haki

  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia za kuchochea, mabadiliko kwenye Uchumi na Biashara, maendeleo ya jamii, uwajibikaji, Demokrasia, Sayansi, technologia na haki za binadamu

    Njia za kuchoche mabadiliko kwenye Uchumi biashara,maendeleo ya jamiii,uwajibikaji, Demokrasia,sayansi na Technologia,haki za binadamu. UCHUMI NA BIASHARA :Suala la uchumi linagusa Kila mtu hivyo serekali Ili kukuza uchumi kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wananchi umuhimu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Haki za binadamu

    HAKI ZA BINADAMU Hizi ni haki ambazo mtu anazipata mara tu anapozaliwa, na anaendelea kuwa nazo hadi kifo chake. Kwa maneno mengine, kitendo cha kuzaliwa ukiwa mwanadamu na si kiumbe kingine kinakupa moja kwa moja haki fulanifulani ambazo viumbe vingine havina. Kwa hiyo, haki za binadamu zipo...
  3. JamiiForums Tanzania Mabadiliko kwenye nyanja za Uchumi, Afya, Biashara, Afya Maendeleo ya Jamii, Utawala Bora na Uwajibikaji, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia

    Serekali ya Tanzania ya awamu ya sita Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza linatakiwa kuwa utawala Bora siasa safi, Amani ya kwa wote usawa ,ukusanyaji wa kondi ,elimu Bora ,afya nk Uchumi: suala la uchumi linatakiwa liangaliwe kwenye jicho la karibu na elimu itolewe kwa walipa Kodi Ili kukuza...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kuleta chokochoko za vurugu CHADEMA yapuuzwa Tanzania nzima. Operesheni Haki waliyofanya yaonekana ni batili

    Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma. Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia. Tafiti za kisayansi...
  5. JamiiForums Tanzania Kisingizio cha kutuletea maendeleo isiwe sababu ya kutunyima katiba itayoleta haki kwenye Taifa letu

    Hivi kwa akili ya kawaida tu kuna tatizo gani kufanya implementation ya rasimu ya katiba ya Jaji Warioba kisha taifa likawa na katika ambayo itaondoa manug'uniko katika taifa. Kila kitu kipo tayari kimeshapikwa ni suala la kupakua tu na kuweka mezani. Rasimu ipo na ilishatoa mapendekezo...
  6. JamiiForums Tanzania 0peresheni Haki yazaa matunda Zanzibar, matawi ya CHADEMA yaanza kuota kama uyoga

    Hili ni moja kati ya matawi mengi ya Chadema yaliyozinduliwa leo huko unguja , hapa ni Shehiya ya Kiungani , Jimbo la Nungwi . Mh Salum Mwalimu akizindua tawi jipya
  7. N

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Rais Samia Suluhu achague kutenda haki kwa kuwatumikia Watanzania masikini au kuwatumikia CCM

    Waraka huu wa kukushauri tu, ninavyowafahamu waislam ni watu wanaohubiri haki japokuwa swala ndiyo yenye nguvu kubwa ktk Uislam. Yalipo kwenye utangulizi wa waraka wangu , moja linabeba pepo na jingine jehanam. Kuwatumikia CCM wachache kwa maslahi yao ni sawa na mwislamu aliyesoma elimu dunia...
  8. JamiiForums Tanzania Sheria haiwezi leta haki hata kidogo: Mtu kakiri kuua lakini mahakama Kenya yamuona hana hatia

    Serial Killer Acquitted: Phillip Onyancha, who confessed to killing 17 people in 2010, has been acquitted of a murder charge by High Court. Onyancha led police to different towns where he committed heinous acts, decomposing bodies were found. -- A suspected serial killer facing three murder...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Siyo haki kutengeneza sanamu kama ishara ya kumkumbuka marehemu, ingejengwa taasisi ya huduma za kijamii

    Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa. Chanzo: Tanzania Abroad tv
  10. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaingia Kanda ya Unguja, Freeman Mbowe kuongoza kikosi kazi cha mafunzo

