halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero yangu ni usafiri katika Halmashauri ya Mafia, huduma ni mbovu na kuna mazingira ya Rushwa

    1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao. 4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Busega, ajira mpya tunakatwa vyama viwili

    Tunaomba mtusaidie huku halmashauri ya Busega ajira mpya wanakata vyama viwili (Tuge na Twalbu) kwa pamoja bila kutoa maelekezo yoyote, mimi nipo Kada ya Afya. Na pesa za kujikimu pia changamoto toka Mwezi wa 9, 2025 wakati halmashauri zingine wamepata.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Waziri wa UTUMISHI afanye ziara kama Waziri Mkuu, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri nyingi ni 'Miungu Watu'

    Tumeona ziara ya Waziri Mkuu ikitupa picha halisi juu ya uzembe na kutokuwa na uwajibikaji wa uwazi katika Ofisi za Umma. Tunaomba pia Waziri wa UTUMISHI (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) angeanza ziara ya kupitia hususani katika Halmashauri zote...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watumishi Halmashauri ya Tanganyika hatujalipwa malipo ya likizo tangu 2024

    Natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfano likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo. Yaani kama unadai shilingi Laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watumishi Halmashauri ya Tanganyika hatujalipwa malipo ya likizo tangu 2024

    Mimi natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfani likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo. Yaani kama unadai laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi: Baadhi ya Halmashauri Mkoa wa Kigoma hawalipwi kulingana na Umbali

    Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi. Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao. Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Mkuu anapofanya ziara, awakumbuke watumishi wa Halmashauri

    Waziri mkuu katika ziara zake atenge mda wa kuwasililiza watumishi Kuna kero nyingi hasa Halmashauri zetu, Kuna wakurugenzi na baadhi ya wasaidizi wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo. Katika kusikiliza Watumishi wenye vyeo wasiwe kwenye Hilo jumuiko
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbulu DC kuna kikundi kinatumia STAHIKI ZA WATUMISHI! Mamlaka chunguzeni

    Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi hatulipwi pesa ya mda wa ziada. Kuna miezi walisema pesa zimechukuliwa zinaenda kulipa mwenge, mwezi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Pesa za Kujikimu Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

    Habari wadau, Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa Tamisemi Sumbawanga municipal council. Watu wanalalamika hawalipwi
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki Kariakoo kwa kuita "wrong parking" bila utaratibu

    Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking. Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa. Ni uonevu mkubwa sana hilo suala...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Halmashauri ya Ubungo hatujalipwa tangu Juni 2025

    Sisi ni ajira mpya Halmashauri ya Ubungo, hatujalipwa pesa zetu za kujikimu tokea mwezi wa 6 mwaka jana (2025). Tumejaribu kuafuatilia sana kwenye ofisi za Halmashauri husika, pasipo kupata majibu sahihi kuwa ni lini watatulipa pesa zetu.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM Geita imechanganyikiwa? Madiwani walimkataa Manunga kuwa mwenyekiti wa Halmashauri . Leo hii mnafukuza uanachama huku mlilazimisha awe mqenyekiti?

    Alishindwa na Diwani Kapembe. Mkalazimiha awe Mwenyekiti. leo Mmefukuza uanachama
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Ushetu hatujapata pesa za kujikimu, tukiuliza wahusika wanakuwa wakali

    Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini! Tukienda halmashauri wanakuwa wakali, hakuna majibu ya kueleweka! Swala la hela ya kujikimu kila halmashauri inatakiwa tulipwe...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hongereni Halmashauri ya Mji Bariadi kwa kulitengeneza gari hili la maji taka

    Siku chache zilizopita kupitia Jukwaa hili, nilileta moja ya hoja kutoka kwenye Halmashauri yangu ya Mji wa Bariadi. https://www.jamiiforums.com/threads/halmashauri-ya-mji-wa-bariadi-imetelekeza-vifaa-vilivyonunuliwa-kwa-fedha-za-kodi-za-wananchi-hawajali-hakuna-anayeumia.2413699/ Hoja hiyo...
  16. Mafia Island Boy

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Mikopo ya Asimilia 10 za Halmashauri zinatolewa kwa ubaguzi wa Kisiasa katika baadhi ya maeneo ya Dar

    Wakati Serikali ikiahidi kutoa kiasi cha Sh 200 Bilioni, kwa mikopo ya vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu, baadhi ya Vijana na wanawake wamelalamika kuwa mikopo hiyo inatolewa kwa misingi ya itikadi za vyama huku wafuasi na makada wa CCM, wakiwa kipaumbele kwenye mikopo hiyo. Mwandishi wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri nyingi zinachelewesha kuthibitisha watumishi kazini

    HR haswa upande wa halmashauri nyingi ni kero, hawashughulikii swala la uthibitishwaji kazini watu wamekaa takriban miaka miwili hawajathibitishwa. Hakuna maelezo kamili ni uzembe uliopitiliza
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI afanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amefanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kilicholenga kuweka mkakati wa utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba hususani ya utatuzi wa kero na changamoto za wananchi...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wauza kitimoto wasajiliwe Halmashauri

    Nashauri wauza kitimoto wote wasajiliwe na Halmashauri husika. Ili kuboresha huduma na mazingira ya usafi zilipo ofisi za wauza kitimoto
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anusa wizi mwingine Muheza – Tanga, ni wa vifaa vya ujenzi jengo la Halmashauri ya Wilaya

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo. “Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
Back
Top Bottom