haki

  1. B

    JamiiForums Tanzania Papa Francis, Lissu, machampioni halisi wa haki, usawa na uhuru duniani

    Tufike mahali tuvunje ukimya: 1. Kuzitambua jitihada za kupigiwa mfano za watu wengine ni jambo la kistaarabu. 2. Vita vya kupigania haki, usawa, uhuru, demokrasia na maendeleo ni vita vya kudumu. 3. Nani asiyeyapenda au kuyahitaji matano hayo? 4. Manne ya mwanzo ni ya msingi zaidi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania je kesi ikufutwa mahakamani(mahakama ya mwanzo)kimakosa na hukuridhika na maamuzi hayo je taratibu zipi kupata haki yako

    habari wanaJF kesi mahakamani hususan mahakama za mwanzo ikifutwa na kama kumetokea hitlafu katika ufutaji kesi hio ni taratibu gani za kuchukua kufufua kesi hio na kama hujarizika na ufutaji wa kesi ni zipi taratibu za kufanya.kupata haki zako kuendelea na kesi
  3. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 waepukwe kama Ukoma, hawawezi kutenda haki

    Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za...
  4. JamiiForums Tanzania Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria, Haki, na Wajibu. Kuwaelimisha Watanzania Wajue Haki zao na Kutimiza Wajibu Wao

    Wanabodi Japo hili ni Jukwaa la Siasa,hii ni mada ya kisiasa kisheria,hivyo naomba nianze kwa kujijitambulishe tena na tena, kuwa japo mimi Paskali Mayalla, ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, nikiandikia makala magazeti mawili kila wiki, gazeti la Mmwananchi kila Jumatano...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba mama Samia atende haki. Kumtumbua Gekul unaibu waziri na kumuacha huyu waziri haipendezi

    Gekul ametumbuliwa unaibu waziri baada ya kutenda yasiyofaa katk jamii. Ni sawa. Vipi huyu anayetukana watu hovyo kama mlevi? Ni sawa kuendelea kukikalia kiti cha uwaziri au aondolewe? Waziri ni kioo cha rais. Sasa kama kila siku waziri anatukana hovyo mitandaoni tafsiri yake ni kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania kama huna hela, asilimia kubwa unaweza kupokwa haki yako

    Yaani hii nchi ya ovyo, ukidhulumiwa, kuibiwa, kutapeliwa na hata mambo makubwa kama kunyanyaswa, kama huna hela au connections sahau kupata haki. Ndio maana sasa naona ni sawa wezi, wabakaji nk kuchomwa moto hadharani tu na wananchi wenye hasira zetu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia

    Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia unaohusishwa na mradi wa maliasili wenye thamani ya dola milioni 150 ambao benki hiyo inafadhili kabla ya kuanzisha uchunguzi rasmi kuhusu suala hilo. Bodi ya Benki mnamo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango, Watanzania wana haki ya kujua viongozi wao walipo na wanachofanya

    Habari wanajamvi. Moja kwa moja kwenye mada. Hivi karibuni kumezuka taharuki ambayo haikuwa na sababu ya msingi, juu ya wapi alipo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango. Makamu huyu alikuwa hajaonekana hadharani kwa takribani mwezi mzima kwa mujibu ya vyanzo vya habari ikiwamo...
  9. JamiiForums Tanzania Katibu wa CWT adai ana Mkataba wa Ajira ya Kudumu katika Chama cha Walimu Tanzania

    Kufuatia taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Japhet Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tulimpoteza Magufuli kwa sababu kuumwa hadi kuzidiwa kulifanywa National Bigly Secret ambapo wananchi hatukujulishwa iwapo anaumwa ama amezidiwa zaidi ya kustuliwa na taarifa ya kifo chake mnamo 17 March 2021. Rais ni wa Jamhuri ijulikane kuwa anamilikiwa na wananchi wote bila kujali itikadi...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, kuna haki za watoto zinakiukwa wazi wazi. Hatua za kuwanusuru zinahitajika

