hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hali ya Nishati ya Umeme katika Taifa letu

    Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022: 1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH 2.Pwani-635.7GWH 3.Arusha-413.9 GWH 4.Shinyanga-411.2 GWH 5.Tanga-408.7 GWH 6. Mwanza-344.5 GWH 7. Morogoro-307.5 GWH 8.Dodoma-249.3 GWH 9.Mbeya-231.5GWH 10.Mara-215.1 GWH
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, umeme unokatwa nchini na Tanesco wajumuisha ofisi zote nyeti, balozi na sehemu zingine kama Oysterbay? Au ni kwa watanzania wa hali ya chini tu?

    Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali. Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii? Je, umeme huo...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Momba: Mbunge Condester Sichwale ashangaa shule Shikizi ya Mazinge kujaa nyufa hali inayohatarisha usalama wa wanafunzi

    MOMBA: HALITETE, SHULE SHIKIZI MAZINDE; MBUNGE CONDESTER APIGWA BUTWAA MBUNGE wa Momba Mhe. Condester Sichalwe ameshangazwa kuona shule shikizi Mazinde iliyopo kijiji cha Masanyita kata ya Mpapa Halmashauri ya Momba iliyojengwa mwaka wa fedha 2022-2023 kwa gharama ya shilingi milioni 40 kujaa...
  4. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mimi na Joannah tunatarajia kufungua Kanisa hivi karibuni ili kukabiliana na hii hali ya Uchumi

    Bwana Yesu asifiwe watu Mungu. Mimi na mama mchungaji Joannah Katika majadiliano yetu ya kukabiliana na hali ya uchumi,tumeonelea tuanzishe Biashara ya Kanisa ili nasi tujipatie kipato kizuri kama wafanyavyo wapambanaji wengine. Haikuwa kazi rahisi kulifikiria hili suala ila namshuku Mungu...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
  6. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya Libya: Nini chanzo chake, na kwanini hali ni mbaya sana?

    Mafuriko makubwa yamesababisha vifo vya maelfu ya watu katika mji wa Derna, mashariki mwa Libya, na kusomba baharini vitongoji na wakazi wengi huku maelfu ya watu wakiwa hawajulikani walipo. Chanzo cha mafuriko Baada ya kuzipiga nchi nyingine za Mediterania, Dhoruba kali inayofahamika kwa jina...
  7. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Hivi huko duniani hali ipo kama Tanzania

    Kuna hii Kero ambayo ipo maeneo Mengi nchini sijui wenzangu mliosafiri kwenye nchi za wenzetu kuna hali kama hiyo. Kero hii ni za wamachinga, bodaboda, madereva wa tax, wapiga debe na maajenti wa mabasi. Leo nitaongelea madereva wa boda boda, wapiga debe na machinga kwenye mastendi ya mabasi...
  8. Hold on

    JamiiForums Tanzania Sijui sababu ya hii hali

    Nimejawa na hofu sana gafla tu moyo unauma kwa hofu sana sijui kwanini hofu imetanda san Inaweza ikawa nini?
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
  10. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania 6 Septemba 2023 hali ni Tete Wilaya ya Kyela

    Ikiwa ni siku 3 kupita tangu waziri mwenye dhamana kuwahadaa wananchi kuwa Tanzania kunamafuta ya kutosheleza. Ikiwa ni siku 2 kabla ya mwenge wa uhuru kumulika wilaya ya kyela. Naomba kutoa taarifa juu ya kinachoendelea kyela 1. Zaidi ya wiki mbili sasa mji wa kyela hauna umeme. 2. Ni siku...
  11. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Imefikia hali Tanzania ukiona umeme haujakatika ndani ya siku mbili au tatu unashangaa kulikoni

    Nilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je hali ya Upatikanaji wa mafuta Zanzibar Ikoje?

    Naomba wale walioko Zanzibar watueleze hali ya upatikanaji wa Mafuta upande huo na ikiwezekana watupe na bei kwa lita Moja , tulinganishe na Tanganyika ambaye ni Mshirika wao wa Muungano. Natanguliza Shukrani.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mwili wa Binadamu baada ya kufariki

    Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Hali ya mafuta ikoje huko uliko?

    Nipo Katoro mkoani Geita. Kwa zaidi ya siku moja, kuna baadhi ya sheli zimesitisha huduma. Hawana mafuta. Hiyo ndiyo hali niliyoishuhudia katika baadhi ya maeneo niliyopita katika huu Mkoa tajiri wa dhahabu. Hali ikoje kwingineko, hasa mliopo mijini DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA na DODOMA?
  15. complexi

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa connection ya kazi, hali yangu kimaisha imekua ngumu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu. Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

    Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao. Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa. Hali ni ngumu sana. Walevi wa pombe kali wanajifariji
  17. Eloy Joel

    JamiiForums Tanzania Hali ya wanafunzi wengi wa vyuo kupunguza bidii katika masomo

    Kumekuwa na Situation ya wanafunzi wengi walio vyuoni kupunguza nguvu ya kusoma kwa bidii, Wanafunzi wengi wamekuwa wakijichanganya sana mtaani kwa shughuri za kuingiza japo pesa kidogo (Mishe Mishe). Kwa Upande wangu naweza sema, Changamoto ya Ajira wanayo ishuhudia ndio inawakosesha nguvu ya...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilikufundisha kuheshimu kila mtu bila kujali hali yao?

    Na hasa kwa wale ambao wamewahi au wapo juu kimaisha aidha kiuchumi, vyeo, akili, kiafya, umaarufu, mvuto, n.k. Kuna siku nilikuwa naitafuta sehemu fulan mtaa fulani ila nikamuona kijana fulani mtumiaji wa dawa za kulevya nikamfuata kumjulia hali na kumwambia shida yangu, bahati nzuri alikuwa...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wale wadau wa kutembelea Uvinza kwenye UGA wa mahaba tuzungumze hali halisi na balaa lake

    Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia. Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza. Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la...
  20. Chura

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Samia kuhusu hali ilivyo sasa baada ya waraka wa wahashamu

    Mods tafadhari msiunganishe huu uzi/barua wala kuufuta haya ni maonyo ya wazi kwa rais wetu mpendwa SASHA. Niende moja kwa moja kwenye dhima ntawasalimu baadae wakubwa. Kama ilivyo desturi leo mida ya jionii nilienda kupata zangu gahawa na kashata mitaa ya Barakuda, kilichonishtua ni kwamba...
Back
Top Bottom