haki

  1. S

    GE2020 Kwanini CCM hawataki Uchaguzi wa Haki na amani?

    Wataulinda utawala wao kwa nguvu za dola. Je, hawajiamini ushindani wa hoja? Je, wamefanya makosa mengi? Je, wamenyang'anya na kudhulumu sana? Je, wanaogopa kupandishwa vizimbani? Je, wanataka kupima nguvu za wananchi walio wengi ambao wapo wazi kuikataa CCM kwenye sanduku la kura? Je...
  2. Petra Diamonds imefunguliwa kesi katika Mahakama ya Uingereza kutoka na Ukiukaji wa Haki za Binadamu

    Hii hapa chini ni statement ya Petra diamonds leo asubuhi kwenye soko la hisa London(LSE) Petra Diamonds Limited ("Petra" or the "Company") Statement regarding allegations of human rights abuses at the Williamson Mine in Tanzania Petra Diamonds Limited states that a UK-based law firm, Leigh...
  3. Wasiokuwa na chakupoteza wanapongezeka haki ndio kinga pekee

    Watu wenye mali kama nyumba, mashamba, magari, kazi, mifugo, viwanda, biashara kubwa na mali nyinginezo ni watu wenye uwezo mkubwa sana wa kuvumilia mambo, kutafakari na kusamehe. Idadi ya watu wa aina hii wakiwa wengi kwenye familia, mtaa, kitongoji, kijiji, kata, tarafa. wilaya, mkoa na nchini...
  4. Haki na wajibu ni sawa na pande mbili za shilingi

    HAKI NA WAJIBU NI SAWA NA PANDE MBILI ZA SHILINGI. Na Elius Ndabila +255768239284 Neno "HAKI" limepata umaarufu sana, hasa vinywani mwa wanasiasa. Wanasiasa wengi hasa wa vyama vya Upinzani wamekuwa wakitumia msamiati huu na kuwaaminisha Watanzania kuwa nchi hii hakuna Uhuru wala haki. Leo...
  5. S

    GE2020 Kura kwa mwananchi ni kuchagua Kiongozi mtenda haki na sio chama. CCM hawatendi haki

    CCM haifai kupewa kura na wananchi,viongozi wa upinzani mujikite kuwaeleza wananchi kuwa CCM imekosa viongozi waadilifu,waambieni kuwa CCM imevamia polisi,majeshi na vyombo vyote vya ulinzai na usalama ikiwemo mahakama. CCM inaingilia uhuru wa vyombo hivyo bila ya aibu mchana kweupe na...
  6. Askofu Mkuu Emmaus Bandekile akanyaga ardhi ya Zanzibar na kukemea hujuma na ukiukwaji wa haki katika Uchaguzi Mkuu

    Tarehe 7 Septemba 2020: Niliendelea kupaza sauti ili kutaka HAKI katika nchi. Nilionya na kutahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea kwa vurugu za kisiasa katika Visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) endapo Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) haitawarejesha Wagombea wa Upinzani walioenguliwa hasa...
  7. J

    GE2020 Dkt. Magufuli akiwa Misungwi; Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa

    Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane. Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu. Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka...
  8. Hai: Mbowe kaongea kwa hekima kidogo wakati Magufuli akizindua Barabara Kilimanjaro

    Ni pale alipokuwa kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara mkoani Kilimanjaro akiwa na Mhe. Magufuli,alisema, suala la maendeleo lisionekene au kuchukuliwa kuwa ni la siasa. Ni kweli kabisa kuna baadhi ya wanasiasa hasa wasioelimika, wengi wao huzuia miradi mingi ya maendeleo mfano ujenzi wa...
  9. M

    GE2020 Amani ni tunda la haki, bila wagombea hakuna Uchaguzi Mkuu

    Tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, tayari kumejitokeza viashiria vya kuvuruga na kuhujumu uchaguzi kunakofanywa na vyombo vyenye dhamana ya kusimamia uchaguzi na amani ya Taifa kwa maana ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na Jeshi la...
  10. S

    Kuna kiashiria kipi kwa uchaguzi huu kuwa wa haki na huru?

