hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Hali hii sijui kama ninayo mimi peke yangu au wengine wanayo ?

    Katika mazingira tofauti na watu tofauti ninakuwa na hali ambayo nikikutana na mtu yeyote ambaye siku zake za kuishi sio nyingi tena duniani hata kama ni mzima wa afya kuna hisia fulani au kuna namna fulani ambayo ubongo wangu unakuwa unatafsiri mtu uyo sijui kama ninaweza kuelezea vipi ila...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hali ya Watanzania kuishi kwa matumaini kuwa ipo siku watabutua kwenye kamari inatishia Usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa ni nyanja pana sana. Suala la ulinzi wa pesa za nchi na wananchi linapaswa kuwa sehemu ya mkakati wa Usalama wa Taifa. Watanzania kwa ujumla wao kila siku hupoteza mabilioni ya pesa kwenye kampuni za betting wakitarajia ipo siku watalala maskini na kuamka matajiri. Siku...
  3. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Commando huyu ndie shujaa aliyetuliza hali ya wasiwasi kwenye karamu ya Trump jana

    Mwamba huyo mmarekani mweusi ni miongoni wa makomandoo maalum wa secret service. Unaambiwa alivyoingia tu ukumbini baada ya ufyatuliaji wa risasi yeye na timu yake walitumia mbinu za medani na kumdhibiti jambazi hilo. Bado nafuatilia jina lake na maelezo mengi kumhusu. Ila kwa ufupi tu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo nchini na maudhi yaliyopo, kuna siku mambo yataharibika watu watakufa sana, na sio waandamanaji pekee, maana wao wamejifunza kitu

    Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona wao ni dunia nyingine tofauti na wale wanaowaongoza. Sasa niseme wazi. Kwamba hadi sasa huenda...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuamini CCM itaboresha hali ya kisiasa 2029/2030 tofauti na ya 2024/2025 ni kujipa matumaini hewa

    Sehemu yoyote ile duniani haijawahi kutokea walioshika madaraka ya kisiasa wakakubali kuyaachia au kudhibitiwa(checked) tu bila uwepo wa mifumo huru, upinzani wa nguvu, shinikizo kali kuwaonyesha kwamba wao kuendelea kung'ang'ania hayo madaraka itakuwa ni gharama zaidi kuliko faida. Tukirijelea...
  6. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Hali ni kwangu tu? Maana kuna muda kichwa kinapata moto

    Wakuu Kuna muda nakaa nafikiria mpaka naanza kujiuliza aliependekeza Mimi nizaliwe aliwaza Nini Picha linaanza mpaka Sasa Nina umri wa miaka 23 Lakini Hali yangu haieleweki pangu pakavu tia mchuzi Nipo nipo tu Sina mke,Sina mtoto,Sina kiwanja,Sina nyumba hata kazi ya kueleweka sina Mwaka wa...
  7. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Leo kuna hali ya utulivu kila mahali

    Je mmegundua kuna hali ya utulivu majumbani, makazini, vijiweni, mashuleni n.k. Arsenal ingeshinda hii wikendi, Man city kufungwa kusingekuwa na hii hali. Tuzidi kuomba hii hali ya utulivu izidi kuwepo kwasababu wengine pia wakishinda leo usiku kesho amani itatoweka na hakutakuwa tena na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Barabara ilivyo Kimara Mwisho, leo Aprili 13, 2026

    Hali ilivyo maeneo ya Kimara Mwisho - Darajani, Mbunge wa huku sijui yuko wapi aje atusaidie yeye na viongozi wengine wenzake
  9. Andromeda Galaxy

    JamiiForums Tanzania Kujichua ni changamoto kwa taifa, hali ni mbaya

    Ni huzuni kubwa kwa masikito makubwa jana sikukuu ya pasaka kuna kijana amekutwa amekufa akiwa anajichua, alikuwa akiishi pekee yake mpaka umauti ulivyomkuta, kwa mujibu wa majirani wanasema alikuwa akiishi peke yake , wana jamii forum ni ukweli usiopingika wimbi la vijana kujichua limekuwa...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Huenda alikuwa dhalimu lakini usimamizi wa rasilimali za umma na utendaji kazi wake ulimbeba sana kwa raia wa hali ya chini kumkubali

