haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pole sana Haji Manara japo sasa uko Huru na Unajitahidi mno Kuinadi Yanga SC na Kujikomba Kwao, ila Wamekutosa Kiaina na Kukushtukia pia

    Najua tokea urejee katika Ziara zako nchi za Nje na kuwa Huru kutoka katika Adhabu yako na TFF ila kwa sasa umekuwa Ukiilaumu mno Yanga SC na hasa Kumlaumu Swahiba wako Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na usiulize GENTAMYCINE nimejuaje ila jua nimejua. ULIJIFANYA MJANJA ILA MCHEZO HUU...
  2. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Haji Manara soma alama za nyakati kabla haujastaafu kwa aibu

    Zama za Haji Manara zinaelekea mwishoni. Kwa sasa awepo au asiwepo kwenye jambo hakuna kinachoongezeka wala kinachopungua. Sasa ameamua kupambana na wakati hataki kuonekna yeye ni ziada. Anatumia njia zile zile za miaka yote kukanyaga vichwa vya wenzie ili yeye apande juu. This time naona...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

    Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate. Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja.. This is true of Haji in the USA, akifika...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alalamika Serikali kukaa kimya sakata lake na TFF ilhali ni mwanaCCM na 'Pro Government'

    Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amelalamikia Serikali ikiwemo mawaziri kukaa kimya na kuruhusu yeye kuonewa ilihali ni 'Pro Government' na mwanaccm aliyesomeshwa na chama. Manara amehoji kama yeye anafanyiwa hayo, vipi kwa watu wa kawaida? Nimejiuliza, kuna tabaka katika hii nchi sheria...
  5. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

    Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu; " Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu." Haji. Alichoandika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

    Akimtolea uvivu Feisal Salum baada ya kiungo huyo wa Yanga SC kuomba kuchangiwa pesa kwa ajili ya kulipia gharama za kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) Ni aibu kubwa kwa Nchi ni fadhaa na kulikosea Taifa hili, Kwa mara nyingine tena Fesal Salum anashiriki...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Haji Manara Acha kuwawekea dawa wapinzani,ulianza huo mchezo ukiwa Simba SASA umeuleta Yanga

    Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani. Unatuharibia sana
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Haji Manara akijenga hoja na kujipinga mwenyewe

  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

    Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya. Halafu anawaambia watu pembeni kuwa wenye akili Yanga wamekuwa watatu. Hizo habari tunazipata. Anafanya juhudi sana kuwa...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo amchana Haji Manara vibaya sana

    Dah huyu Mwakinyo. ==== "Kuna mtu ninayemuheshimu aliongea maneno mabaya sana kwangu, nilisema Mwenyezi Mungu anipe ujasiri ili nisiseme maneno mabaya kwasababu yeye ni mtu anayesifika kwa maneno mabaya, lakini hawezi kuwa na maneno mabaya kuliko sisi watu wa uswahilini na wa pwani, kuna...
  11. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

    "Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah. Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya...
  12. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Haji Manara vs Ahmed Ally na Ally kamwe, nani ameweza kujaza uwanja wa Mkapa?

    Nakumbuka zile mechi za CAF za Simba kipindi Haji Manara Afisa habari wa Simba, alikuwa anajaza uwanja wa Mkapa alikuwa ana press nyingi sijui, atembee kwenye masoko, gereji, kariakoo n.k, Haji Manara kwenye uhamasishaji Yuko vizuri kuliko Ahmedy Ally na Ally kamwe Ahmedy Ally kwenye...
  13. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Vita ya Haji Manara dhidi ya wachambuzi wa mchongo

    Anaandia haji manara [emoji3578] Ajira Ajira Ajira Vigezo vya kuwa mchambuzi wa Soka Tanzania. Unatakiwa ujue misamiati hii 1. Box to Box 2. Kukabia High-line 3. Half-Space 4. Zonal Marking 5. Wing-back 6. False number 9 7. Final Third, 8,Double pivot 9,Semi Volley 10,Half Metrobolisim...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe, Haji Manara, Injinia Hersi na wana Yanga SC mlisema hamtawaiga Simba SC. Je, hiki mtakachofanya kesho siyo Kuwaiga?

    "Kesho Uongozi wa Yanga SC umealikwa na Wana Yanga SC wa Mbagala ili twende Kuzindua Hamasa ya Kuelekea Mechi yetu ya Jumapili dhidi ya TP Mazembe na Ijumaa hadi Jumamosi pia kutakuwa na Matukio ya Kuhamasishana na Kufundishana jinsi ya Kushangilia" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC muda...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mke wa Manara, Rushyna asema "Kwani Haji Manara ana hela? Hana pesa, sikwaziki na mambo ya kijinga"

    Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara. Rushyna amesema kama unaona haupati amani sehemu using’ang’anie, mtangulize Mungu mbele kisha endelea...
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa Yanga, kamfata Haji Manara

    Ni rasmi Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa mabingwa wa Tanzania, Dar Young Africans. Diamond ameamia Yanga akimfata supastaa namba moja wa michezo East Africa, Haji Manara. Kabla ya hapo Diamond alikuwa shabiki wa timu inayosuasua ya Simba SC. Timu ya Yanga ambayo ndio club kubwa na yenye...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ubingwa alioupoteza Haji Manara ni upi?

    Kumekuwa na sintofahamu kuwa hivi sasa Manara tangu tu alipoenda Dubai amepoteza kabisa ubingwa wake, hali iliyopelekea mke wake mdogo kumkimbia. Ikumbukwe kuwa Haji manara ni balozi wa wasafi bet hivyo yeye na mkewe walilipiwa gharama zote za safari kwenda na kurudi malazi vyakula vilipwa...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amewahi kucheza Soka?

    Huyu Mwamba amewahi kucheza Soka enzi zake?
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ashakum si matusi, Haji Manara atakimbiwa na mwanamke yeyote yule. Huu ndiyo ukweli

    Asalaam, Kijamii inafahamika nisiongee mengi mind clustering haiwezi kumsaidia hata asemeje kwa akili ya kawaida yule mwanamke sio yeye hata mwingine akimkubali Manara ni Kwa ajili ya kumvaragiza tu. Manara aache kelele nyingi yeye anajulikana yuko kundi gani sasa aache kulia lia ajikubali...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

    Ukitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
Back
Top Bottom