Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile.
Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya kukosa fahamu na amepoteza angalau mguu mmoja baada ya kujeruhiwa vibaya wakati wa shambulio la anga...
Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa?
Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
afrika
afrika mashariki
grace samia suluhu
halihali ngumu
hela
kitendo
mashariki
mtu
mwema
ngumu
rais
rais samia
samia
samia amuasili mtoto mchanga
samia suluhu hassan
sio
umma
wakati
wazungu
who
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameashiria kuwa serikali yake bado inalenga kuiondoa madarakani serikali ya Cuba, licha ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kuingia wiki ya pili sasa tangu Februari 28, 2026. Akizungumza Jumatatu, Trump alisema Wizara ya Mambo ya Nje ya...
India yathibitisha kupokea meli ya Iran iliyokimbilia huko baada ya kutoroka mapambano, nyambizi za Marekani zinawinda chochote chenye ishara ya Iran.
India has allowed an Iranian warship to dock as a humanitarian gesture, Foreign Minister Subrahmanyam Jaishankar says, after the US sank another...
Dunia Inazama Kwenye Bahari ya Madeni
Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa deni la dunia sasa limefikia takribani dola za Kimarekani trilioni 338 — kiwango kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya uchumi wa dunia. Deni hili linahusisha mikopo ya serikali, kampuni binafsi pamoja na...
Njia alizokuwa akitumia Mbowe kuongoza CHADEMA zilikuwa za busara
Kawaida binadamu anayetumia busara huonekana kama mjinga lakini mwisho mjinga hujulikana baada ya matokeo
Kwahiyo tusubiri matokeo ndipo wabishi na werevu watajulikana
Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto
Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani.
material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
Kuna Ile umemtembelea mgonjwa halafu baada ya muda kidogo anakwambia nifatie maji ya kunywa
Ile unatoka tu kurudi unakuta mtu hauko nae Tena
Je umewahi kukutana na Hali ya namna hiyo ni machungu kiasi gan ulipitia
Na je ulichukua hatua gani
Wakuu Salam Nina swali langu hapa nahitaji majibu kutoka kwenu
Unakuta mwanaume yupo na ana nguvu zake si kwamba labda amezeeka
Cha ajabu unakuta nyumba inaendeshwa na mwanamke
Yaani mwanamke ndo anapanga Leo tule Nini na kwa muda gani
Siyo hivyo tu kwenye mambo yanayohitaji maamuzi unakuta...
Hapa ni Kibirizi, jirani na Msikiti wa Mtendeni Manispaa ya Kigoma Ujiji, hii barabara ni kubwa, inaelekea katika Bandari ya Kibirizi na kuelekea Kigoma Mjini.
Eneo hili limekuwa kero ya muda mrefu kwa madereva wanaotumia barabara hii.
Licha ya uwepo wa kero hiyo ila bado wahusika wameendelea...
Anonymous (9713)
Thread
barabara
eneo
hali
kibirizi
kigoma
kigoma ujiji
manispaa
Hello bosses and roses...
Ni muda sana sijaandika kuhusu spirituality na psychology lakini leo nmekutana na uzi wa jamaa mmoja analalamika kwamba hakuzini kwa miezi 6 ila baada ya kuzini tu anajisikia vibaya siku ya nne sasa.
Iko hivi, kwanza kabisa kabla ya kuzini mara nyingi kuna moments za...
Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao.
Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka.
Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha...
Wakuu,
ATCL imeomba radhi (hata kama tunajua ni ya mchongo) lakini Msigwa kapata nguvu za kumwambia Zungu mwana ukome:BearLaugh::BearLaugh:.
Ila Zungu itakuwa alisahau kuwa serikali/chama kikizingua inabidi useme mitano tena🤣🤣, katoka nje ya script😂😂.
Ila ATCL tuambieni, hivi shida ni nini...
Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka.
Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
Diwani wa Kata ya ILOLA, KISENA FRED KISENA amelazimika kuchelewa kwenda kwenye hitimisho la ziara ndani ya kata kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo ilimlazimu kuanza kuvusha watoto wa shule kwenye maji ambao walihofia kusombwa na maji ndipo akaanza jukumu la kuwavusha kwenye maji kwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026.
Ndugu wasomaji
Sisi kama waagizaji tumeona mada mpya toka January mwaka 2026 kutoka bandari ambapo zamani kuhamisha container kutoka Bandari kwenda bandari kavu icd ilikwainachukua siku 5- 7 lakini toka Januari hali bandarini imetisha maana kuhamisha container inachukua karibia mwezi mmoja...
Wanaukumbi.
Baraza la ma askofu TEC linaomba Msaada lisaidiwe na serikali.
Maombi yakikataliwa wananua.
Hali tete leo hii ndiyo wanamtambua Rais Samia wanaomba msaada, Rais Samia achana na hawa wamezoe kudekezwa waendelee kutoa matamko.
Wasubiri umalize muda wako pesa hamna zinapelekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.