haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwa nilichokisikia kwa wenye Yanga SC yao na kinachokuja, nawaomba Haji Manara na Injinia Hersi Said waachane nayo upesi

    Kati ya Kesho Jumatatu mpaka Jumatano au Alhamisi kuna Zengwe la Awali linaenda Kuibuka Klabuni Yanga SC ambalo litawahusu hasa Watu Wawili Msemaji mpya Haji Manara na Injinia Hersi Said. Hata hivyo Zengwe hilo.litazimwa kwa muda ila litaibuka kwa Nguvu mpya Weekend ijayo pale ambapo Yanga SC...
  2. B

    Haji Manara na fred Vunja Bei wanavyoathirika siasa za viwanjani Yanga na Simba

    Ipo siasa iliyopotea njia ndani ya nchi yetu. Ipo mikakati mfu yakiwekezaji isiyo na tija kwa Taifa letu. Wapo watu wanaamini kila Jambo lazima tuwe na viongozi wanaoongozwa na mfumo wa kisiasa. Wapo watu wanaishi vizuri kwa mwonekano wa nje lakini si kwa mwonekano wa ndani. Chama kinatafuta...
  3. M

    CCM hivi Kesi ya Uwizi na Uuzaji wa Magari yetu ya Haji Manara hatuwezi Kuifufua ili akaozee tu Jela?

    Nasubiri majibu yenu CCM Makao Makuu au hapo Lumumba juu ya hili kwani Sisi wana CCM tunayahitaji yale Magari ili tuweze Kumtangaza zaidi Bi. Hangaya na Tanzania yake. Huyu Haji Manara anatakiwa awe Jela.
  4. M

    Baada ya kusema hakuna wa Kumuweza na sasa Mashambulizi yanazidi Kwake, Haji Manara atishia kuwafanyia Kitu mbaya wanaomshambulia Mitandaoni

    Tukiweka Kumbukumbu sawa ni huyu huyu Haji Manara (Msemaji mpya wa Yanga SC ) alipohamia huko alijigamba na Kujimwambafai kwa kila namna kuwa hakuna mwana Simba SC anayemuweza kwa Kuchafuana na Kutaniana pia. Leo akiwa katika Interview EFM katika Kipindi Bora kabisa cha Michezo nchini cha...
  5. GSM kuweni na utu, msimfanye Haji Manara kama Msukule

    Ndio kuna biashara,ndio kuna pesa. Lakini kumbukeni kuna utu na heshima mbele za watu.Zaidi ya yote kuna Akhera. GSM mnajua kabisa huyu mtu ana msongo mkubwa wa mawazo baada ya kufukuzwa Simba Sc. Tunatambua nyinyi mlikuwa marafiki zake wakubwa hata kipindi akiwa Simba. Sasa urafiki gani huu...
  6. Manara anaendeleza kilichomtoa Simba

    Kuna clip Manara akiwa kwenye Press ya Yanga jana wakiwa meza moja na Bumbuli kabla press haijaanza wakawa wanaongea bila kujua wanarekodiwa. Manara: Nini hiki? Bumbuli: Hawa si ndo wadhamini wetu? (Maji afya). Manara :Duh huu mtihani kwangu (yeye balozi wa maji ya uhai) Bumbuli: anacheka...
  7. Video: Haji Manara ana hali mbaya sana; anafuta kukubalika kwa kila namna

    Jamaa ana hali mbaya sana. Akitafuta kukubalika kwa kila namna. Ana wakati mgumu sana.
  8. M

    Ridhiwani Kikwete awapasua wana Yanga na Haji Manara

    Nadhani Watu wengi mmebahatika Kuisikiliza Clip inayosambaa kwa Kasi sasa Mitandaoni ya Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ) hivyo nami nitaweka tu hapa Nukuu zake Tano tu zenye maana na umuhimu. "Wana Yanga SC Wenzangu yatupasa sasa Kubadilika japo wenyewe tunajiona tunapatia kumbe tunakosea...
  9. C

