haki

  1. K

    Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

    Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania. Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
  2. J

    Prof. Kabudi: Uchaguzi mkuu utakuwa Huru na Haki kama ilivyokuwa miaka yote Jumuiya ya kimataifa msiwe na wasiwasi

    Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameihakikishia Jumuiya ya kimataifa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki hivyo wasiwe na wasiwasi. Prof Kabudi amesema bunge limeboresha sheria ya vyama vya siasa ili kuondoa malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa wanasiasa. Kabudi...
  3. Je, ni ukiukwaji upi wa Haki za Binadamu unaofanyika Tanzania?

    Ninauliza hili swali ili ndugu zangu kama Watanzania tupate kufahamu hawa jamaa wamarekani ambao huiona nchi yao kama paradiso wametuwekea zuio la kutusua kuingia nchini kwao. Hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu? Na kama upo ni zipi? Kwa mujibu wa Serikali ya US ni kwamba pamekuwa...
  4. Mitindo mbalimbali ya vitenge

    Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi muhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili japo kidogo kwa sasa wadau wameanza kutokelezea na mavazi mengi, huku wakaka na wadada wakipendeza sana na maumbo...
  5. Afisa Elimu Wilaya ya Uyui, Jacob Makala: Tenda haki na tatua migogoro ya uongozi mashuleni acha kufunika kombe

    Wanabodi habari za asubuhi, Leo naleta malalamiko ya baadhi ya wakuu wa shule za sekondari wilaya uyui! kumhusu Jakobo Makala huyu kama Afisa elimu wa Uyui! Malalamiko makubwa yanatoka kwa Aliekuwa Mkuu wa shule Loya sekondari Ndugu Joseph Nduba! Huyu ndiye alisimamia ujenzi wa sekondari ya...
  6. SANOTEP: Rais Magufuli ni miongoni mwa Marais Wachache Duniani wanaoheshimu na kuzilinda haki za binadamu kwa Vitendo

    Kwa Mjibu wa Shirika linaloangaza utekelezwaji wa haki za binadamu Duniani limemtaja Rais Magufuli kama mtetezi wa vitendo wa haki za binadamu huku likijikita kwenye ushahidi wa vipengele vifuatavyo RUSHWA: Katika Serikali na chama, Magufuli amejipambanua kwa vitendo kuwa havumilii Rushwa ba...
  7. Je, wenye vituo wana haki ya kuzuia watu kupaki magari kwenye road reserve?

    Hawa wenye vituo vya kujazia mafuta, Unakuta mtu anafanya paving na gardening hadi kwenye mtaro kabisa wa barabarani ambapo ndio kuna road reserve, hivyo si mali yake. Cha ajabu ukienda kupaki gari kwenye hilo eneo anataka akufukuze, leo kuna mmoja nimemnyoosha kisawasawa, nikamwambia aonyeshe...
  8. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

    Wanabodi, Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni, Rais Magufuli, kwanza yuko well informed kwa upande wa data za utendaji wa wateule wake wote! kichwani yuko fiti sana katika utunzaji wa kumbukumbu kutoka kichwani, leo katika kuwaapisha viongozi wapya aliowateua hivi karibuni, alikuwa anatiririka...
  9. Kuwanyima watu haki ya kuishi

    Habari wana JF, Kila nikijaribu kudadavua kauli ya Marekani zidi ya RC Makonda wana maana gani, jibu sipati. Mara najiuliza au kuuwa watu wasio na hatia ndiyo kuwanyima haki ya kuishi. Kama jibu ndiyo hilo, je wale watu waliokufa na wanaoendelea kufa katika nchi kama Iraq, Libya, Somalia...
  10. S

    Picha: Zitto akiongoza harakati za kupigania uchaguzi huru na wa haki huko nchini Marekani

    "Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."
  11. Tuandamane kumpinga Kiongozi Anayedhurumu haki za watu kuishi