    Mhe. Waziri mama Dkt. Gwajima D hongera kwa majukumu. Hoja yangu ni fupi. Katika vibanda vya kusubiria abiria wanaotumia vivuko pale Kivukoni na Kigamboni kuna Watanzania wenzetu walioamua kuwa ombaomba ili wapate pesa za kujikimu. Pamoja na kwamba wanaomba pale kwa muda mrefu, lakini sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Prince Harry Adai Kukosa haki Ya Ulinzi Akiwa UK

    Prince Harry "bila uhalali, ametendewa vibaya kuliko wengine" juu ya mipango yake ya usalama na ulinzi wake wakati yuko Uingereza. "The Duke of Sussex" anachukua hatua za kisheria dhidi ya Ofisi ya Mambo ya Ndani juu ya uamuzi wa Februari 2020 ambao ulimaanisha kuwa hatapewa tena "kiwango...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kama familia ya Sabaya imerejeshewa madaraka basi dhulma inalipa mapema kuliko haki

    Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa. Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya. Hii siyo Ishara nzuri...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi yakiri kuwa chanzo ucheleweshaji haki

    Kamishna wa Polisi, Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi, Shaban Hiki, amesema licha ya Ofisi ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kufanyia kazi kwa wakati sampuli inazozipokea, wataalamu na askari wa upelelezi huchelewa hadi mwaka kuzichukua na kuchelewesha haki kutendeka. Amesema licha ya...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kweli kupiga nyimbo za ibada kwenye nyumba za kulala wageni?

    Kuna Guest House moja mbali na mtaani kwangu huwa napenda kwenda kufanyia tabia mbaya. Hii Guest ni imetulia sana, hata entrace zake ni rafiki kwa ajili ya wanachama wa ndoa zao Imeibuka tabia mbaya ya kucheza nyimbo za dini pamoja na mahubiri kutoka redioni ama runingani. Msimamizi huyo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha kwamba, kelele zisizo haki, hazimzuii Paul Makonda kufika alikompangia Muumba!

    Kelele zingelikuwa ndio kizuizi cha mtu kufikia hatima Yake, watu wengi tungelikufa mapema. Tukiorodhesha tuhuma hapa kumhusu Makonda, kitabu chenye kurasa elfu kinajaa. Tukisikiliza clips za watu wasio haki wakipiga kelele zinazompinga Makonda, hakuna mwenye MB za kutosha kuzisukiliza zote...
  17. JamiiForums Tanzania Chongolo uwe na amani, uchunguzi utafanyika na utatendewa haki. Chama kitaonesha ukubwa wake

    Kwanza, tunamshukuru Mungu kwa kuzuia hujuma zisizo na huruma kwa CCM yetu baada ya kuepusha kupokwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu jana. Shukrani zetu, kama makada waandamizi na wazee wa chama, ni kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mama Samia S. Hassan kwa kutusikiliza tulipomshauri cha kufanya...
  18. JamiiForums Tanzania Wadau wa Haki za Binadamu wazungumzia Umuhimu wa Utawala Bora wa Sheria

    WADAU wa Haki za Binadamu Zanzibar wameshauri kuimarisha mifumo ya utawala bora wa sheria ili kuhakikisha uwajibikaji na upatikanaji wa haki kwa wote unafikiwa katika kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia. Wametoa maoni hayo katika mdahalo ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuwe na adhabuya kifungo kwa wazazi / walezi wanaoficha ndani watoto walemavu, ni ukiukaji wa haki za mtoto

    Kuna kipindi niliwahi kuwa mtaa moja na familia flani, wengi tulijua kwamba wapo watatu tu ni mpaka siku ya msiba wa mtoto mlemavu ndio tukajua kuwa kulikuwa na mtoto wa ziada, ni jambo lililonishangaza sana. Na chanzo kikuu bila kupepesa macho huwa ni kwamba wazazi wanaona aibu kwenye jamii...
  20. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu (THBUB) kuchunguza tuhuma za Pauline Gekul

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania (THBUB), inakusudia kufanya uchunguzi wa kina ili kupata ukweli wa tuhuma za ukatili na udhalilishaji unaodaiwa kufanywa na Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul dhidi ya Hashim Phillemon, mkazi wa Babati Mjini. Akizungumza na waandishi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…