Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu...
Urusi wanasaka hizi silaha za HIMAS usiku na mchana maana zinawatesa zaidi ya balaa, na bado Marekani wanaendelea kuziongeza, ni aina ya silaha yenye uwezo wa maangamizi makubwa na ikipiga wanaiondosha ilipofyatulia, hivyo hata ukijibu unaambulia kupiga mapori bila chochote cha maana humo...
Kama heading inavyo
Xavier Hernández Creus almaarufu Xavier kiungo mstaafu na kocha wa Barca huyu fundi ni kwanini anaonekana kumchukia fundi Frenchie De Jong!
Nikiwa mdau wa mashetani The Red devils nimekuwa nikifuatilia Sana usajili wake Kwa man utd, na wakati yeye anaipenda Barca, kocha...
Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe...
Sijui vijana wetu wa Kitanzania wanafeli wapi.
What Is 'HanaKuma' And Why Are KoT Losing Their Heads Over It?
Tennis superstar Naomi Osaka during a past tournament. PHOTO | COURTESY
HanaKuma, according to Osaka, means “flower bear” in Japanese; and while that sounds cute and all, it has a...
Sio tatizo kumpongeza Mtu alivyovaa na kupendeza, lakini ni vipi unampongeza Mtu kwa kuwa ni Mzuri au umbile lake zuri?...sio tatizo kumpongeza Mtu aliyefanya mazoezi na kutengeneza muonekano wa mwili (body building).
Hivi kwa akili zetu hizi huyo tunayempongeza ana mchango gani kumfanya yeye...
Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa.
Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabagui
Mnataka kuleta uwongo kuwa kulikuwa na maridhiano? Acheni janja ya kishamba. Maridhiano gani sasa? Kwani Spika alikuwa na taarifa za uongo? Au ndio Mbowe aliingia makubariano ya kuacha harakati?
👇
Lissu anadai kutema cheche?
👇
Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT.
Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki.
Nani atampa kura yake Zitto Kabwe?
Huko nyuma ziliwahi kuwekwa...
Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR.
Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika...
Mrisho Mpoto alianza enzi na mashairi yaliyomleta kwenye ramani akianza na lile la "Mpendwa mjomba, tumetengenishwa na ukuta..."
Watu wakamuelewa na namna yake ya kughani, wimbo wa mwisho wa aina hiyo ilikuwa Sizonje, baada ya hapo naona hali imekuwa tofuati.
Sidhani kama anaweza kukaa...
Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
Akiongea na East Africa Radio leo kuhusu maadhimisho ya Miaka 100 ya Nyerere, Makongoro Nyerere ametoa “kifumbo” ambacho wachambuzi wa mambo wanahusisha na kauli ya mama Salma Kikwete kuhusu mafao ya wenza wa marais.
"Mama Maria Nyerere kama siku 14 zilizopita nilipata taarifa kutoka kwa...
Wataalamu na wachambuzi wa medani wanakubaliana kuwa victim wa kwanza ndani ya uwanja wa vita ni ukweli kwa kulitambua hilo ndio maana majeshi yote duniani yanakula kiapo na kutakiwa kutii order na si vinginevyo. Ukiwa askari unaweza kutumwa kwenye operation ya kijinga na ukapoteza maisha...
Ilikua hivi, alimchumbia akiwa mwanafunzi, ahadi kibao walipeana mpaka ndoto ilipotimia ya jamaa kupeleka posa na kukipa mahari. Mke alielewa hali ya jamaa na alihamia baada ya hatua za mahari kukamilika.
Sasa anataka kusimea mafunzo ya upishi kama ahadi zao walizoahidiana kabla ya ndoa. Mume...
Wengi wetu huamini Kikwete ni master wa siasa uchwara jambo ambalo si kweli!
Kwanini;
Unamfahamu mwamba mmoja anaitwa Uhuru Kenyatta?
Uhuru mwaka huu ndiye atadhihirisha umwamba wake wa siasa za East Africa.
Rejea Lowasa na Kikwete na utakuwa upo nyuma ya wakati ukifikiri urafiki wa ghafla...
Kwa hakika mwanamke ana thamani ndogo mnoooo.... Ukiachana na talaka halali pale mwanamke akikosea, kuna muda mwanaume anaweza kutaka tu kumfukuza mke wake, hapo akitamka tu Talaka mara 3 basi mwanamke anarudi kwao huko ndoa imeisha
Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti.
Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help...
Habari!
Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct.
Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva.
Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
Kwema Wakuu
Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri.
Nimeona watu wengi wakimshambulia Fid Q Kwa kile walichokiita ametia aibu na kuharibu Heshima yake aliyoiweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.