Nasikia unapanga kufanya Press Conference yako ya Kutapika Nyongo yako dhidi ya Simba SC hasa Watendaji wake kati ya Jumatatu au Jumanne ijayo.
Nami pia nakuonya mapema sana just ya hili kwani ukitekeleza hii adhma yako utakuwa umekaribisha Mashambulizi hatari ya Kiyahudi dhidi yako.
Wakati...
Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
barbara gonzales
hajimanara
hataki
klabu
kuondoka
kwanza
lazima
likizo
mashabiki
mawazo
mbali
mgando
milioni
mkataba
mshahara
muda
sahihi
siku
siku 7
simba
wachezaji
Baada ya kusikiliza clip ya Haji Manara ni dhahiri shahiri anajiona amekua mkubwa zaidi ya Simba.
Uongozi wa Simba uchukue hatua haraka za kumuondoa kwa mustakbal wa klabu yetu pendwa.
Anasahau hakuna branda ya Haji Manara Bali kuna brand ya Haji Manara wa Simba.
Ukiondoa Simba hakuna Haji...
Najaribu tu kuwaza,kwamba Klabu ya simba inalipa wachezaji, benchi la ufundi, n.k mamilioni ya pesa,ina mdhamini wake ni tajiri kabisa hapa Afrika lakini leo nimepigwa na bumbuwazi bada ya mambo kuwa wazi kwamba msemaji mkuu wa simba analipwa hela ndogo ambayo hailingani na hadhi na mchango wake...
Baada ya msemaji wa Simba, Haji Manara kumtuhumu mkurugenzi wake kuwa na chuki dhidi yake na kutoa madai kadha wa kadha, Barbara amejibu kwa sasa akili yake iko kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya watatni wao Yanga.
Pia, soma> Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi...
Habari za wakati huu!
Ninawaomba sana wanachama, wapenzi na washabiki wa Simba tuwe watulivu na makini kuelekea fainali ya FA CUP
Uongozi wa Simba upo makini na ulishatoa maelekezo ya kutatua mgogoro uliojitokeza. Simba ni timu inayojipambanua kuendeshwa kiweledi hivyo tusimame katika misingi...
Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
#NIONAVYO MIMI: HAJI MANARA HAFAI KUWA MSEMAJI WA SIMBA SC.
kwanza kabisa napenda kukiri wazi kuwa Mimi ni shabiki wa chama la wana SIMBA SC, pili nina muheshimu kaka yangu Haji Manara na nina heshim mchango wake kwa klabu yetu.
Wakati wa kuanzishwa kwa klabu hii 1936, timu hii imepitia...
Wasalaam,
Haji Manara aliwakera wengi sana alipo diriki kuwaita waandishi wa habari hasa za michezo kuwa ni "takataka" kwakweli ni maneno yaliyo fikirisha sana wengi na wengi walioneshwa kukerwa sana na kitendo kile cha udhalilishaji kilicho fanywa na haji manara na wengi walitegemea hatua...
KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara, amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuhusishwa na tuhuma za utapeli. Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Kirumbe Ngenda, jana alilithibitishia gazeti hili kuwa wamekubali barua ya kujiuzulu kwa Manara iliyowasilishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.