haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

    Sijajua vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa nchi vimejisahau au vimelala. Wakuu kumekua na wimbi kubwa sana la wahamiaji haramu hasa wamalawi, aisee jamaa wametapakaa mitaani sana Nadhani kwa wadau ambao ni wakazi wa pembezoni mwa miji hasa goba watakubaliana na Mimi(sijajua katikati ya Jiji...
  2. JamiiForums Tanzania Wenye akili au wanaotumia akili huwa wanakufa haraka kuliko hawa wengine

    Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema. Walikufa kwa natural death au kuuawa. Soma history usibishe. Angalia wapigania uhuru na mageuzi wa Africa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

    Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Matumaini yangu Mgeni kaombwa atuletee Watu wake ili Watuambukize Akili zao Kubwa nasi tuendelee haraka kama Wao

    Najua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku. Hata hivyo ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa kabla Mgeni hajaondoka Kesho utakuwa umemuomba akuletee Watu wake Werevu (...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Maisha ya mahusiano yanahitaji Mwelekeo na sio haraka

    Advice Huku mtaani ,majumbani barabarani habari ni kutelekezwa kwa watoto na kila familia Basi hukosi zao la single mothers au kijana wa ovyo aliyetia wanawake Mimba bila kuwaoa What I need to say. Maisha sio leo ni Kesho Kama asemavyo Mkuu Mshana Jr mentor wa vijana wa TANZANIA. Wakati wa...
  6. JamiiForums Tanzania Leseni ya Biashara haraka

    Salamu kwa wote! Nimeona kuwa kuna wenzangu wanaopata shida katika kupata leseni ya biashara. Sasa hivi niko hapa kukusaidia kwa kutuma maombi yako na kuhakikisha unapata leseni yako kwa haraka zaidi. Kumbuka, leseni ya biashara ni muhimu sana katika kuanzisha na kuendesha biashara yako kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Nimefatilia maisha ya Jay Z, nimegundua kuoa sio jambo la haraka

    Nipo nasoma Biography ya Jay z nimeona kazaliwa 1969 na kaoa Mwaka 2008 na kapata mtoto wake wa kwanza na Beyonce Mwaka 2012 Na watoto wake mapacha kawapata Mwaka 2017 Maana yake Jay z kaoa akiwa na miaka 38 Nilichogundua Mambo ya kuoa yanahitaji kujipanga yaani kutafata Direction na sio speed...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

    Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia, kukionja na kukigusa kila mara kwa muda mrefu. Mfano, mtu huwa anaishangaa na kulipenda vazi jipya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simba ikizidiwa umiliki wa mpira linahitaji jawabu haraka

    Baada ya Simba kufika QF msimu huu kuna kitu kimoja nimekiona na Mchambuzi wa AZAM SPORTS amekiongelea sana Ndugu Ramadhan Mwaduke. SIMBA inatatizo hili kwa muda mrefu sasa at least YANGA wanauwezo wa kupambana nalo. SIMBA ikizidiwa umiliki wa mpira kwa asilimia 60 au 70 inapoteza mwelekeo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani yaagiza Raia wake kuondoka nchini Urusi haraka

    Onyo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje, Antony J. Blinken, muda mfupi baada ya #Russia kumshikilia Mwandishi wa Habari wa #WallStreetJournal ambaye ni raia wa Marekani akidaiwa kuwa ni Jasusi Serikali ya #Marekani imesema inamesiliana na WSJ kuhusu sakata hilo na tayari imeanza kutafuta njia...
  11. JamiiForums Tanzania Kapombe, Zimbwe JR waitwa Stars haraka kuiwahi Uganda

    Licha ya ushindi bado mapengo yao yalionekana Sasa aibu imewatoka wamewarudisha kundini fullbacks bora afrika nzima. ====== Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam alitoa taarifa iliyokuwa ikinahusu kuogezwa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni dalili gani za haraka za Kumjua anayeendesha Gari ni Dereva tu (si lake) na Mmiliki halisi wa Gari?

    Kuna Mtu nimepishana nae akiwa katika Harrier matata sana huku akiwa na Mikogo yote (kama ya Watani zangu Wakubwa Wahaya) cha Kushangaza baada ya Nusu Saa nimekutana nae Ubungo anapakia Magunia ya Pumba za Kuku huku akiwa Kavua Shati kutokana na Joto Kali la Dar es Salaam sasa (ambalo TMA...
  13. JamiiForums Tanzania Mdada wa kiarabu, kizungu au shombe anahitajika haraka sana

    Wana JF Nina rafiki yangu ni mchanganyiko wa kihindi na mwafrka yupo Dar ameajiriwa na kampuni flan kubwa sana ameniomba nimsaidie kupata mke wa kiarabu au mwenye asili ya kiarabu au kizungu au mzungu ili aoe. Yeye umri wake 46, anao watoto 2. Wataongea wafahamiane wakikubaliana tabia basi...
  14. JamiiForums Tanzania Jibu Kwanini kimiminika Cha moto huganda haraka kuliko Cha baridi katika friji (mpemba's law)

    Hatimaye najibu Mpemba's Law 🤭 Kwanini kimiminika cha moto kinaganda haraka kuliko cha baridi katika friji.. Hapa jibu letu tunaweza kulipa jina "Utaratibu wa Mapambano ya Usawa". Kuwa kitu kilicho katika uchini wa chenzake hupambana kufikia hali bora na katika kupambana huko kitu hicho hushinda...
  15. JamiiForums Tanzania Business Insider: Tanzania Inaelekea kuwa kivutio na kitovu cha Uwekezaji Duniani

    Jarida maarufu la masuala ya biashara Afrika na Duniani limeitaja Tanzania kuwa Moja ya Nchi zinazoelekea kuwa kimbilio la wawekezaji Duniani. Hongera sana Rais Samia na Tanzania, haya ndio mambo tunapenda kuyasikia.. ======= Idadi ya miradi iliyosajiliwa nchini Tanzania iliongezeka kwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Barua za Utumishi zijibiwe haraka kuepusha malalamiko yasiyo ya lazima

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma kujibu kwa wakati barua za masuala ya kiutumishi ili kuepuka malalamiko yasiyo ya lazima ambayo yamekuwa yakielekezwa katika Ofisi ya...
  17. JamiiForums Tanzania MKWAMO: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ijitafakarini haraka

    Niende moja kwa moja kwenye mada husika ndugu wanajamvi. Taifa lolote lazma liheshimu elimu inayotolewa nchini maana elimu ni msingi wa maendeleo ya Taifa au jamii husika. Tangu nchi hii tupate uhuru tumekua tukicheza sana hudhuma hii muhimu kwenye Taifa letu. Kila waziri anaepewa nafasi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga yamtaka Fei Toto arudi klabuni haraka na pia klabu ipo tayari kumuuza

    Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kuwa imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah. Baada ya kupokea maamuzi hayo, Klabu ya Yang imemwandikia barua Feisal Salum kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavvo na...
  19. JamiiForums Tanzania Inawezekana 4G inamaliza bundle haraka sana kuliko 3G?

    Naomba kufahamu kama opt. ya 4G inapeleka bundle kwa kasi kuliko 3G.. Maana bundle halikai kabisa. Ahsante.
  20. JamiiForums Tanzania Kichefuchefu, msaada wa haraka

    Wadau Mimi ni dume ila huwa natambua kupata kichefuchefu baadhi ya masiku ila sio sana lakini leo kimenijaa sana hivi tatizo linaweza kuwa nini? Je linaweza kufanya vidonda vya tumbo Mapenzi nina miezi sijaweka kwa hewa je linaweza kuwa tatizo? Msaada wadau
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…