Haji Manara amewahi kucheza Soka?

Haji manara kazaliwa Amsterdam Uholanzi, usimchukulie poa alipiga Moja ya point Saba o .level. Huyu jamaa kakipiga Nzumbe special school Advanced level. Pia Mwamba ni kichwa sana watu hawaelewi tu. Kuhusu mpira jamaa hajawahi kucheza popote professional football labda Amateur
 
Baada ya Mzumbe Advance akaenda kusomea wapi masomo ya Chuo Kikuu au akaishia hapo hapo?
 
Haji manara kazaliwa Amsterdam Uholanzi, usimchukulie poa alipiga Moja ya point Saba o .level. Huyu jamaa kakipiga Nzumbe special school Advanced level. Pia Mwamba ni kichwa sana watu hawaelewi tu. Kuhusu mpira jamaa hajawahi kucheza popote professional football labda Amateur
Mkuu labda umesahau alipotoka mzumbe alienda Ilboru Arusha na Pale ndo alipoanza kujihusisha na soka.

Kama unaikumbuka kuna mechi moja alichezea AFC ya Arusha alipiga Kross alafu akaiwahi mwenyewe akaenda piga kichwa akaweka kambani.
 
Hii vipi nayo?
 
Back
Top Bottom