Nimempelekea kadi ya mwaliko ya harusi X wangu

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa.

Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi ambae aliniapiza sitokuja kumpata 😂

Ijumaa iliopita nimempelekea kadi. Natamani kuiona sura yake wakati anasoma kadi. He's a loser, he's alone and he'll die alone 🤦‍♀️viapo vyote vimemrudia mwenyewe.

1654496916595.png

Picha kutoka Maktaba​
 
Back
Top Bottom