Joao de Matos
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 334
- 267
Za ijumaa wana JF,
Suala ya uvaaji shela limenilete changamoto kweli baada ya kutafuta Sana katika mtandaoni. Shela Ni like vazi analojifunika Bibi harusi siku akifunga ndoa.
Katika Biblia tunaona mfano mmoja Rebeka alivaa shela alipo kutana na Isaka. Ila sijapata fungu lililosema Ni agizo kutoka kwa MUNGU, au Nabii au Mtume alisema hiwe hivyo.
Changomoto yangu Ni kwamba hili shela katika Biblia imeelezwa kuwa kwa wakristo Ni Lazima kuvaa siku ya ndoa?, na maana yake hasa Ni Nini.
Lakini pia nahitaji fungu kutoka kwenye Biblia inayoeleza kuwa ilikuwa Ni agizo kufanya hivyo. Maana nimefuatilia Sana Kuna Baadhi ya sehemu mitandoni wanasema sio lazima wengine Ni Lazima Sasa napata shida kidogo.
Karibuni wakuu.