siwakubali JAPO kuna baadhi ya hits wametoa nzuri 1.tunda man 2.ney wa mitego 3.dogo janja
Back
Top Bottom