Tabora: Mtoto kazaliwa akiwa hana miguu na mkono mmoja ila hali yake kiafya ni nzuri

KISUNZU YP

Senior Member
Jul 30, 2016
114
37
Katika hali isiyo ya kawaida amezaliwa mtoto wa kiume ambaye hana miguu yote miwili na mkono mmoja wa kuume.

Mama alijifungulia nyumbani na kumleta katika kituo cha kutolea huduma za AFYA kwa msaada zaidi lakini mganga mfawidhi alijitahidi kuiwasilisha ofisi ya mganga mkuu wa Wilaya ili mama na mtoto wapate msaada wa kiserikali hata wa kiwizara lakini ni siku ya 5 sasa hadi mama anaogopa na kumnyonyesha kuwa yawezakuwa laana.
Mtoto kazaliwa Kata ya Igigwa wilayani sikonge Mkoani Tabora.

Msaada wa kuliibua ili mtoto na mama wapate msaada
 
Umesema hali ya mtoto ni nzuri Sasa cjui anataka msaada Gani ,au wakurudishiwa miguu yake na serikali
 
KISUNZU YP sina shaka utakuwa maeneo ya zahanati husika au unafahamiana na muhusika fanya msisitize mzazi amnyonyeshe mtoto hapo hakuna laana ni maumbile ya Mungu tu,tatizo watu wengi wa vijijini hawajawahi kutoka nje ya mikoa yao wakakutana na walemavu zaidi ya huyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom