haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

    Habari ya muda huu wakuu wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis] kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
  2. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa laki 2 na nusu tu..nina uhitaji wa pesa haraka

    Toshiba Hdd- 128ssd Ram 4 Touch screen Nina shida na uhitaji wa pesa haraka sana.wakuu nimebanwa na shidaaa nahitaji 250000 tu. Ipo dar piga simu 0627474141
  3. JamiiForums Tanzania Bashiru avuliwe ubunge, apewe ukatibu tawala wa wilaya. Ni wakati sasa watu wajue hii ni Awamu ya Sita

    Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina. Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia hii mbaya huyu mtumishi awajibishwe haraka

    Habari. Bila kupoteza muda ndg wanajamvi kwa masikitiko makubwa naandika kwanini serikali inalea baadhi ya watumishi wa afya wa kiume waliyopo kwenye kitengo cha upimaji wajawazito. Kule wilayani Ludewa mkoa wa Njombe kuna kijana namfahamu kwa jina moja Imma au jina la utani Mapulupulu...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    Wakuu za jioni, nilikua nasafiri kutoka kigoma kuja Dodoma na bus la AN Classic. Nilikua na kibeg cha mgongoni Ndani kuna PC aina ya HP kulikua kwenye carrier. Kushuka stand naangalia kwenye beg, PC siioni ila zip imefunguliwa, nimetafta kwenye bus lote sjaona kitu, Msaada wakuu kwenye hali...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa Haraka Tafadhali

    Ninahitaji kubadilisha Signature. Ambayo nimekuwa natumia miaka yote naona ipo complicated na mimi nimeanzisha kampuni natakiwa sometimes nisaini docs nyingi. So nasign mpaka signature inabadilika na ninachoka sipendi kuwa nasign sana. Nahitaji kubadili signature niwe nayo moja simple tu...
  7. JamiiForums Tanzania Nabi afukuzwe haraka Sana

    Mimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga. Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka hapo yanga hakuna timu. Tuna kundi la wachezaji tu Nabi inaonekana ameshindwa ku control dressing...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba makadirio ya malipo ya fundi kwa chumba kimoja

    Wadau naombeni rafu estimates za kumlipa fundi ujenzi nyumba ya kawaida yenye, chumba masters sebule, jiko na stoo. Je, njia nzuri za kuepuka gharama ni kuhesabu tofali alizojenga au maelewamo tu.
  9. JamiiForums Tanzania Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo. Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
  10. JamiiForums Tanzania Suluhisho la haraka litafutwe kuondoa harufu mbaya maeneo ya Kivukoni

    Ndugu wananchi, leo nakuja na mada ngumu kidogo. Mazoea ya kitu hayahalalishi kwamba jambo hilo ni sawa. Linaweza kuwa tatizo lakini mazoea yakakufanya usione umuhimu wa kulitatua. Tumekuwa tunaishi miaka mingi na uwepo wa soko la samaki pale Kivukoni au wengi wanapaita Ferry. Soko lile pamoja...
  11. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli hii ndiyo sababu siku nyingine wanatutaka tumalize haraka

    Wataalam wa Saikolojia ya Mapenzi (mibanduano) wanasema kuwa ndani ya mwezi ni siku sita ambazo wanawake hutamani kupenziwa (kubanduliwa) na wanaume ila siku zingine zote huwa hawajisikii hamu. hivyo ni kama vile wanaume wengi huwa tunapiga punyeto tu ndani ya mbunye zilizo mbele yetu. Sasa...
  12. JamiiForums Tanzania China imewataka raia wake waondoke Ukraine haraka

    Mamlaka za China zimewataka raia wake waliopo nchini Ukraine kuondoka mara moja na Serikali itaratibu mpango huo.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natamani siku ifike haraka hata kama ni kutoka tutoke tu, nimechoka!

    Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah! Tucheze tu, hata kama tutatoka siyo mwisho wa dunia.
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika ili ndugu yangu apate haki yake

    Habari zenu? Kuna ndugu yangu alikuwa analinda shamba la mtu kwa muda wa zaidi ya miaka 10(bila malipo) mwenye samba ameshafariki. Watoto wa mwenye shamba wanataka kumtoa kwa nguvu huyo ndugu yangu ambaye alikuwa anaishi hapo kwa miaka yote huku akiwa na familia yake hali kadhalika alipanda...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje jifunza kifaransa kwa haraka?

    Napenda sana kujua kifaransa, lakini sijapata mwalimu mzuri , naweza kupata wapi msaada?
  16. JamiiForums Tanzania Wadau, msaada haraka hali hii inatesa sana muda huu

    Hapa sina amani kabisa wala furaha kuanzia mida ya saa 3 baada ya kula. Nahemea juu juu huku macho yamenitoka kama mtu aliyeshikwa ugoni, hata kumeza mate tu nashindwa hali inazidi kuwa ya hatari sana kwangu. Nimekula nyama choma, mishkaki, sausage na mtura. Hivyo vyote toka mchana leo nlikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya kiuchumi nchi hii yanaitaji mabadiliko ya haraka katika sekta tatu

    1. Kuinua na kuhimiza kilimo cha umwagiliaji. Hiki ni kitu muhimu kutoka kutegemea mvua za msimu, serikali iweke na kuwezesha UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO. Tanzania tuna fursa ya maeneo bora ambayo sasa yametelekezwa kama mapori, yana udongo wa rutuba vyanzo vya maji ya mito na underground...
  18. JamiiForums Tanzania Ni vema hili tatizo la umeme likatatuliwa haraka. Kazi zinafanyika siku mbili kati ya saba za wiki

    Au huu mgao ni huku tu? Wanakata Jtatu, tano na leo ijumaa. Wanawasha siku mbili za wiki na wikiendi. Hii inasumbua uchumi wa watu sana. Taifa litaendeleaje kwa kufanya kazi siku mbili. Fanyeni mpango kutatua hii shida. Hatuwezi enda hivi hadi mvua zije mabwawa yajae.
  19. JamiiForums Tanzania Aliyetuloga Watanzania ni nani?

    Kitu kinatunyima fursa ya kufika mahali ni kupenda umbea hasa linapozushwa jambo la mahusiano. Mjadala wa Katibu na Masanja umetuhamisha na mitandao imetawala taarifa ambayo haijulikani ni kweli au ni kitu cha kutengeneza. Watanzania warahisi sana kuwahamisha kwenye Reli hasa ukileta mambo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Njia 10 za kuondoa Stress na Uchovu kwa haraka

    1. Pitia picha zako zako za zamani kidogo, Picha za tukio moja wapo lililokufurahisha au za mtu mwingine yeyote wa karibu yako! 2. Fungua madirisha na kuruhusu mwanga na hewa kupita kwa kiasi kikubwa. Epuka kukaa sehemu yenye mwanga mdogo kwani hufanya hali yako ya uchovu au stress kuwa juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…