Nimeamua Kukisanua: Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally 'anatukanwa' mno na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila hana jinsi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,119
Kama kuna Mtu ambaye anajuta kwanini kaacha Kazi Azam Media na kaja kuwa Msemaji wa Simba SC basi atakuwa ni Msemaji wa sasa Ahmed Ally.

Wengi wenu huwa mnamuona Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally yuko very normal ila ukweli ni kwamba ana Maumivu makubwa Moyoni hasa la Kutukanwa mara kwa mara na CEO Barbara Gonzalez lakini Kubwa ni la Kucheleweshewa Mshahara wake ambao hata akipewa nao hupewa Nusu Nusu tu.

Na kibaya zaidi hata Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally akirudi Kwake pia anakumbana na 'Balaa' jingine kutoka kwa Mkewe ambaye alimuonya kutotoka ( kuacha Kazi ) Azam Media na kuja kuwa Msemaji wa Kunyanyasika, Kutukanwa na Kudharaulika wa Simba SC na sasa hawako vizuri.

Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally umeshanunuliwa na Simba SC Gari Jipya na la Kifahari ( uliloahidiwa na CEO Barbara Gonzalez ) hadi ukaamua Kuuza 'Gari Mkweche' lako?

Ndiyo maana Shemeji ( Shemela ) Wetu anakupiga sana Vibao ( Kelebu ) mara kwa mara kutokana na Kukurupuka Kwako kuacha Kazi Azam Media na kuja kuwa Msemaji wa Simba SC ( Mambumbumbu FC Original )

Mmenikera sana leo kwa Kutudanganya wana Simba SC juu ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kutufanya ( kunifanya ) Nikeshe kama Popo hivyo nami sasa Nakisanua tu kwa Kuwaanikeni ili Mnyooke.
 
Hili hapana mkuu Gentemacyne huu ni uongo na uzushi ulifanikiwa kupambwa na nakshi za ukweli
-Mosi. Ahmed Ally analipwa vizuri kuliko wasemaji wote wa Simba waliopita
_presha ya Ahmed Ally ni kutumikia taasisi kubwa na yenye presha ila taasisi haimpi presha
-kuhusu Barbra najua wewe binafsi hujawahi kumkubali so sishangai Leo ukimzungumzia negative Barbra anapiga kazi vizuri ila Barbra ni mtu wa principles
-Kuhusu jezi ni swala la technical problem tusubiri tu ila Leo mchezo upo tayari jezi zimeingia Jana.

Msemaji wa Simba
jamii forum
2022
 
Kama kuna Mtu ambaye anajuta kwanini kaacha Kazi Azam Media na kaja kuwa Msemaji wa Simba SC basi atakuwa ni Msemaji wa sasa Ahmed Ally.

Wengi wenu huwa mnamuona Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally yuko very normal ila ukweli ni kwamba ana Maumivu makubwa Moyoni hasa la Kutukanwa mara kwa mara na CEO Barbara Gonzalez lakini Kubwa ni la Kucheleweshewa Mshahara wake ambao hata akipewa nao hupewa Nusu Nusu tu.

Na kibaya zaidi hata Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally akirudi Kwake pia anakumbana na 'Balaa' jingine kutoka kwa Mkewe ambaye alimuonya kutotoka ( kuacha Kazi ) Azam Media na kuja kuwa Msemaji wa Kunyanyasika, Kutukanwa na Kudharaulika wa Simba SC na sasa hawako vizuri.

Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally umeshanunuliwa na Simba SC Gari Jipya na la Kifahari ( uliloahidiwa na CEO Barbara Gonzalez ) hadi ukaamua Kuuza 'Gari Mkweche' lako?

Ndiyo maana Shemeji ( Shemela ) Wetu anakupiga sana Vibao ( Kelebu ) mara kwa mara kutokana na Kukurupuka Kwako kuacha Kazi Azam Media na kuja kuwa Msemaji wa Simba SC ( Mambumbumbu FC Original )

Mmenikera sana leo kwa Kutudanganya wana Simba SC juu ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kutufanya ( kunifanya ) Nikeshe kama Popo hivyo nami sasa Nakisanua tu kwa Kuwaanikeni ili Mnyooke.
Sasa unataka utukanwe wewe?
 
Tumsaidie
 
Back
Top Bottom