hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Faida na Hasara za Kuwa Mbunge zidi ya Faida na hasara za kuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya

    Faida na Hasara za Kuwa Mbunge Faida 1. Mamlaka ya Kisheria na Ushawishi wa Kitaifa Mbunge anashiriki kutunga sheria na kuisimamia serikali bungeni. Ana sauti kubwa kitaifa, anaweza kushinikiza miradi au sera zifanyike kwenye jimbo lake. 2. Heshima na Umashuhuri Ana hadhi kubwa kijamii na...
  2. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Vita ina hasara pande zote mbili

    Tuliongopewa sana na wayahudi kutoka Msomela, Kazulamimba, mto wa mbu kwa taifa teule haliwezi kupigwa. Naona mambo yamekuja muda muafaka ambao kila mmoja wetu alijaliwa uhai amejionea mwanaume mmoja kuchakaza kichaka kinasomwe, kinachoimbwa kwamba hakiwezi kupigwa kwakuwa wao taifa teule...
  3. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unagundua hasara/faida baada ya kufanya uamuzi?

    Katika utafiti wangu nimegundua kuwa kwenye maisha ya kujitafuta/utafutaji/kufanya uamuzi, watu wamegawanyika katika makundi matatu. 1. Watu ambao wana kipawa cha kugundua hasara/madhara kabla ya kufanya uamuzi.... Hawa ni watu ambao wanapata majibu ya uamuzi kabla ya kufanya uamuzi. Kwa mfano...
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Football business, Simba imepata hasara kubwa kufikia fainali shirikisho kuliko isingeshiriki kabisa

    Bingwa wa shirikisho hupata 2 million USD, ila cha kushangaza gharama za motivation, bahasha na nguvu kubwa aliyoitumia Bwn Kanji ili tu kuiprove wrong Young africans inafikia zaidi ya 5 million USD. Tetesi kutoka vyanzo vya kuaminika vinadai Bwana Kanji ameapa kurejesha pesa zake kwa namna...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  6. Kindred Spirit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa Wanandoa Uliopelekea Umauti na Makovu ya Kudumu

    Tukio hili lilitokea China ndani ya hifadhi ya wanyama pori huko Beijing. Wanandoa na mama mkwe (mama wa mke) walikuwa ndani ya hifadhi mke aliposhuka kuelekea upande wa dereva alikokuwa amekaa mumewe. Inadaiwa alikuwa anasubiri mumewe ahamie kwenye siti ya abiria ili yeye aendeshe. Punde...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uiengereza yasema itaingilia kati kuikoa India baada ya kupata hasara kubwa siku ya mwanzo tu ya vita

    Huku mabaki zaidi ya ndege kadhaa za kivita za India yakiendelea kuokotwa ndani ya mipaka ya India kabla kuvuka mpaka wake na Pakistan,nchi ya Uiengereza imesema inataka nchi hizo ziache kupigana Uiengereza ina wajibu wa kufanya hivyo ikijua kwa sasa haina uwezo kuisaidia India wakati yenyewe...
  8. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Yale mabehewa ya SGR ya ngazi mbili yapo wapi? au tulishapigwa na kula hasara?

    Kwa wapenzi wa kupanga train ya mwendo kasi, kuna mabehewa fulani tulitunua kwa kodi za wananchi, tukatumia garama kubwa kusafirisha toka korea hadi hapa, ila sijaona yakitumika. Zipo fununu kwamba hayakuwa compatible, tunataka kujua why not compatible? yapo wapi? mazima au walituletea...
  9. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Top 4 za hisa Zilizopata Hasara zaidi - 2024

    Swissport Tanzania (SWISS) 📚 Ilishuka kutoka: TZS 1,320 Mpaka: TZS 1,100 Hasara:- 16.67% Tanzania Portland Cement Company (TPCC) 📚 Ilishuka kutoka: TZS 4,690 Mpaka: TZS 4,130 Hasara:- 11.93% DCB Commercial Bank (DCB) 📚 Ilishuka kutoka: TZS 165 Mpaka: TZS 155 Hasara:- 6.06% Maendeleo Bank Plc...
  10. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Short Notice ya Malawi yaleta hasara kubwa kwa wafanyabiashara Tanzania