    Wakuu , Tunaomba radhi sana kutokana na usumbufu wa Taarifa zetu nyingi sana kuhusiana na Operesheni haki , mtusamehe sana , hatuna namna ya kufanya zaidi ya kuwahabarisha jambo hili muhimu. Leo tena kampeni hii muhimu imefika unguja ambako Abubakar Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya mafunzo...
  11. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) hamuwatendei haki waonyeshaji/wafanyabiashara kwa kuchelewa kufungua mabanda

    Tangu maonesho ya 2021 SabaSaba yaanze hapa Kilwa Road Dar es salaam hapa kwenye Banda la Karume wafanyakazi wa TANTRADE wanachelewa sana kufungua mabanda/Maholi makubwa wanafungua saa nne au saa tatu na dakika zilizozosonga sana. MADHARA YA KUCHELEWA KUFUNGUA Waonyeshaji wanakosa muda wa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete

    Shughuli hiyo muhimu ya kukabidhi nyumba ya kuishi maalumu kwa Mzee Kikwete imefanyika leo na Kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
  13. JamiiForums Tanzania Operesheni haki yaingia Pemba

    Kwa mujibu wa Taarifa za dunia, ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, Pemba ndio eneo lililoongoza kwa mauaji ya raia, wakiwemo watoto na vikongwe. Wote waliounga mkono Maalim Seif na upinzani walishughulikiwa ipasavyo, zipo tetesi kwamba kulikuwa na majeshi ya kukodi kutoka nchi za kigeni ili...
  14. JamiiForums Tanzania Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila siku za Jumatatu, huwaletea makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambayo huchapishwa na gazeti la Nipashe la Jumapili, ambazo ziko kwa mtindo wa maswali, majibu ya maswali hayo, utayapata wewe mwenyewe, na kisha tutawatafuta wahusika, ku balance hii mada, hivyo...
  15. JamiiForums Tanzania Haki haipo CHADEMA wala CCM, jamii bado ipo gizani

    HAKI HAIPO CHADEMA WALA CCM, JAMII IPO GIZANI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Haki hutofautiana baina ya nchi na Nchi. Ingawaje zipo haki za ujumla za kila mwanadamu Kama vile Haki ya kuishi na kupata nyezo zinazomfanya mtu aishi. Haki hutofautiana baina ya nchi na Nchi kutokana na utashi...
  16. JamiiForums Tanzania Sababu za wananchi kukosa matumaini ya mabadiliko kwenye utendaji wa haki chini ya Rais Samia

    I) POSITIVES Tangu ameingia madarakani, tumeona mabadiliko kidogo sana yenye mwelekeo chanya. Nimetumia expression ya "kidogo sana" kwa vile si mambo yaliyohitaji kutumia effort kubwa sana kuyatekeleza bali yanahitaji self-restraint pamoja na busara ya kawaida tu ya kiuongozi. 1. Kutotumia...
  17. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaingia Mlandizi , Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Majadiliano

    Kama tulivyosema tangu awali ni kwamba Ile Kampeni ya kuamsha ari ya wananchi kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Pwani . Leo imepigwa Mkoa wa Pwani , Mlandizi , ambako Mwamba mwenyewe ameongoza vikao vya Mashauriano .
  18. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19

    Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi. Pascal amesema Chadema hawana fedha za kuitisha kikao cha kujadili rufaa za wabunge wake wa viti maalumu sasa fedha za...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi hii watembea kwa miguu na abiria hatuna haki kabisa

    Nchi hii wanaothaminika ni wamachinga pekee watembea kwa miguu na abiria hawana haki kabisa na inawezekana wamefutwa kabisa kwenye kamusi ya wanyonge. Haiwezekani vituo vyote vya daladala na sehemu za watembea kwa miguu kuwa ndiyo sehemu ya kusimika biashara za hao wanaoitwa wanyonge. Siku...
  20. JamiiForums Tanzania "Usiwe na Haki kupita kiasi" Ina maana gani?

    Wakuu, Hayo maneno niliyoweka hapo juu yanapatika kwenye Bibilia takatifu kitabu cha Mhubiri. Mhu 7:16 SUV Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwani kujiangamiza mwenyewe? Nini hasa maana yake?Je usipende kudai haki zako kupita kiasi ama usipende kutoa haki kupita kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…