haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Haji Manara atoe ahadi nyingine inayopendwa hasa ile inayopendwa na Mende

    Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende. Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku hiyo ya trh 8 basi utatoa ile apendayo mdudu Mende.
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa mwisho wa zama za Haji Manara? Ally Kamwe, gwiji la tasnia ya habari na mahusiano ya umma autikisa ufalme wake

    Kila zama na kitabu chake, hakuna lenye mwanzo lisilo mwisho. Hakika, kwa alama zote, ni suala la muda tu ufalme wa Haji Manara utafikia tamati, narudia, ni suala la muda tu. Baada ya Ally Kamwe kutangaza kujiuzulu, wanayanga walijiapiza kwamba, kamwe Ally Kamwe hataondoka Yanga. Mwangwi huo...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara hiki Kiburi na huu Ujeuri wako unautoa wapi?

    Yaani kabla ya Press Conference kuanza unawaambiwa Waandishi wa Habari kuwa Wewe huna Bosi katika hiyo Idara na kwamba huko ulishavuka. Hivi ungevuka huko kama unavyojinadi ungekuwa kutwa unaomba Fedha kwa Boss wa Timu huku ukiwapiga Majungu akina Kamwe na Privaldinho? Hivi kwanini...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanachama yeyote anayeweza kumkataa Haji Manara Yanga vinginevyo umechagua kuikataa GSM

    Kaeni mkijua nyie utopolo kuwa Haji Manara hayupo Yanga kwa ajili ya mapenzi ya timu hiyo, yeye yuko Yanga kwa ajili ya GSM. GSM ndio inamlipa mshahara Yanga na mwenyewe amesema live kuwa ameongezewa mshahara hata wakati ule alipokuwa amefungiwa. Yeye Manara ni mtu muhimu sana ndani ya klabu...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kazini kwa Ally Kamwe kuna kazi

    Ujio wa Manara Yanga unamnyima raha Ally, kama Ally hatauona ujio wa Manara kama faida kwake kufanyakazi na mkongwe/nguli kwenye tasnia na badala yake amuone kama adui kwake, patachimbika. Kwakuwa ni ukweli kuwa Ally sio bora na maarufu kuliko Haji, hivyo anatakiwa kuchota uzoefu wa Haji ili...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe arudishwa kwenye nafasi yake kama kawaida

    Post aliyoweka jana akiaga mashabiki kaifuta kwenye ukurasa wake, je ni kweli kaondoka tena au ni kiki tu za michezo ila alikuwa amemaliza mkataba wake na hivyo kuongezewa mkataba mwingine? Zaidi soma: Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani ==== Rais wa Yanga Eng. Hersi...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

    Yaani kabisa Baba yako Mzazi akiri EFM Radio na EA Radio kuwa Wewe ni mwana Simba SC kisha useme ni Yanga SC?
  8. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Haji Manara, sisi mashabiki wa Yanga SC hatukutaki

    huu ni ujumbe wangu mimi mwanayanga halisi kwako wewe white haji manara : mzungu pori umekuwa chanzo cha chuki na fitina kila mahali ulipopita kama mfanyakazi , unasifika kwa kufitinisha watu makazini na kutaka kuwa katikati ya kila kitu kinachokuzunguka. umejawa sifa za kipumbavu na...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watu wakali, wasio na aibu na ving'ang'anizi mithili ya Haji Manara lazima wafanikiwe

    Hello morning!! Mimi ni miongoni mwa watu wenye tabia za upole na aibu. Upole na aibu havina faida yoyote kwenye maisha ya mtu. Nilikosa kazi mbili ambazo zilikuwa zinanisibiri Mimi. Ila kwa tabia ya upole nikashindwa kuzichukua zile kazi . Watu kama Manara lazima wafanikiwe kwa level zao...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kama kujiuzuru kwa Ali Kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara, ni bora Manara aondoke Yanga

    Kama kujiuzuru kwa Ali kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara . Ni bora Manara aondoke Yanga Thread hii sehemu ya kuzungumza ukweli ikiwa Aki kamwe kujiuzuru ili haji Manara achukue nafasi yake usiungaishwe na thread zingine.. Taarifa iliyopo sasa A Good dancer must know when to Leave a...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya Haji Manara kufosi kupewa ajira Yanga. Abaki kama Shabiki, Mdau na Mwanachama akipenda

