Nilitembelea Buguruni Kimboka weekend. Hali inatisha

Nilitembelea Buguruni Kimboka weekend. Hali inatisha

zee_latown

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2026
Posts
521
Reaction score
922
Habari za weekend ndugu wadau wa JF wa thamani sana!

Mimi katika balehe yangu na kukua kwangu nimesikia mengi mno kuhusiana na hili suala la dadapoa wanaojiuza maeneo mbali mbali hapa jijini Dar es Salaam. Wakati huo wote nilikuwa mbishi mno kwa sababu sikujua upande wa pili wa hili jiji la Dar, na pia sikujua kuwa kuna mpaka maeneo spesho yenye rooms ndani zilizopambwa vizuri mno.

Jamaa zangu baadhi walikuwa na experience na hizi vitu, mimi nilikuwa school boy so sikuwa na makeke ya kuzurura zurura sana nikiwa home. kiukweli mpaka hili la kujua uwepo wa hawa akina dada ndo maana lilinipita kabisa na nikawa nawabishia jamaa zangu.

Sasa imepita miaka mingi nikaona nijaribu kutafiti mwenyewe undani wa hii ishu... weekend nikavaa zangu cap zile kofia za kufunika mpaka mbele ya paji la uso..

Hii ilikuwa na jumamosi iliyopita... nikapanga ruti kwa sababu nilikuwa na maelezo ya kutosha kutoka kwa baadhi ya jamaa za rafiki zangu waliotoka mkoa kuja kuwaona ndugu zao...

Nikabeba kama laki moja cash kwa ajili ya emergency coz lolote linaweza kutokea maeneo ya namna ile... kwa taarifa nilizokuwa nimepewa ni kuwa ni maeneo hatari mno. nikasafisha silaha yangu nikaiweka vema kiunoni na kuhakikisha imefit vema..

Kuhusu mavazi nilibadilisha kabisa muonekano wa mavazi... nikavaa kama mmoja tu wa watu wa kawaida mno kutoka huko kijijini wanakolima ndizi na mpunga. ilipofika saa 1 jioni nikaanza safari na nikaenda Kimboka...

Rafiki zangu nilishawapa taarifa kuwa likitokea la kutokea nitawapigia simu naharaka waje kunichukua coz sikwenda na gari nilichukua daladala.

Kufika pale tu nikaelekea pembezoni mwa barabara. nikana wadada wengi kiasi. wengine walionekan wamedhoofu mno na sura zimebabuka kwa matumzi makali ya madawa ya kujichubua.. na baadhi walionekana bado mabi ti wabichi na si ajabu walikuwa wanafunzi wa vyuo mojawapo hapa jijini...

Wakaanza zile za aaah shemeji... mara twende hawana tafsida kabisa wanaongea kama walevi... nikawa nawapa hii nikijifanya mpia njia tu..

Kuna jambo la ajabu nikalibaini chap... kuna mateja, na wavuta bangi na boda boda wengi karibu na pale kimboka penye ile bar

Kuna wanaume wa aina tofauti wanakwenda kupata huduma... kwa nilivyoona, wengi ni masikini kimuonekano na mavazi yao ni hafifu na duni... pia walevi nao hasa wa matap tap ni wateja wakubwa wa wale wadada... niligundua hili baada ya kunusa harufu ya pombe za kienyeji walipokuwa wakinisalimia..

Kwa hali ile... sikuwa hata na hamu ya kujaribu kuingia ndani kuona kipi ni kipi.. nikatoka pale nikaelekea pale buguruni nimepasahau.. kuna akina dada wengi wana vyumba ndani vinawaka taa nyekundu nyekundu hivi.. all that time kuna jamaa alikuwa ananipa directions kupitia mesage.

Basi kufika pale baadhi wakawa wananishika mikono and so on... kumbuka ni mara yangu ya kwanza hapo kufika maeneo hayo... napo nikakuta wateja wengi waliokuwa wakija pale ni wale waliochoka hivi kimuonekano... pia harufu za pale ni kali kali mithili ya uozo uozo hivi..(nilikuwa na muda wa kuchezea sana ile siku)

basi, ile hali ikanikata stimu mno hata sikutaka kuingia ndani kabisa.. nilichukia sana.. sababu kuu za kutotaka kuingia ndani ni hizi:

1. Wale akina dada wengi ni wachafu wachafu kwa kweli hivyo niliingiwa na kinyaa sana.

2. Aina ya wateja wanaokuja kwao, wengi ni choka mbaya kimuonekano, walevi, wazee waliofeli maisha , wavuta bangi, mateja, vitoto vidogo vya form nk

Nikawaza.. yaani no share uchi na aina hii ya watu? nimekuwa desperate kisi hiki? yaani niingize shimo ambalo low valued men like those i saw there wanaingiza? nope, sikuwa tayari ku share uchi na low valued men.. niliona kama ni kujitia mikosi na nuksi tu kwa kweli.. (sina nia ya kumdharau mtu yeyote.. ila ndiyo mipaka niliyojiwekea maishani mwangu toka napata akili,,, i don't prefer cheap things particularly cheap girls/pussies)

3. Nilikuwa na silaha hivyo nilihofia kuwatisha na hivyo kupigiwa kelele... hali ambayo ingeleta matatizo mengine pia ambayo yangeharibu misheni yangu.

Mpaka saa 5 usiku nilikuwa nimeshakamilisha research yangu isiyo rasmi.. na nikachukua daladala na kurudi nyumbani...

Aisee,, kweli watu wana mioyo migumu...
 
Sasa mkuu hapo kimboka tu hadi kwenda na silaha kweli unafeli sana, me nishawah fanya research kama yako wala sikua na mambo mengi nilikuwa na 25k tu nikakaa sehemu nimetulia wakaja wenyewe kuna mmoja nikamtoa soda tu nikapiga nae story kama zote na hapo mida ya saa7-8 usiku all in all wale hawana shida na mtu yyte hata wale wavuta bangi ukiona umeletewa shida ujue shida umeanzisha wew mwenyew ila wezi wapo pia
 
1779477332913.png
 
Sasa mkuu hapo kimboka tu hadi kwenda na silaha kweli unafeli sana, me nishawah fanya research kama yako wala sikua na mambo mengi nilikua na 25k tu nikakaa sehem nimetulia wakaja wenyew kuna mmoja nikamtoa soda tu nikapiga nae story kama zote na hapo mida ya saa7-8 usiku all in all wale hawana shida na mtu yyte hata wale wavuta bangi ukiona umeletewa shida ujue shida umeanzisha wew mwenyew ila wezi wapo pia
ni hatari sana... katika vitu niliapa kutokana na kile nilichoona, ni kuwa sito *** malaya... yaani ni *** mtu ambaye wanaume low valued wanatupia mizigo yao? nope over my dead body
 
Back
Top Bottom