    Wana JF naomba
  11. B

    GE2020 Amani na Haki uchaguzi mkuu 2020

    Swala la Amani uenda sambamba na Haki, katika uchaguzi huu swala la Amani linazungumzwa sana na viongozi wa kisiasa, viongozi wa ulinzi na usalama na viongozi wa kidini kila mahala lakini sisikii wakisisitiza haki. Haki na Amani viubiriwe kote...
  12. B

    Prof. Kabudi aihakikishia Uingereza na jumuiya ya kimataifa uchaguzi huru, haki

    4 September 2020 Video source : millard ayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeihakikishia Uingereza pamoja na Jumuiya ya Kimataifa kuwa uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka 2020 utafanyika kwa...
  13. Sikubaliani na Tangazo la Haki Elimu mnatudhalilisha

    Hello wana bodi!! Naomba kuuliza hivi hawa 'Haki Elimu' na Tangazo lao la Mwanafunzi hataki kwenda shule kwakuwa anatongozwa na mwalimu wake lina 'credibility' na 'validity' kiasi gani? Moja, hivi sample size yao kwenye huo utafiti ilikuwa ni walimu wangapi wenye tabia hiyo kiasi kwamba liwe...
  14. M

    GE2020 Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni; Jeshi la Polisi limeanza vizuri, limalize vizuri Kusimamia Kampeni

    Pamoja na jeshi la polisi kujitwalia taswira mbaya machoni pa wapenda haki kwa kuonesha upendeleo wa wazi nyakati za nyuma, angalau tokea kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuuwa mwaka huu wameonesha kusimamia weledi na kutotumia maguvu yao kukandamiza washindani wa chama tawala. Ingawa ni wajibu...
  15. GE2020 Uteuzi wa Van Zeland kuwa Mgombea Ubunge Mvomero kwa upande wa CCM, haujatutendea haki wananchi wa Wilaya ya Mvomero

    Mvomero sio Wilaya kongwe,na kwa hiyo kimaendeleo iko nyuma sana.Wilaya hii ina matatizo mengi, ya msingi yakiwa upatikanaji wa maji,migogoro ya wakulima na wafugaji ambayo imedumu kwa miaka mingi sasa.Awamu zote zinaonekana kushindwa kabisa kutatua tatizo hili,sababu kubwa ikiwa viongozi kuwa...
  16. N

    Human Rights Watch: Haki za kiraia zinaminywa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch (HRW) linasema mamlaka nchini Tanzania imeongeza hatua ya ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kabla ya uchaguzi mkuu wa mwezi ujao. Katika ripoti yake Human Rights Watch limekosoa sheria mpya...
  17. J

    Jaji Mkuu Profesa Juma awataka Majaji na Mahakimu kutendea haki Kesi za Uchaguzi ili Mahakama isigeuzwe kichaka cha Wanasiasa

    Akizungumza kwenye kikao cha kutoa elimu ya namna ya kushughulikia kesi za uchaguzi kwa majaji na mahakimu, JM Prof Juma amewataka watendaji hao kutoa haki kwa wakati. Profesa Juma amesema mahakama inapaswa kutoa haki ili isionekane kama tawi linaloweza kutumiwa na Wanasiasa. Semina hiyo...
  18. Shirika la Haki za Binadamu laishutumu Tanzania 'kubana haki za kiraia'

    Shirika la Haki za Binadamu laishutumu Tanzania 'kubana haki za kiraia' ========= Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch (HRW) linasema mamlaka nchini Tanzania imeongeza hatua ya ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kabla ya...
  19. Mabalozi wa nchi za Magharibi waliopo nchini watoa tamko kuhusu uzingatiwaji wa Uwazi, Haki na Usawa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Ni dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima. Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote. Hakuna jiwe...
  20. S

    GE2020 Mgombea Urais CCM hafai. Ametunyima haki ya kufuatilia hoja za Wawakilishi wetu Bungeni (Bunge Live)

    Mgombea huyu wa ccm miaka 5 aliyotumikia ikulu inamtosha. Katika miaka 5 hiyo amefanya mambo mengi ya kibabe yanayoenda kinyume na matakwa ya wapiga kura wake. Moja kubwa ambalo lililalamikiwa sana na watanzania wote ni hili la bunge kutooneshwa live (mubashara). Baada ya kelele nyingi sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…