    Kwanza ieleweke wazi kuwa mambo haya utekaji na kudhibiti wapinzani hata kwq kuwaua yalianza hata awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere. Wapinzani wengi wa Mwalimu Nyerere walipotezwa na hata kuwekwa ndani bila kufikishwa Mahakamani . Kumsingizia hayati JPM ku2a ndio muasisi wa haya ya utekaji na...
  11. dosho12

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa mwanadamu unaofunguka kwenye hali hatarishi

    ‎Kwa kawaida nguvu au uwezo wa mwanadamu tumezoea ni ule mtu anao ishi nao au kutumia kila siku kuwa ndio ukomo wake ila kiuhalisia hivyo sivyo hapo sio ukomo wake ulipo bali kuna uwezo wa ziada mwilini wako unao ila unapatikana au kufunguka pale tu unapkuwa kwenye hatari zaidi, hizi hapaa ni...
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kila unayemuana Duniani na hali zote unazozipitia ni mtokezo wa mawazo yako kwa nje

    Hakuna hali unayoipitia inayotoka nje yako ila ni taswira zako wewe mwenyewe unazozitoa nje yako .Hali ya kutolielewa kwa mapana yake na uhakika wake thabiti ni gereza kubwa la maisha yetu tulio wengi kwa sababu tumezoezwa sana na mazingira ya nje kiasi cha kuamini tunayoyaona ndiyo halisi na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kivulini Talks: Hali ya Vyombo vya Habari Tanzania—Hai, Hoi au Vimekufa?

    02 April 2026 Katika kipindi hiki cha Kivulini Talks, washiriki wamejadili juu ya hali ya vyombo vya habari Tanzania. https://m.youtube.com/watch?v=gRQFP4i8O_o Source :: the chanzo
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bunge laagiza kikao cha dharura kujadili kupanda kwa bei za mafuta

    Spika wa Bunge, Mussa Zungu amemuagiza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi kukutana na Kamati ya Bunge ya Nishati ili kujua hatma ya hali na mwenendo wa kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Zungu amesema kuwa bila mafuta upo uwezekano wa kukwama katika mipango mbalimbali ya nchi. Hayo yanajiri...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?

    Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta? Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika: 1. Kujenga viwanda vya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa UDART utulipe Wafanyakazi ‘Overtime’ zetu, pia tunahitaji nyongeza ya mshahara, hali yetu ni mbaya

    Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi jijini Dar es Salaam, ulianza kwa mafanikio makubwa na mapato mengi. Hata hivyo, hali ilibadilika baada ya viongozi wa juu kuzidisha "michezo yao" kisha wanatumia Wafanyakazi wa vituoni kama "mbuzi wa kafara." Hakuna mfanyakazi wa kituo anayeweza kuiba Sh 100,000...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

    Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
  18. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume, omba Mungu sana usijejikuta kwenye Hali kama hii. Ni aibu isiyoelezeka

    Kama mzazi, imagine Binti yako amerudishwa nyumbani kutoka shule kwa Maswala kadhaa mfano kuita mzazi au kurudishwa school fees n.k. Badala ya kufika nyumbani, akaamua kwenda sehemu fulani .. mara Paap, whistleblower na wambea wa mtaa wanatoa Codes, mahali Binti yako ameingia na njemba. Njemba...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu mpya wa Iran Mojtaba Khamenei inasemekana yuko kwenye hali mbaya kiafya

    Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile. Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya kukosa fahamu na amepoteza angalau mguu mmoja baada ya kujeruhiwa vibaya wakati wa shambulio la anga...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?

    Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa? Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
Back
Top Bottom