hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    GE2025 DC Kigamboni, Dalmia Mikaya: Hali ya usalama ni shwari wananchi waendelee kujitokeza kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa "Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
  2. GE2025 Kwa tulioshuhudia chaguzi za vyama vingi toka 1995 hadi sasa Hali ya uchaguzi 2025 ni tulivu sana

    So far tuwapongeze wahusika wote wa maandalizi ya uchaguzi huu wa 2025. Kwa wale tulioshuhudia chaguzi kadhaa toka mfumo wa vyama vingi uanze hatuna budi kussma hali ni ya amani mno na yenye kuvutia watu wengi kupiga kura kwa utulivu. Shetani au wahujumu waliopambana kuzuia tukio hili muhimu...
  3. Sala ya Kuwaombea Viongozi na Waathirika wa Hali ya Kisiasa Tanzania

    Baba Yetu wa Mbinguni, tunakushukuru kwa upendo wako mkuu na rehema zisizo na mwisho. Tunakutolea sala hii, tukiwa na majonzi ya mioyo yetu, tukiwaombea viongozi na wananchi waliokumbwa na maumivu na mateso katika taifa letu. Tunakuomba, Baba yetu, uingilie kati kwa huruma yako isiyokwisha. 1...
  4. Kwa kinachoendelea kwa Mkapa, Tanzania itakombolewa kweli?

    Hii hali ya uwanja leo huku watu wanazidi kutekwa. Tundu Lissu yupo ndani watu wanacheza mchiriku. Mama iba hela mpaka unga uwe 10000 kilo. Piga hela mpaka umeme wa 10000 upate unit 5. Piga hela mpaka watu wawe tayari kuuwa polisi. https://www.youtube.com/watch?v=aimNKl6X4xQ
  5. Jumuiya na asasi za kimataifa zazidi kukemea hali ya kutekana Tanzania

    Amnesty international wameendelea kutoa ripoti ya kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini. Hivi karibuni pia Democracy Union of Africa (DUA) imetoa kauli juu ya ukiukwaji wa haki unaendelea nchini. Hii inaonesha jumuiya za kjmataifa zinaelewa kinachoendelea.
  6. Kwa hali ya kawaida: Hivi mtu unawezaje kuiba zaidi ya Bilioni 100?

    Yaani kwa umri wangu huu wa miaka labda 40; hizo Bilioni 100 za uwizi zanifaa nini haswa? Kwasababu hizi fedha hata kwa kuzila haziishi. Na mbaya zaidi: unakuta kwamba mtu anafanya wizi; anadhulumu haki za watu wengine kupata huduma, imagine hiyo ingewapa wanafunzi wangapi mikopo ya elimu ya...
  7. R

    Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
  8. Ushauri wangu kwa hali hii inayoendelea

    Kama baba wa familia, kijana,mke, au kiongozi wa familia nunua vyakula weka ndani hasa wale mlio zoea kununua mchele kilo moja kila siku nunua vya kula vya mwezi mambo yana weza badirika watoto wakafa njaa Unaenda kupambana njee uko lakini una jua familia yako ina chakula cha kutosha ata wewe...
  9. L

    Rais Samia Akoshwa Na Mapokezi Ya Maelfu ya Wana Manyara. Aahidi Kuwatumikia Kwa Uaminifu na Weledi wa Hali ya Juu.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amekoshwa...
  10. B

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza Kivukoni kukagua hali ya usafiri wa mwendokasi

    02 September 2025 WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari...
  11. Iran wazidi kuuana wakihofia Majasusi wa Israel ndani yao hali ni mbaya

    Hali ni tete mpaka sasa wameshauawa Watu 10 wakihofiwa ni Majasusi wa Israel Ndani Serikali ya Irani. kile kipigo kiliwaumiza sana Irani. Hawajaweza kukaa wakatulia mpaka sasa. Wanawaza na kuwazua. Tulisema lazima milio itasikika na kuchanganyikiwa. Haikuwa kipigo rahisi. Na kuchanganyikiwa...
  12. Al Jazeera : IRAN Wajawa na khofu hali yao yazidi kuwa mbaya, wamedhoofu sana

    Toka Israel iwachakaze mle mle ndani mwao nao wakarusha rusha vijigumi vya kuwapiga tumboni Israel. Jamaa wamekuwa wanyonge sana. Hawana raha kabisa. Na hali yao inazidi kuwa tete. Huwasikii tena Iran wakitamba na kujipanua kama mwanzo. Wamebana ngenge kwa sasa. Wamegundua jamaa ukitanua...
  13. B

    Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

    Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae. Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
  14. Video: Kwa Hali niliyoiona Leo kwenye page ya sativa tarehe 29 kila mtu atalala ndani

    Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha kila mmoja wetu Oktoba 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa. Hvyo hizi za Sasa ni...
  15. Umoja wa Mataifa wameshtushwa sana na kuzorota kwa hali katika jimbo la al-Fasher la Sudan

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano katika jimbo la Darfur nchini Sudan baada ya shambulio baya la ndege isiyo na rubani siku ya Ijumaa kuwauwa waumini zaidi ya 70 huko El-Fasher, na kueleza hofu kubwa kuhusu hali inayozidi kuzorota. "Mapigano lazima...
  16. Kosa uwe na kauwezo kidogo alafu umpite mbongo wa hali ya chini bila kumsalimia, aisee lazima utungiwe diss track na mtaa mzima watasikiliza

    🗣️"JAMAA ANAJIKUUUTA MWAMBA, WAKATI TUMEMUONA HAPA TANGU ANATAABIKA TUNASHINDIA NAE VISHETI KIJIWENI"
  17. GE2025 Hali ni mbaya sana maofisini, na jibu linalotolewa 'huu ni mwaka wa uchaguzi'. Je, kuna uhusiano gani kati ya kukosekana kwa fedha na uchaguzi?

    Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi. Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
  18. Wateja wa CRDB hali ni tete, miamala mingi haieleweki

    Wenye akaunti CRDB hali ni vurugu. Unatuma pesa haifiki lakini inaonyesha imekatwa Unatuma pesa inafika, baadae inarudishwa Unatoa hela ATM inahesabu lakini card inatoka bila hela. Mikopo ya kukwata at source unakatwa kwenye saving account. Kifupi benki imechanganyikiwa. Ukipiga simu...
  19. Tujenge kabisa wanajf

    Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali.... Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒 Kanisa liwe Dar es salaam maana nahamia huko soon.Tafadhali nipo seriously kabisa 🙏🙏🙏 Am in love with my...
  20. A

    KERO Chuo Kikuu Mzumbe Msiite watu kwenye saili ili-hali mnajua tayari mna watu mmewaandaa

    Tarehe 01 na tarehe 02 kulifanyika usaili wa wanataaluma Chuo Kikuu Mzumbe. Kumekuwa na utaratibu usiowazi wa kuwapata vijana wanaojitolea, na hawa ndo wamekua wanufaika wa hizi ajira zinazotangazwa. Baada ya malalamiko kwenye usaili wa 2023, wakaamua kuacha hata kuweka hadharani majina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…