KERO Halmashauri ya Busega, ajira mpya tunakatwa vyama viwili

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tunaomba mtusaidie huku halmashauri ya Busega ajira mpya wanakata vyama viwili (Tuge na Twalbu) kwa pamoja bila kutoa maelekezo yoyote, mimi nipo Kada ya Afya.

Na pesa za kujikimu pia changamoto toka Mwezi wa 9, 2025 wakati halmashauri zingine wamepata.
 
TWALBU ni chama gani?
 
Hii mpya kumbe kuna chama kipya kinaitwa Twalbu
 
Wana haki ya kukatwa kama mtumishi mwenyewe ndiyo huyu halafu huu upuuzi wa kukatwa bila willing yako umetoka wapi mimi huu upumbavu hawakuthubutu
Hata hyo tuge
Au alimanisha TUGHE?
naona hata mfanyakazi na yeye ndo bure kabisa
 
Tunaomba mtusaidie huku halmashauri ya Busega ajira mpya wanakata vyama viwili (Tuge na Twalbu) kwa pamoja bila kutoa maelekezo yoyote, mimi nipo Kada ya Afya.

Na pesa za kujikimu pia changamoto toka Mwezi wa 9, 2025 wakati halmashauri zingine wamepata.
Ma HR wilayani wamelala au wanapuuzia kama kawaida yao
 
Mkashindwa kujiorganise na kwenda halmashauri kupata maelekezo? Au ndio nchi ya malalamiko, viongozi wanalalamika na wananchi pia wanalalamika!!!
 
Ma HR wilayani wamelala au wanapuuzia kama kawaida yao
Ulaji kaka. maHR hapo ndo wanapopiga kulingana na wakala wa chama husika na dau lake.
Hivyo vyama vyote havimsaidii mtumishi hata kidogo zaidi ya kupata tisheti na mwamvuli.
 
Back
Top Bottom