    Marekani ni taifa kubwa duniani lililojikita katika kuamini kulinda haki za raia duniani na dunia inakuwa sehemu salama ya kuishi limeshatoa adhabu na kutuonyesha njia. Wanaopinga waje na data, marekani ametuonyesha njia tuchukue hatua dhidi ya kiongozi aliyetajwa na wote wengine watakao...
  12. G

    Haki sawa kwa wote

    Wana jamvi ili limekaaje mimi ni kondakta wa daladala hapa town nimekaa na kutafakari ivi kwanini watumishi wa jeshi wanapanda daladala bila kulipa nauli mini natumai kila mtumishi wa umma ni muhimu serikali ifike maala wanunue magari ya taasisi zao.. ndani ya gari hapa nina wanajeshi sita...
  13. S

    Kituoa cha Sheria na Haki za Binadamu mmetuangusha!!

  14. N

    Taarifa ya msemaji wa wizara ya mambo ya nje USA: Tanzania ni lazima iheshimu haki za binadamu

    Hiyo hapo inajieleza yenyewe anaitwa Morgan Ortagus, kasema bashite kazuiliwa kuingia USA kwa sababu ya kukandamiza upinzani,haki ya kujieleza (alivyo hovyo bashite akashikia kidedea ka issue cha face swap cha Idris sultan na kusababisha nchi nzima tuchekwe mtandaoni). Mishowe msemaji huyo wa...
  15. J

    Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

    Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa. Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto. Maendeleo hayana vyama!
  16. K

    Ahadi za Rais Magufuli kuhusu uchaguzi huru na haki hazitekelezeki, ni ahadi hewa kimazingira

    Hivi karibuni Rais Magufuli alipozungumza na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao pamoja na mambo mengine alitoa ahadi ya kufanyika uchaguzi huru na haki mwaka huu wa 2020 jambo lililoleta mjadala sana kwenye jamii. Hii kauli haitekelezeki kwa sasa. Hakuna mazingira ya kufanyika uchaguzi huru na...
  17. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika atema cheche kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya uchaguzi kuwa huru na haki

    Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa CHADEMA , yaani anatema madini matupu ! Mnyika amesema: "Sasa nifikishe ujumbe tu kwa Rais Magufuli, ambaye amesema yeye, akiwaambia mabalozi kwamba, uchaguzi wa mwaka 2020 utakuwa uchaguzi huru na haki ujumbe wangu kwa...
  18. Samatta kwenda Aston Villa : Haki za Kimbangulile FC zizingatiwe

    Nakumbuka kwamba Timu ya Kimbangulile FC ya Mbagala ndiyo iliyomlea Mbwana Samatta hadi kufikia kuonwa na vilabu vikubwa , na kuna wakati iliambulia mgawo kwenye mauzo ya Mbwana , sina kumbukumbu kama ni kule TP Mazembe au KRC GENK . Ninaamini kama kuna mgawo wowote wa kisheria basi...
  19. Alichosema John Locke kuhusu sheria na haki

    Habari my comrades Kuna maneno mengi sana yanasemwa na mwanadamu kuhusu namna mbalimbali ndani ya jamii zetu, Lakini kuna sentensi zilizosemwa ambazo zitabaki na sisi wanadamu muda wote ambao tutakuwa wakazi kwenye hii sayari yetu ya tatu kutoka nyota jua. Mwanadamu kiumbe ambacho kazi yake...
  20. Hivi vitambulisho vya Askari/ Wanajeshi vina kazi gani kwa raia?

    Hali zenu waungwana. Hili swali huwa najiuliza sana na sipati majibu, hivi hawa watu vitambulisho hivi vimekua ndio kimbilio na nguzo ya utemi kwa wananchi? Sababu ya swali langu ni jana kipindi narudi nyumbani kufika kituoni magari hakuna; ghafla ikaja daladala ikitangaza nauli 500 katikati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…