Sisi watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea tunapitia kipindi kigumu kutokana na kucheleweshwa kwa stahiki zetu mbalimbali, hususan malipo ya posho za kuhudhuria vikao. Tatizo kubwa linalolalamikiwa ni kwamba Mkurugenzi wa Fedha (DT) amekuwa hapitishi malipo hayo kwa wakati.
Kuna...
Anonymous
Thread
forum
habari
halmashauri
jamii
jamii forum
nachingwea
watumishi
wilaya
Ahsanteni sana JamiiForums kwa kuendelea kutupatia habari na kutupa nafasi ya kufikisha sauti zetu.
Sisi watumishi wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, kada ya elimu, hadi sasa hatujapokea fedha za kujikimu. Jambo hili linatupa wasiwasi, hasa ikizingatiwa kwamba wenzetu wa...
Habari, mm nimwajiriwa mpya wa serikali katika Halmashauri ya Mji Tarime ajira za mwezi January 2026, pamoja na katibu mkuu TAMISEMI kutoa waraka wa kuelekeza watumishi wapya wote walipewe pesa za kujikimu kufikia tarehe 15 June 2026 lakini mpaka leo hatujalipwa pesa hizo, wametufanyia danganya...
Anonymous
Thread
halmashauri
pesa za kujikimu
tamisemi
tarime
watumishi wapya
Ninafanya kazi katika kampuni hii kwa zaidi ya miaka mitatu, lakini hadi sasa bado ninadai mishahara ya kipindi kilichopita ambayo sijalipwa. Mbali na kucheleweshwa kwa mishahara, hivi karibuni uongozi wa kampuni ulifanya kikao na kutangaza kuwa wafanyakazi waliokuwa wakilipwa mshahara wa...
Anonymous (b466)
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
malalamiko
mkalama
mpya
mwanza
singida
wilaya
wilaya ya mkalama
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Mkoani Pwani imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya Barabara kutoka Sheli hadi Mpigi na ile ya kuelekea Tankini na Muheza katika Kata ya Mailimoja kwa kusema kuwa ilipeleka kiasi cha Shilingi Milioni 420 kwa mgawo wa Shilingi Milioni 30 kwa kila kata.
Taarifa ya...
Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya.
Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo.
Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni
Sehemu kubwa ya misitu ya...
Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetoa ufafanuzi kuhusu uchakavu wa madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Kata ya Kyimo kwa kueleza kuwa kuna kiasi cha Tsh. Milioni 10 kimetengwa kwaajili ya maboresho.
Hatua hiyo inakuja baada ya Mwananchi kuhoji kupitia JamiiForums.com kuwa...
Kuna namna fulani ya halmashauri pamoja na tume yetu ya kazi/ajira hapa nchini Tanzania inachangia kwa asilimia kubwa sana wafanyakazi kukosa stahiki zao kutoka kwa Waajiri wao hususani private sector.
Nlikuwa nafanya kazi Kampuni fulani ambayo makao makuu yapo Dar es salaam ila kituo cha kazi...
Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha.
Akram ambaye pia...
Madaktari hospitali ya wilaya katika Halmashauri ya Mpimbwe wanadai kunyimwa malipo ya call allowance tangu Februari mwaka jana, huku wakielezwa kuwa OC haijaingiziwa fedha hizo. Hata hivyo, fedha zimekuwa zikipokelewa lakini zinabadilishwa matumizi kinyume na kusudio lake na bila utaratibu...
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha mtu.
Kinachokera zaidi ni kuwa Halmashauri ni mbali kiasi kwamba hizo siku zote unaweza tumia zaidi...
Anonymous
Thread
ded
halmashauri
huduma
kupata
majukumu
ofisini
shinyanga
wilaya
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji na uidhinishaji wa mikopo maalumu kwa watumishi inayotolewa kupitia Hazina.
Nimeomba mkopo huo mara tatu katika vipindi tofauti ndani ya miaka mitatu iliyopita. Kila mara ninapowasilisha ombi langu kupitia mfumo wa mtandao, ombi...
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE.
Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu.
Tumekuwa tukifatilia...
Baadhi ya watumishi walioajiriwa wilaya ya Siha mwaka 2021, hatukulipwa mshahara wa kwanza wa July 2021.
Imepita miaka minne sasa unaenda mwaka wa tano.
Tumeshaandika sana barua na kujaza fomu za kulipwa mshahara huo lakini hakuna majibu yoyote ya kuridhisha.
Anonymous
Thread
halmashauri
juni
kwanza
mishahara
mwaka
mwaka 2021
naomba
siha
watumishi
wilaya
Jamani, Tanesco, nalia na nyie! Mtatutoa roho nyie. Yaani mtu unanunua umeme wa shilingi elfu 20, unapewa umeme wa shilingi elfu 10? Hivi nyie mna matatizo gani?
Iko hivi, juzi umeme kwangu uliisha usiku, nikasema ninunue umeme wa elfu 5, ukagoma. Nikajua labda pesa haitoshi, nikiongeza elfu...
Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu.
Pia soma:
~ Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki
~ Halmashauri...
Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa.
Wanaoweza kuongea nao vzuri wanapewa datasheet ila wengine hawapatiwi taarifa za datasheet ila wahame...
Anonymous
Thread
ded
halmashauri
kibali
korogwe
uhamisho
vijijini
watumishi
wilaya
Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi.
Wengine wetu walijitolea kufanya kazi toka muda huo hadi sasa lakini mazingira yamekuwa magumu.
Halmashauri hakuna jibu la...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kazi
magumu
mazingira
mazingira magumu
mpya
Kwa sasa, karibu kila huduma muhimu kwa watumishi imehamishiwa kwenye mfumo wa e-UTUMISHI (ESS). Kupitia mfumo huo, mtumishi anaweza kuomba likizo, mikopo, uhamisho, kuongeza wategemezi, kupata salary slip, na huduma nyingine nyingi bila usumbufu wa kufuatilia makaratasi kutoka ofisi moja hadi...
Anonymous (6687)
Thread
ajira
chama cha walimu (cwt)
ess utumishi
halmashauri
mwaka
urambo
vyama vya wafanyakazi
watumishi
watumishi wapya
wilaya
Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
Anonymous
Thread
afya
ajira
halmashauri
kada
kada ya afya
nyang'hwale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.