Habari wakuu,
Hili swali nimekuwa najiuliza kitambo. Pombe ya gongo ni haramu na inawaangamiza raia wengi kiafya. Pamoja na kupigwa marufuku lakini bado inatengenezwa na kuuzwa kwa kificho.
Hakuna mchakato wa kitaalamu wa kuipitisha pombe hii kwenye mitambo ya kisasa ya distillation na kupata product isiyokuwa na madhara kwa afya za watumiaji?
Maana kwa uelewa wangu hata hizi big brands za spirits zinapitia process hiyo hiyo ya fermentation na distillation.
Hakuna namna ya kuipitisha hii locally distilled spirit kwenye mitambo ya kisasa na kupata product yenye kiwango? Au ugumu uko wapi?