    Mfanyabiashara ameshatoa mzigo shambani ama yuko mpakani au yuko njiani kisha anakutana na notice ya kutoingia Malawi Kwanini wasitoe notice hata ya wiki mbili au mwezi mmoja? Waziri wetu Hussein Bashe ametoa notice ya wiki moja kwa wafanyabiashara wa Malawi na Africa Kusini kuwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hawa mabinti wa hiki kizazi wabadilike vinginevyo watakuwa hasara kwa wazazi

    Sasa hivi ukishakua na mtoto wa kike ni kama nusu hasara kibaya zaidi hata wale tunaowategemea wawe smart kichwani mfan wasomi wanavyuo n.k ndo wanafanya blunders . Kimsingi mabinti wengi wamekosa ambition za vitu vya maana wao wanatafuta shortcut kupitia hasa kupitia ngono Vibinti vidogo...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Tulio furahia ujio wa ndege tuandamane kupinga hasara

    Tulipokea ndege zetu kwa furaha na ndereno lakini leo hii machozi yanatutoka.Shirika linaendesha kwa ruzuku ya serikali ,Fedha ambayo ingenunua dawa kwenye hospitali zetu-,kujenga barabara na shule .Leo hii zinatupwa shimoni .Tumepata bahati ya kununua ndege mpya lakini mikakati ya biashara...
  13. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza computer bei ya hasara 230k

    Kampuni Lenovo think pad Ram 8gb Hdd 256 gb Processor Intel Celeron 1007U (1.5 GHz, dual-core) Njoo PM kwa maelezo zaidi nipo dar es salaam tegeta
  14. Fakyuol

    JamiiForums Tanzania Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

    Naombeni ushauri Tv zangu zote mbili zimepata changamoto kwa wakat mmoja Ni TV za Hisense 55inches zote!! Moja fundi anasema motherboard imekufa (hii muda wa warranty umeisha) Ya pili.. ni mpya hata mwaka haina...imepasuka kioo Nmejitokeza hapa kuomba ushauri wa namna ya kupata kioo kwaajili...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Hasara kila kona, Tunaelekea wapi

    Mdhibiti mkuu wa mapato na matumizi wa serikali yetu ya Tanzania ameyataja mashirika yetu makubwa ya serikali jina yanavyojiendesha kwa harasa , kuanzia ATCL mpaka Tanesco. . Kwa kufanya kwa biashara kwa hasara ina maana kipato kwa serikali kinapungua au kinakosekana kabisa hivyo kuathiri deni...
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya hasara Tanzania huku uwajibikaji ukiendelea kuwa ndoto ya mchana

    Ni miaka mitatu ya hasara kwa mashirika makubwa ya umma, ndivyo unavyoweza kueleza. Hasara hizo zimetajwa katika ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka 2021/22, 2022/23, 2023/24 matawalia zikigusa mashirika ya Reli Tanzania (TRC), Kampuni ya Ndege Tanzania...
  17. Abti

    JamiiForums Tanzania Swala la kujizima data kwenye kujitafuta lina faida na hasara zake

    Swala lakujizima data limeanzisha vitu vingi kwenye jamii yetu kwakutoa matunda kwa baadhi ya watu na kupoteza watu kwenye ramani. Hapa tunazungumzia style za utangazaji wa biashara, upambe (uchawa), influencer 😃, nk Upande wa faida: Kuna yule binti alikuwa anajipa vibe kwenye biashara yake...
  18. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Sasa kama wanayajua haya kwanini ATCL, TTCL na SGR zinaendelea kutia hasara kila ripoti ya CAG?

    Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali, Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya...
  19. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi waliosabibisha hasara kubwa kwenye mashirika ya umma wajiuzulu, Rais futa watu kazi

    Kuna umuhimu gani wa kwa wakurugenzi wote waliorekodi hasara kubwa katika mashirika ya umma wanayoyaongoza kuendelea kuwa kazini? Hakuna uwajibikaji katika utumishi wa umma kabisa na ukichunguza kwa undani hasara nyingi katika mashirika ya umma yanasabibishwa na ufisadi, uzembe, wizi ikiwepo...
  20. Tman900

    JamiiForums Tanzania Hasara.

    Mtu Binafsi, au Kampuni Binafsi zikipata Hasara, mara 3 unapewa Penati pale TRA... ila wao na Selikari yao wanapata Hasara na hakuna lolote la kuwajibika. Mbona kama wafanya Biashara tunakandamizwa na Mfumo. Pia wao Dhahiri hawawezi kusimamia shughuri za Serikali zisipate Hasara mara kwa mara.
Back
Top Bottom