Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,878
- 4,441
Wajuvi wa mambo ya mahusiano yaani mwanamke hata miezi sita hatujafika lakini yeye annaza kunipiga vizinga mara nitumie pesa ya vocha,mara nitumie laki moja niongezee nikanunue simu yaani kutwa vizinga kwa kwenda mbele na hapo hata sijamuoa yaani ni matter ya uchumba tu tena distance love tu mpaka nabaki nachoka aisee
Na jana wakati naongea na mama yake binti ameniomba hela ta ugoro yaani nimtumie hela ya ugoro hapo ndipo nikazidi kuchoka zaidi aisee
Wajuvi wa mambo hapa kuna mke kweli hapa?
Na jana wakati naongea na mama yake binti ameniomba hela ta ugoro yaani nimtumie hela ya ugoro hapo ndipo nikazidi kuchoka zaidi aisee
Wajuvi wa mambo hapa kuna mke kweli hapa?