haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni vema hili tatizo la umeme likatatuliwa haraka. Kazi zinafanyika siku mbili kati ya saba za wiki

    Au huu mgao ni huku tu? Wanakata Jtatu, tano na leo ijumaa. Wanawasha siku mbili za wiki na wikiendi. Hii inasumbua uchumi wa watu sana. Taifa litaendeleaje kwa kufanya kazi siku mbili. Fanyeni mpango kutatua hii shida. Hatuwezi enda hivi hadi mvua zije mabwawa yajae.
  2. JamiiForums Tanzania Aliyetuloga Watanzania ni nani?

    Kitu kinatunyima fursa ya kufika mahali ni kupenda umbea hasa linapozushwa jambo la mahusiano. Mjadala wa Katibu na Masanja umetuhamisha na mitandao imetawala taarifa ambayo haijulikani ni kweli au ni kitu cha kutengeneza. Watanzania warahisi sana kuwahamisha kwenye Reli hasa ukileta mambo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Njia 10 za kuondoa Stress na Uchovu kwa haraka

    1. Pitia picha zako zako za zamani kidogo, Picha za tukio moja wapo lililokufurahisha au za mtu mwingine yeyote wa karibu yako! 2. Fungua madirisha na kuruhusu mwanga na hewa kupita kwa kiasi kikubwa. Epuka kukaa sehemu yenye mwanga mdogo kwani hufanya hali yako ya uchovu au stress kuwa juu...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana kama huna kazi, fanya hivi utapata haraka

    Simama pale posta,kariakoo na maeneo yenye foleni kubwa ya magari na bango lako nakuhakikishia hii style itakupa kazi fasta kuliko kulala ndani na kusubiri ugali wa shikamoo,kuna kipindi ikifika kwenye maisha hakuna kuogopa Chochote zaidi ya kujitoa tu
  5. JamiiForums Tanzania Ukraine yatuma maombi kujiunga na NATO haraka iwezekanavyo

    Officially comfirmed by ukraine president zelensky. =========== KYIV, Sept 30 (Reuters) - President Volodymyr Zelenskiy said on Friday Ukraine was formally applying for fast-track membership of the NATO military alliance and that Kyiv was ready for talks with Moscow, but not with President...
  6. JamiiForums Tanzania Nimepata shida ya haraka naitoa Toyota Cluger : DFU kwa Tsh. Milioni 18 tu

    Nimepata shida ya haraka, Naitoa #Toyota Kluger FU kwa Tsh. Milioni 18 tu #Eng ; vvti 2az #Eng ; capacity 2360 #KL. ; 89600 ☎️0747744895 Karibuni
  7. M

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura zuia Polisi kuua haraka wanaohisiwa ni 'Panya Road', himiza 'Interrogation' ili kujua Kiini chao

    Kukamata Watu (hasa Vijana) haraka haraka na Kuwahisi ndiyo Panya Road kisha Kuwaua sidhani kama ni Usahihi na Uweledi hasa katika Kuwamaliza hawa wahalifu. Mataifa yote yenye Majeshi ya Polisi yanayojitambua huwa hayakurupuki Kuua Mhalifu / Wahalifu bila ya kumfanyia / kuwafanyia Interrogation...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi walioua mfanyabiashara Mtwara wameshachukuliwa hatua za haraka kama panyaroad?

    Najua watanzania wengi ni wabinafsi hawajali haki za wengine na wengine hawafahaumu,lakin Nchi haiwezi kua na amani kama kutakua na double standard na dhulma kiwango hiki. 1. Kama nchi imeamua kushughulikia uhalifu kwa kuua basi tuanze kupewa taarifa ya akari waliohusika na mauji ya kijana...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona sasa hivi matangazo ya kampuni za BETTING yameshamiri sana?

    Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri... Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Abbasi awataka Idara ya Michezo Kukamilisha Nyaraka za Miradi haraka

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa siku 7 kwa watendaji wa Idara ya Michezo kukamilisha nyaraka za miradi yote iliyoko chini ya Idara hiyo la sivyo kila mhusika atabeba mzigo wake. Dkt. Abbasi ametoa agizo hilo leo hii alipokutana na watendaji wote...
  11. JamiiForums Tanzania Takukuru na sekretarieti ya ajira chunguzeni haraka kinachotokea DUCE, ni aibu

    Wakuu nimetimba hapa Duce aisee ni aibu. Kuna mazingira yote ya urasimu unaendelea kwenye interview zilizofanyika jana. Tulitegemea matokeo yawekwe kwenye sekretarieti ya ajira lakini haikuwa hivo. Nimefika hapa asubuhi naambiwa eti waliofaulu walipigiwa simu. Mpaka sasa hatujui waliopiga...
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Abiria wa Basi la Shabiby tulalamikia huduma mbovu za hoteli Morogoro tunaomba mbadilishe haraka hoteli

    Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa ajili ya huduma ya chakula na kuchimba dawa. Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na...
  13. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii

    Jaji Mkuu mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii na wao kujiweka huru. Amesema ucheleweshaji wa kesi zikiwamo zenye mvuto huku akiitolea mfano kesi ya wabunge- Halima Mdee na wenzake 18 wanaopinga kuvuliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Airtel rekebisheni haraka hii changamoto ya vifurushi vya SMS

    Nianze na hili, Kwa shilingi elfu Moja unapata SMS za Wiki zipatazo 5000 na Kwa elfu 2 unapata SMS za mwezi 9000. Maajabu, Mmeweka Ukomo wa Kutumia SMS hizo, yaan Kwa siku Mteja wenu atumie SMS 300 tu, kiwe ni kifurushi cha wiki au mwezi. Tafasiri yake Kwa Mteja wa Kifurushi Cha wiki Sms...
  15. JamiiForums Tanzania Njia ya haraka ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania

    Habarini wakubwa, ni njia ipi ya haraka Ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania?
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu biashara unahitajika haraka

    Naomba kujua, ni mtaji unaoanzia sh. ngapi unahitajika kwa mfanyabiashara mdogo wa duka la matumizi aliyepanga katika frame anatikiwa kulipa kiasi gani cha kodi TRA? Napenda kujua, ni mtaji kiasi gani ambo mtu anakiwa kuanza kulipa kodi TRA? Ufafanuzi: Duka hili lina mtaji siyo chini ya Mil...
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa haraka

    Habari wakuu? Wadau poleni na ujenz wa kujenga taifa hili, nakuja mbele yenu kuomba msaada kwa yeyote anaefahamu wap ntapata mkopo wa dharula kiasi Cha Tshs. Milioni mbili(2,000,000/=) kwa dhamana ya kiwanja changu chenye ukubwa was ekari moja kipo maeneo ya Mwasonga (Kigamboni). Kama...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe kodi ya kichwa haraka, Watanzania wanapenda ujanjaujanja

    Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba na serikali kwa ujumla msiwaonee huruma Watanzania. Wengi wamezoea kuishi kwa madili na wizi. Serikali inapoteza kiasi kikubwa cha fedha kwakuwa watu wanaikwepa. Kuna rafiki yangu ana biashara kwa siku faida ni 200,000 lakini kwa mwaka alikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, anahitajika minning engineer haraka sana.

    Taarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga. Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Wakurugenzi acheni kuchukua 10% mnakwamisha miradi ya maendeleo, TAKUKURU fanyeni kazi yenu haraka

    == SHAKA HAMDU SHAKA AWATAKA WATUMISHI KOTE NCHINI KUFIKA KWA WANANCHI KUSIKILIZA KERO NA CHANGAMOTO MBALIMBALI. Na Mwandishi Wetu, Sikonge KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…