Mwanamke hana thamani, akitamkiwa TALAKA TALAKA TALAKA, ndoa imeisha hapo

Hebu subiri kidogo nieleweshe hapo kwenye kutamka kwahiyo ninatakiwa nitamke talaka mara tatu na mchezo umekwisha au nafanya kama kunuia?
 
Kwa hiyo utamke talaka, talaka, talaka mwanamke aende kwao.......hujawajua wanawake wewe, unaweza kujikuta wewe ndo umechapa lapa yeye akaendelea kujivinjari na watoto wake.
Huyo atakuwa na kiburi na hana adabu, anakuwa kinyume na maandiko matakatifu katika uislam
 
Thamani ya mwanamke ni kubwa kuliko uKuu wa dunia. Mwanamke ndie anaeibeba dunia, ndie anaeibeba dini.
Kama ujui thamani ya mke akuachie watoto uhangaike nao kama utaweza, kesho tu utaomba msamaha arejee. Tuna mapungufu wote, wapo wanaume wapumbavu pia wanawake wapumbavu wako. Wapo wanaume feki pia wanawake feki. Muombe Mola akupe mke mwema utakuwa juu ya dunia, ukimpata mpumbavu utakuwa Mwalimu wa falsafa ya mapenzi kwa wenzio utapata pesa kama mshauri ndoa.
 
Hebu subiri kidogo nieleweshe hapo kwenye kutamka kwahiyo ninatakiwa nitamke talaka mara tatu na mchezo umekwisha au nafanya kama kunuia?
Yani wewe ni kutamka tu TALAKA TALAKA TALAKA..... mchezo umeisha hapo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom