halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali itufikirie Wahandisi wa Halmashauri tunalipwa mishahara midogo tofauti na kada nyingine

    Mimi kufikisha kero zetu za Watumishi wa Halmashauri kuwa na mishahara midogo sana ambayo haiendani na watumishi wenzetu waliopo kwenye taasisi za kiserikali. Mfano Engineer wa Halmashauri ajira mpya anaanza na mshahara wa Shilingi 1,110,000 kabla ya Makato, halafu Engineer Ajira mpya wa TARURA...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waalimu Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita hatujamaliziwa fedha zetu za kujikimu

    Ajira mpya wa mwaka huu 2026 tuliingiziwa kiasi cha shilingi za kitanzania laki mbili na themanini lakini tangu hapo hatujaona kitu tena huku kinacholeta wasi wasi zaidi tukiuliza wenzetu wa mwaka jana 2025 wanasema hawajapewa hata kidogo Bila sababu za msingi wakati ukiangalia ni haki ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Kongwa Hatujalipwa Pesa Za Kujikimu, Ukihoji Hawana Majibu ya Kueleweka

    Ajira Mpya Halmashauri Ya Kongwa Hatujalipwa Pesa Za Kujikimu, Ukihoji Hawana Majibu Ya Kueleweka Wanakua Na Kona Kona Nyingi Sana Kongwa ipo mkoa wa Dodoma, Ajira ya January 2026 (ajira ya mwaka 2025 wamelipwa mwezi uliopita laki 4 tu, wamepunguziwa), Kada elimu.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ajira Mpya Halmashauri ya Mkalama DC – Singida hadi mtu aombe mkopo ndio anathibitishwa kazini?

    Halmashauri ya Mkalama DC, Singida watumishi wa Ajira Mpya tangu Novemba 2024, Kada ya Afya, hawajathibitishwa kazini hadi sasa ni Mwaka na miezi 5, japo wapo baadhi wamethibitishi kwenye mfumo baada ya kuomba mkopo kupitia ESS utumishi. Je, hii almashauri hadi mtu aombe mkopo ndipo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Sengerema hatujalipwa posho za kujikimu, hali ya maisha imekuwa ngumu

    Mimi ni mdau, nipo Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, naomba kuwasilisha kero kuhusu malipo ya posho za kujikimu katika Idara ya Elimu. Walimu wameripot kazini lakini hela za kujikimu inakuwa changamoto kupewa kwa muda, kuna walimu wanapewa nusu na wameahdiwa kupatiwa inayobaki..ila hakuna...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga Watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga , watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu, pesa za Kupanda kwa madaraja, pesa za Uhamisho tusaidie...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi baadhi ya Maafisa wanazungusha Watu ilimradi tu 'ueleweke'

    Unapeleka transfer pale Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi umenunua ardhi tuseme ili wakupe form Namba 33 ya transfer apart kuwa umelipia malipo ya Serikali under control number wanakuzungusha hata three-month ili mradi tu uwape hela ya kuwapoza. Kwa mwendo huu Rushwa itaisha Tanzania...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nyumba 2,450 zilibomolewa Mitamba-Kibaha, CAG kaibua upigaji wa Halmashauri eneo hilohilo, je, hatukutendewa haki?

    Mimi ni Mwananchi kutokea Pwani, Wilaya Kibaha kero yangu ni kuwa ninachukizwa na ukiukwaji na ukatili tuliofanyiwa na Serikali kuvunja nyumba takribani 2,450 wakidai ni wavamizi waliovamia pori maeneo Mitamba Kata ya Pangani kisha wakapima maeneo na kuuzia watu wengine. Juzi tunasikia Ripori...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Kahama inachelewa kuwapa Watumishi posho zao za kujikimu

    Halmashauri ya Kahama inachelewa kuwapa Watumishi posho zao za kujikimu imesababisha wale walioajiriwa Mwaka 2025 bado wanadai posho ya kujikimu na wapo waliopewa lakini sio hela yote, wamepewa kidogo. Wakati Halmashauri zingne zimeshalipa posho ya kujikimu ya Mwaka 2025 na hawa wapya wa Mwaka...
  10. Bambalaga01

    JamiiForums Tanzania Tuliopata kazi na kupangiwa Halmashauri njooni tushauriane

    Habari wakuu! Naomba kujua changamoto ya kufanya kazi halmashauri ambazo ziko chini ya TAMISEMI na kushauriana namna ya kuukwepa umasikini kwa kupeana michongo ya fursa mbalimbali. Ahsante.
  11. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe litazameni Soko la Ndizi Kiwira, mazingira siyo rafiki

    Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko limejaa matope balaa hali inayohatarisha afya za wateja. Viongozi liangalieni hili maana ni aibu kubwa.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI inaajiri bila kuwa na bajeti? Kilio cha stahiki ya ajira mpya Halmashauri ya Bumbuli kina mwaka sasa hakuna majibu

    Halmashauri ya Bumbuli haijalipa posho ya kujikimu kwa ajira mpya tangu Mwaka 2025 Mwezi Februari, watu wanamaliza mishahara kulipia deni waliloahidi kupewa mwaka mmoha uliopita, kibaya zaidi hakuna maelekezo yoyote. Inamaana TAMISEMI wanaajiri watu bila kutoa bajetI za watumishi na ukizingatia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Mkinga -Tanga hatujapewa Pesa ya Kujikimu

    Sisi Waalimu wa Halmashauri ya Mkinga -Tanga, Tumekua Tukiahidiwa Pesa ya Kujikimu kuwa tutapewa lakini mpka Sasa pesa hiyo imekua ni danadana, Halmashauri wamekua na maneno Matamu ya KESHO , KESHO na ukizingatia Tunafanya kazi katika mazingira magumu Sana, Awali tuliambiwa Tusaini fomu , fomu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iwezeshe Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri zeto. Sio inakuwa Idara ya Mapato ya Leseni na Vibanda tu

    Halmashauri zetu zote zina idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambayo inatekeeleza majukumu yake chini ya Sehemu mbili yaani Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji, na Sehemu ya Biashara na Masoko. Idara hii ikiwezeshwa ipasavyo inaweza kuwa roho na msingi wa Halmashauri zetu...
  15. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Bei ya wese - Halmashauri toeni Ruzuku kwenye (Petrol & Diesel) kwenye Wilaya zenu

    Habari Tanzania !. Hii ni chemsha bongo. Naziomba Halmashauri zote hapa nchini wafanye maamuzi waonavyo kulingana na uwezo wao kuweka ruzuku kwenye (Petrol & Diesel) ili kuimudu mfumuko wa bidhaa hizo kwenye maeneo yao. Maana hatari kuu itawapa mtake msitake mtakapokuwa mnataka kukusanya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kipi kinakwamisha Ajira Mpya Halmashauri ya Itilima (Simiyu) kutothibitishwa kazini tangu 2024?

    Halmashauri ya Itilima iliyopo Mkoani Simiyu vivyo hivyo pia Watumishi wake walioajiriwa Mwaka 2024 katika Sekta ya Afya hawajathibitishwa kazini. Hii inaleta ulakini ni nini hasa changamoto, maana mwanzo walidai madiwani hawajaapishwa ila sidhani mpaka leo hiyo inaweza kuwa sababu ya watumishi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha DC kuna jambo linastahili kufuatiliwa katika Sekta ya Elimu

    Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC. Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo. Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakulima wa Mpunga Kilosa tunateseka na Mashamba, wakati wa mavuno Halmashauri wanakuja na ushuru unaotuumiza

    Halmashauri ya Kilosa kuchukua Sh 2,000 kwa kila gunia la mpunga kwa Wakulima wa mpunga katika Kata ya KIMAMBA A na KIMAMBA B Wilayani KILOSA mkoani MOROGORO, ni maumivu makali kwetu kwa kuwa ni kama hawatusaidii chochote kisha Wakulima wanaolima Bonde la Kimamba kwa sasa wanahangaika na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uzorotaji kupita kiasi wa miundo mbinu Huku LAELA, Halmashauri ya Sumbawanga

    Ndugu admin, naomba lifikishwe hili kwenye Wizara kama siyo Idara zinazohusika tutatuliwe hii kero. Serikali imejitutumua kusambaza Nishati ya Umeme huku kwetu Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga lakini hatufahamu huu ni umeme wa aina gani ambao ndani ya dakika 15 hukatika kwa takriban mara 8...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inachelewesha sana kutoa Barua za Kuthibitishwa kazini

    Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini. Tunaomba Viongozi Washughulikie Swala Hili Kwani, Kama Mtumishi Wa Umma Kuwa Na Barua Hizo Inasaidia Katika...
Back
Top Bottom