Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mbinga aliwapa kazi walimu kuandikisha kaya na wanakaya katika makazi bila malipo yoyote kwa visingizio kuwa mikataba yao ya ajira inasema watafanya majukumu yao ya kitaaluma pamoja na majukumu mengine watakayopangiwa na mwajiri.
Kiuhalisia, majukumu hayo...
Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Dodoma-Tanzania
🗓️Januari 29, 2029
———————————————
Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Dodoma-Tanzania
🗓️Januari 29, 2029
———————————————
Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu alisema:
"Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu"
Nimeogopa kutaja directly kituo cha kazi huwenda nikajulikana
Lakini,
Muda mrefu umepita Baada ya kuripoti ila ni kama wanapotezea posho ya kujikimu wakati ipo kwa mujibu wa Sheria.
Tumewasiliana na wenzetu wa Halmashauri zingine tukagundua hili ni tatizo la Halmashauri zote za mkoa wa...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kilimanjaro
kujikimu
mpya
posho
wilaya
Nawanyooshea kidole Mkurugenzi wa Halmashauri na Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera kwa kuwaonea Wananchi wa Kata ya Bugandika hasa vijijini.
Hiyo ni kutokana na kitendo chao cha kuondoa gulio lao la kila Jumatano na kulipeleka kwa...
Anonymous
Thread
halmashauri
huduma
maana
msingi
rudisheni
wananchi
wilaya
Habari za asubuhi
Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama ahadi yake ya siku 100 alivoitoa na kwa asilimia 100 kaitekeleza.
Kipembepembe kinakuja kwa hawa...
Wakuu,
Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya...
Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, imeweka msisitizo kwa Hospitali za Serikali wilayani humo, kuhudumia wagonjwa kabla ya malipo ili kuokoa maisha na kupunguza malalamiko.
Hatua hiyo imetajwa ni kutekeleza maagizo ya Serikali katika kusimamia sera ya afya kwa vitendo kwa lengo la...
Kumekuwepo na tabia ya watu kutoka taasisi za mikopo na baadhi ya benki (ambazo mtumishi sio mteja) kumtafuta mtumishi wa uma na kumuelezea masuala ya mikopo.
Maswali ya kujiuliza ni:
Je, taarifa za watumishi hawa haswa mawasiliano yao zipo salama?
Lakini kama hawa watu wanaweza kujua hadi...
Anonymous (2a9d)
Thread
halmashauri
kugawa
namba
sawa
sio
taarifa
usalama
watumishi
Halmashauri ya Wilaya ya Chato imetoa mitumbwi miwili kwa ajili ya Kisiwa cha Iyozu ambayo itatumika zaidi katika kuwasafirisha Wanafunzi bure wakati wa kwenda Shule na kurejea nyumbani.
Diwani wa Kata ya Muungano, Charles Kapembe amesema mbali na kupelekwa mitumbwi hiyo, suluhisho la kudumu ni...
Mimi ni mwalimu wa Ajira mpya wa kada ya Ualimu (Sekondari), halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoa wa kigoma.
Nimeajiriwa yangu tarehe 24 April 2025 nilitakiwa kulipa kiasi cha Tshs 1,095,000/= kama malipo ya pesa ya kujikimu lakini mpaka hivi leo nimelipa kiasi cha Tshs 186,000/= kama punguzo...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kakonko
kigoma
mimi
mkoa
mpya
mwalimu
wilaya
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu.
Tumefanya jitihada kuwasiliana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya WhatsApp lakini hajajibu badala yake amedai...
Anonymous
Thread
awamu
halmashauri
kazi
masasi
mtwara
vijiji
watendaji
watendaji wa vijiji
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika.
Kusoma hoja ya Mdau...
Kuna vitu vinafanywa na serikali ukiviangalia vinaumiza, vinatia watu hasira, na hata hakuna anayejali, au kuumia kama ambavyo Wananchi tunaumia.
Hapo juu kuna picha nne, ingawa nimeziunganisha ili zikae sehemu moja, ni picha ya gari la taka, nyingine la kukusanya uchafu na nyingine ni mashine...
Ninaandika ujumbe huu nikiwa mtumishi wa umma niliyeajiriwa ajira mpya mwezi wa saba (Julai) mwaka 2025 katika Halmashauri ya Bunda Mji.
Kwa masikitiko makubwa, hadi leo hii bado hatujalipwa fedha za kujikimu kama ilivyoelekezwa kisheria. Aidha, baadhi yetu bado hatujalipwa hata mshahara wa...
Anonymous
Thread
bado
bunda
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
hawajalipwa
julai
kujikimu
kwanza
mji
mshahara
watumishi
Hayo yamesemwa na bodaboda katika kongamano la mwaka la Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria ambapo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni Mgeni Rasmi.
Mkutano huo umefanyika katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70.
Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi.
Kapembe ameahinda kwa kura nyingi. Kwa nini Manunga anapigiwa debe ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.