hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Msanii gani hata show iwe bure huendi

    Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo.. Mimi ambao siwakubali JAPO kuna baadhi ya hits wametoa nzuri 1.tunda man 2.ney wa mitego 3.dogo janja
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  3. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Lawyers tusaidieni; Kwa hiyo kanisa langu likifungiwa sitakiwi kuabudu kabisa hata nikikodi ukumbi?

    Ni hoja niliyojiuliza, kwamba watu hawatakiwi kuabudu hata sehemu zingine, walau hata kukodi ukumbi ili kujifunza Neno la Mungu bila kwenda maeneo waliyozungushia utepe, kwa hiyo ile haki yao ya kuabudu imesimamishwa hadi kesi itakapoisha hata kama ni miaka 10? ndivyo katiba inavyotaka ilipotoa...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mungu hamfurahii mtu anayesitasita. KANUNi za kimUngu zinazoendesha Dunia hazitakuunga mkono

    “Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.” Waebrania 10:28 👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿 Hiyo ni KANUNI. Ikifuatwa hata na mtu asiyemuamini Mungu anaona matokeo. Mungu na KANUNi zake ambazo zinaendesha dunia hazimsapoti mtu anayefanya mambo KWA kusitasita. Anataka au...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania X na Y ulizani zipo kwenye elimu tu hata maisha zinatumika sema ufahamu tu

    Kuna watu wanajua X na Y zipo kwenye elimu tu kumbe tunazo kwenye maisha tunazitumia kila siku mfano kujua upana wa chochote kwa nini unatumia kujua urefu na upana. Ushawahi kuulizwa graph yako imeshuka kazini au uchumi unakwendaje basi utakuta X na Y. kama unabisha muulize dalali wa nyumba
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maria space leo haipatikani, naona hata VPN haifanyi kazi. Kwenu vipi? Hata JF kufunguka ni shida

    Maria kama inawezekana uwe una rwecord unatuwekea kwenye youtube. Naona wamebinya walposikia Heche atahutubia........ tumekwisha
  7. Chibike

    JamiiForums Tanzania Hapa huchomoki hata uwe na misuli minene na kunyanyua vyuma

    Wanaume wenzangu muwe mnaenda kuchunguliamo mara Moja Moja Msije sema sijawaambia. Ukishawekwa hapa..ni mwendo wa sawa waifu wangu..ndio ndio..nakutumia waifu ...Ile nyumba ntaiuza tu hela zote nitakupa wewe waifu...sawa waifu...Kuna kingine waifu...ntazifua tu nguo waifu..wewe relax tu...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa?

    Salaam, Kuna watu wenyewe bila kulazimishwa wanaenda Hospitali kutoa kizazi au kukifunga wasizae tena. Mnaofanya hivyo, Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa? Ni akili ya kawaida au changamoto ya akili? Wanalishwa sumu gani ya maneno hadi wanakubali? Halafu unakuta...
  9. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Online skills gani iko sokoni sahivi, ambayo mtu akisomea hata juta maishani mwake?

    Habari wanajf Kuna rafiki yangu ni mwajiliwa mahari flani , anamuda mwingi wa ziada baada ya kazi, anataka huo mda wa ziada ajifunze kozi nzuri online ambayo ipo sokoni Ili imsaidie kupata pesa ya ziada baada ya kumaliza masaa ya kazi. Vifaa vya kujifunzia vipo Pc, smartphone, bando 24/7 hours...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hata Mimi pia si tu ningemshangaa bali ningemdharau sana Pacome kama kweli angekuja Simba SC yenye Matatizo Milioni

  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi najiuliza kama teknolojia zingekuwa Afrika sizani hata hivi tunavyovitumia vingekuwepo sasa kwa sababu ya tabia zetu kutokubali kukosolewa

    Ni metumia neno teknolojia ila nitabeba mambo mengi ambayo ndio yameleta maendeleo nchi nyingi.Ukiangalia kila siku simu yako janja apps zake au firmware zinaomba update kila siku sababu ya kurekebisha makosa ili uweze kutumia. Kwa mfano huu kama zingekuwa ndio afrika hakuna kitakachofanyika...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Janga la P.I.D linatesa sana wadada sasa hivi, poleni sana Warembo

    Ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke, kwa kawaida huhusisha uterasi, mirija ya uzazi, au ovari. Mara nyingi husababishwa na bakteria ya zinaa, bakteria wengine, UTI iliokomaa na complications wakati wa kuzaa. Wadada wengi wanalia sana na hii issue kwa maana wengi wao wanakuja...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Diamond kalikejeli eneo la Mtoni Mtongani akijisahau ni National Icon Artist mweny mashabiki maenei mbalimbali, hakutakiwa kupadhihaki

    Wengine tuna Ndugu, Jamaa na Marafiki wanaoishi huko Hata wana Jamii Forums maarufu kina Lucas Mwashambwa GENTAMYCINE Ritz kipara kipya Tlaatlaah wanakujua, wana ndugu zao, wanaishi au waliwahi kuishi.
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna namna fulani hivi nyakati hizi za kisasa u-kidume umekuwa bedazzled hata dogo uliemuona leo mtaani kesho unamuona ananyanyua vidole mitandaoni.

    Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio. Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv. Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo. Mwanaume akimbilii kukaa na wadada kwenye hadhara. Mwanaume hapendi vya bure bure na offer za kila mara
  15. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hata miezi sita hatujafika na ashaanza kunipiga vizinga

    Wajuvi wa mambo ya mahusiano yaani mwanamke hata miezi sita hatujafika lakini yeye annaza kunipiga vizinga mara nitumie pesa ya vocha,mara nitumie laki moja niongezee nikanunue simu yaani kutwa vizinga kwa kwenda mbele na hapo hata sijamuoa yaani ni matter ya uchumba tu tena distance love tu...
  16. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu ni limbukeni mkubwa

    Mtu yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani hata baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu bali ni limbukeni mkubwa!
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tusisikilize chochote hata kama tulikosea, Mgombea wetu ni mmoja tu

    1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite 2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa. Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
  18. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

    "Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi...
  19. Foffana

    JamiiForums Tanzania Nyufa ni kubwa sana hata mfiche vipi, CCM matatani

    Anaandika Kigogo NYUFA NI KUBWA SANA HATA MFICHE VIPI ,BASHE AMEITIA CCM MATATANI Kitendo cha kuahirishwa vikao vya juu kabisa vya CCM kwenye kufanya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025 ni jambo zito na gumu sana kuwahi kutokea kwenye uhai wa CCM. Sababu za kitoto...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kama kocha Fahdu Davis Kapendekeza Deborah Mavambo aondolewe Simba basi hata mm namzidi uwezo wa kufundisha

    Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo. Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana...
Back
Top Bottom