hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    Ni timu gani ilipindua meza baada ya mechi ya kwanza kufungwa bila hata on target?

    Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa Timu limepigwa goli 2 bila kelele Ball possession RS Berkane iliongoza 78% Simba walicheza kama wapo pungufu Berkane wanakuja ku press kama hawajashinda wala mbumbumbu msitegemee ati watakaza nyuma walinde Dhahama itatokea ikiwa Simba atajifanya...
  2. JMF

    Msamaha wa ushuru wa gari kwa mtumishi wa umma ni lazima uagize au hata gari za yard?

    Wakuu habari za weekend? Naomba uzoefu wa mada tajwa hapo juu kutoka kwa mtumishi aliyewahi kupata msamaha wa import duty au kutoka kwa wakala wa forodha mwenye uzoefu au aliyewahi ku deal na kesi kama hizo au ushuhuda wa aliyewahi kushuhudia msamaha. Je? Kwa mtumishi akitaka kununua gari toka...
  3. M

    Labda uwe Mcha Mungu wa kweli unaweza ukaachia madaraka Tanzania

    Huwezi kuacha madaraka ukakosa hivi nchini Tanzania 1. Posho 2. Usafiri mzuri 3. Ulinzi wa kutosha 4. Mahitaji yote free Ukiwa mbunge, waziri au cheo chochote hivyo ni matunda Labda uwe mchamungu wa kweli kweli ndio uachie hayo
  4. Komeo Lachuma

    Israel yasema hata wakiachiwa mateka yenyewe itaendelea kuwagonga Hamas. Haicheki na wowote

    Netanyau huyu jamaa inawezekana ni muda mrefu alikuwa akitafuta sababu ya kuwachabanga Hamas. Hamas wakajichanganya. Wakajaa kwenye mfumo. Sasa kichaa kapewa panga. Anapasua roho zao. Hamas wanasema wapo tayari kukabidhi nusu ya mateka. Neta anasema hata mkitaka kaeni nao sisi hatuna haraka...
  5. B

    Mama anapodhamiria kuyang'ang'ania madaraka japo hadi 2030, CHADEMA ijizatiti kwa mapambano ya muda mrefu!

    Kwamba hata iweje! Haipo shaka nia njema kutokea kwa mama haipo na haiwezi kuwa sahihi kusema huo ndiyo ulio msimamo wa CCM au serikali yake yote. "Samaki mmoja akioza haliwezi kuwa tenga lote." Kuwa leo Lissu yuko Ukonga, ila waliowateka kina Mdude, Soka, nk wako huru? Waliowatendea unyama...
  6. M

    Hata mimi ningalihama CHADEMA kwa sasa

    Vijana wanataga kugombea ubunge. Udiwani halafu mnawabania kwani chama hakishiriki. Hata mimi ningalihama chadema kipindi hichi Ukisha uchaguzi wote hao watarudi chadema kama alivyorudi Dr Slaa. Wapinzani wa Zanzibar Pekèe yao ndio roho ya paka katika siasa za upinzani Lkn hawa wanaohama sasa...
  7. F

    Natafuta Stethoscope ya daktari used ya kununua, hata ikiwa mbovu sawa tu. Doctors mwenye Stethoscope mbovu atucheki

    Habari wadau. Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia. Tunaitumia kushutia igizo la sanaa. Pia kwa wanaojua wapi used zinauzwa naombeni mniambie Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
  8. Q

    Msaliti ni msaliti tu haachi asili, hata wanapoenda wakikosa walichoahidiwa watasalitiana tena

    Wametangaziwa donge la majimbo 30 na m. 200 kila jimbo. Mtiti ni pale watakapoanza kutoana macho kugombea majimbo na mbaya zaidi watakapokosa ubunge na pesa walizoahidiwa ndipo tutakapomjua steringi ni nani. Njaa mbaya sana huwa haifichiki hasa inapokimbilia kichwani, tutaona kila rangi yetu macho.
  9. Q

    Mkapa alisimamia uchumi, Kikwete demokrasia, Magufuli maliasili, Samia kama hivyo vimekushinda hata UTU?

    Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care. Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata? Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu. Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
  10. Shyshka Reinhardt

    Sema ukweli, ni kitu gani ukipewa hata sasa hivi huwezi kukataa

    Moja kwa moja bila kupoteza muda tuambie ni nini hicho ambacho pengine unakihitaji au hukihitaji ila ukipewa lazima ukichukue . ------------------------------ Binafsi nikipewa chai ya maziwa mahali popote pale lazima niinywe.
  11. Fbn

    Kifo cha Thomas Ogle Kilikuwa tishio kwa watawala wa makampuni

    Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na nadharia nyingi za njama. Mnamo miaka ya 1970, Thomas Ogle alitengeneza mfumo ambao uliwezesha gari...
  12. S

    Sasa nimeamini kwanini hata viitabu vya dini vinasema mwanamke anapaswa kuwa ni msaidizi tu

    Haika nimeamini na kuelewa ni kwanini vitabu vya dini(Bibilia) inasema wazi kuwa mwanamke ni msaidizi tu na si vinginenyo. Yaani wewe kila ushauri unaoletewa unauukubali hata kama una madhara makubwa yanayoweza hata ku-backfire. hapo baadae. Watangulizi wa muhusika hata nao walikosea, ila si...
  13. Solo Traveller

    Limebaki boom moja sina hata business idea

    Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!! Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea. Natamani kulia natamani kucheka Hapa itabidi nijitahidi kukwepa hili deni la boom advance nakwepaje...
  14. Waufukweni

    Dkt. Mwigulu Nchemba: Dhidi ya Simba hata mtusifie hatuchezi mpaka mambo yetu yasikilizwe

    "Hata mkitusifia hatuchezi" Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga SC "Kuhusu ile ya Simba hata mkitusifia hatuchezi hadi mambo yetu yasikilizwe.Unajua hawa jamaaa wanataka kuturudisha zile enzi za mpira kushona.Kwenye enzi hizo nayekuja na mpira hamruhusiwi kumkaba,na...
  15. M

    Hata wakiristo wanapokufa haitakiwi kucheleweshwa

    Katika Matendo ya Mitume: (Matendo 5:5–6) Na baadaye mke wake Safira: (Matendo 5:10) Hii inaonyesha kuwa maziko yalifanyika mara moja baada ya kifo. --- Hitimisho la Kibiblia Ingawa Biblia haisemi moja kwa moja "mtu akifa azikwe haraka" kama amri, maandiko yanaonyesha kwamba katika...
  16. Atlast nimempata

    Mitandao Inakula Wakati Wako, Haikupi Hata Mia – Tafakari!

    Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja jipya la kujiendeleza. Unamuona jamaa anaanza asubuhi na “Good morning fam!” halafu anapotea kwenye...
  17. Prof_Adventure_guide

    Teknolojia Inatu-Cheat Live! AI Ina-Drain Ubongo Wetu Bila Hata Kutugusa!

    Wacha nikwambie kitu moja straight up bila kuzungusha — hii AI ni kama dope mpya ya kizazi cha dot com. Inakufanya ujione mwerevu, lakini deep down ina-slow kill akili zako. You feel me? Yani mtu anakaa home, hawezi hata kuandika paragraph bila kumtumia ChatGPT. Bro, that’s soft! That ain’t it...
  18. ELI COHEN

    Hata mchepuko ana ndoto ya kupata bwana aliyetulia na muelewa" Yani mwanadamu lazima ajivutie kwa upande wake hata kama yeye havutiki

    Namiini Shetani hajiiti shetani kama tunavyomuita huku, anajiita lucifer ingawa ana matendo ya kishetani. Ni kwa kiasi gani mwanadamu ni mnafiki? Sometimes tuna stahili yanayotukuta kwa maana sisi wenyewe ndio ma-engineer wa vituko hivyo. Umekula wake za watu weeeeh sasa unataka kuoa at 37 na...
  19. BLACK MOVEMENT

    Rekodi ya kuhama chama ya Lowassa haitakaa ikaribiwe, alisepa na kijiji, hawa G55 wanaigiza sana, hata familia zao haziwafuati huko

    Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote. Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti. Hata Dr Slaa...
  20. Mganguzi

    Hata CHADEMA wakichukua nchi bado wapinzani wataendelea kutekwa na kupotea. Wapinzani sio lazima wawe CHADEMA hata CCM ni wapinzani kwa CHADEMA

    Nimeona kada wa chadema singida akipigwa na kupoteza fahamu ndani ya kikao Cha ndani Cha chadema, na wanaompiga wanasikika wakisema huyu ni team Mbowe huyu mshughulikieni !! Sijajua kama CHADEMA wakichukua nchi watu wataacha kupotea! Maana najua kwa Sasa ndani ya CHADEMA kuna wapinzani...
Back
Top Bottom