    Hizi akili za kudhani ni lazima awe na ajira Yanga hazifai kabisa. Kila shabiki na Mwanachama akitaka kupata manufaa Yanga ni fikra za kinjaa njaa sana
  12. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Hoja: Tuna Imani na Ali Kamwe kuliko Haji Manara kwa Nafasi ya Msemaji wa Klabu ya Yanga SC

    Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Yanga nina suluhisho kwenu kuhusu nafasi za Haji Manara na Ali Kamwe

    Kufuatia kinachoendelea pale Yanga kuhusu kurejea kwa Manara katika nafasi yake ya usemaji wa Club,ninashauri Yanga wafanye kama ifuatavyo: 1. Sababu Ali Kamwe amefanya kazi nzuri ya usemaji wa Club katika kipindi chote ambacho Manara alikuwa katika kifungo, basi nashauri abaki kwenye nafasi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania TFF imemfungulia Haji Manara kwa sababu ya uoga tu

    Haji Manara, semaji la Yanga lilifungiwa kujihusisha na masuala ya soka na likapigwa faini kwa utovu wa adabu. Hata hivyo, licha ya kufungiwa, Manara aliendelea kujihusisha na mchezo wa soka kama kawaida huku akiendelea kuwatukana viongozi wa TFF. Aliendelea kufanya yote aliyoweza kufanya bila...
  15. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Utata Kati ya Haji Manara na Ali Kamwe: Hofu na Athari za Uamuzi wa Kurejea kwa Manara kama Msemaji wa Yanga

    Katika ulimwengu wa michezo, hususan soka, uongozi na mawasiliano ni sehemu muhimu sana ya mafanikio ya klabu. Klabu ya Yanga, moja ya klabu kubwa na yenye historia ndefu nchini Tanzania, hivi karibuni imejikuta kwenye utata kati ya msemaji wake wa zamani Haji Manara na msemaji aliyopo, Ali...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara acha Dharau na Dhihaka kwa Ali Kamwe kwani hata Kitaaluma tu kakuacha mbali mno na Yanga SC imefaidika nae 'Kibrandi' kuliko ulivyokuwepo

    DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari. “Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa...
  17. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mzee Magoma: Ali Kamwe ni Simba damu. Awataja pia Manara na Ricardo Momo

    Akihojiwa na Youtube TV ya S500 TV, Mzee Magoma ameeleza mengi kujibu hoja za uongozi wa Yanga, na mojawapo ni kuweka wazi kuwa Ali Kamwe (msemaji wa Yanga) ni shabiki wa Simba na alilijua hilo zamani tangu Kamwe akiwa mdogo. Pia amesema Haji Manara yeye hilo liko wazi, na kuongeza wengine...
  18. The Boss

    JamiiForums Tanzania Haji Manara na hatari ya njaa kuendesha Tumbo Kwa vijana wengi

    Haji Manara alipokuwa Simba alikuwa bega Kwa bega na Mo, hata walipotokea wazalendo wengine kujaribu kumuuliza Mo kuhusu bilioni 20 yeye alikuwa mbele sana kuwapinga na kuungana na wengine kuwaita wote wanaompinga Mo 'njaa "..na maadui wa Simba. Hadi yeye Manara alipogombana na Mo na kuhamia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Manara: Utani wa Simba na Yanga umesaidia kuleta Utulivu nchini, utakuta Maji, Sukari na Umeme hakuna lakini Media zinajadili Simba na Yanga!

    Katibu Uenezi wa CCM mkoa wa DSM mstaafu Alhaj Hajji Manara amesema Utani wa Simba na Yanga umesaidia kuleta Utulivu nchini na Serikali inauunga mkono 100% Manara amesema unaweza kukuta Maji hakuna, Umeme hakuna, Sukari hakuna lakini Wananchi kwenye mitandao ya Kijamii wako busy kuwajadili...
  20. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee...
Back
Top Bottom