Nawezaje jifunza kifaransa kwa haraka?

Kuna taasisi kibao tu zinatoa short/long course ya lugha ya Kifaransa kama vile VETA n.k
 
Napenda sana kujua kifaransa, lakini sijapata mwalimu mzuri , naweza kupata wapi msaada?
 
Napenda sana kujua kifaransa, lakini sijapata mwalimu mzuri , naweza kupata wapi msaada?
Mwalimu wa kifaransa bongo tunaongopeana.
Ni wabovu sana kwenye matamshi.
Utajifunza lkn huwezi kuongea na mfaransa kamwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom