Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa Yanga, kamfata Haji Manara

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
Ni rasmi Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa mabingwa wa Tanzania, Dar Young Africans.

Diamond ameamia Yanga akimfata supastaa namba moja wa michezo East Africa, Haji Manara. Kabla ya hapo Diamond alikuwa shabiki wa timu inayosuasua ya Simba SC.

Timu ya Yanga ambayo ndio club kubwa na yenye mashabiki wengi tutegemee kuiona ikizidi kuvuna watu wengi baada ya uamuzi huu wa Diamond.
 
NILISEMA JUZI YANGA INAKARIBIA KUWA CHAMA KAMILI CHA SIASA NA VILE WAKALI WALIOSTAAFU WASIOSTAAFU WAPO PALE.leti us looku
 
Kamtafunia bi mdogo anataka akamalizie na yule mkubwa... Afu unaweza kukuta lile zombie hata halijastukia mchezo....

Diamond hana tofauti na katibu wa Masanja....
 
Ukimtoa Sunday Manara na Jakaya Kikwete, yaliyobakia yote utopoloni ni kama manyani - Haji Manara 2020.
 
Ni haki yake kabisa
Hakuna shida hapo,na haji akihamia singida united akimfata nayo ni sawa tu
Kwa sasa Karibu sana Mr.platnumz yanga!
 
Sasa diamondplatnumz kama kaamua kumfuata Haji Manara kule @yangasc1935 itakuwaje na jina lake la SIMBA🦁 au atabadili na kujiita YANGA🐸??
 

Attachments

  • FB_IMG_1674131926933.jpg
    FB_IMG_1674131926933.jpg
    61.6 KB · Views: 19
Back
Top Bottom