    Maneno ya Haji Manara baada ya Simba kuzindua Jezi

    MAKOLOKOLO YAO NIMEYAPATA KABLA YA WAO KUZINDUA Shukrani zote ziwaendee majembe wangu majasusi waliopo katikati yao. Walijidai wana siri wakati najua kila kitu wanachofanya. Sasa rafki yangu vunja bei badala ya kuzindua jersey unaleta sare za kwaya ya kijitonyama hahahaha Wameweka adi happy...
  10. N

    Onyo la Shaffih Dauda kwa Haji Manara Mei 13, 2021

    MEI 13, 2021 Anaandika Mchambuzi, SHAFII DAUDA. Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda By the way niliwapa aina mbili za Haji Manara, nikawaelezea na...
  11. Tukiweka hisia pembeni, ni wazi hakuna anayefikia hata robo ya uwezo wa Haji Manara

    - Elimu yake watu hawana muda nayo kujua alisomea wapi maana balaa analofanya mbele ya macho yetu ni ushahidi tosha shughuli imempata anaeiweza, wapo kina gift macha wana degree zao lakini wamezimwa na nyota kali ya Manara. - Manara ndie msemaji anaelipwa mno, milioni 9 kwa mwezi, huu ni...
  12. N

    Manara acha uongo, weka vyeti hadharani au toa majina ya vyuo

    Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na Advanced Diploma ya siasa China. I CHALLENGE you toa vyeti hadharani tuone AU TAJA MAJINA YA VYUO NA...
  13. Morison amshauri Haji Manara kuacha tabia za kike

    BM3 wakili msomi amepiga kwenye mshono
  14. Edo Kumwembe amchambua Haji Manara kisomi

    JICHO LA MWEWE: Haji Manara ni ‘Malaika au Shetani’? By Edo Kumwembe HAJI Manara anaingia katika rekodi ya aina yake nchini. Rekodi ambayo unaweza kuiweka katika kitabu cha rekodi ya maajabu ya dunia cha Guiness. Anakuwa kiongozi wa kwanza kukatisha boda baina ya klabu mbili kubwa nchini...
  15. M

    Haji Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo

    "Nimenusurika katika Ajali mbaya baada ya Gari yangu Kugongwa vibaya Usiku wa Jana", Haji Manara. === HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya". "Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na...
  16. S

    Haji Manara kazi anaiweza, ila tukikorofishananae, tutajilaumu kumpokea

    Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga na ninahamu ya kuona club yetu msimu huu inapata mafanikio. Ujio wa Haji Manara katika timu yetu, bila shaka ni moja ya mikakati ya timu yetu katika kutafuta mafanikio, na leo katika kilele cha siku ya wananchi, Haji Manara amethibitishi uwezo...
  17. Antonio Nugaz amwita Manara "Msukule"

    Kuna dalili Kuwa Yanga ikaenda kupasuka pasuka , hii n baada ya Video iliyorekodiwa na Nugazi na mashabiki wa Yanga. Video hyo inasikika sauti ikidai kuwa Msukule wa Simba wamemchukua ( Ifahamike kuwa hakuna biashara ya mchezaji au kocha yeyote aliyetoka simba kwenda Yanga) mtu pekee aliyeenda...
  18. M

    Haji Manara: Mabaya dhidi ya Yanga SC niliyoyasema nikiwa Simba SC ilikuwa kusherehesha tu

    "Yale maneno yangu yote mabaya dhidi ya Yanga SC niliyokuwa nikiyasema nikiwa Simba SC nilikuwa nasherehesha tu na nashangaa Watu wengi waliyaamini na hata hapa Yanga SC nitasema mabaya ya Simba SC na wana Yanga SC watakaoniamini shauri zao", Haji Manara. Chanzo: EFM Sports Headquarters leo...
  19. M

    Kwa kauli hii ya Haji Manara alipaswa kukamatwa; Serikali endeleeni tu kumlea huyu

    "Rangi ya Kijani ni rangi ya Dini ya Kiislamu na Mtume na hiyo rangi Nyekundu ni ya Shetani na wale upande wa Pili", Haji Manara. Chanzo: EFM Sports Headquarters leo. Kwahiyo kwa mujibu wake Haji Manara ni kwamba Waislamu ndiyo wana Dini ya Mungu na Yanga SC wote kwakuwa ni ya Kijani ila...
  20. Haji Manara msimfikishe jikoni Yanga, anaweza kurudi Simba kuunga mkono juhudi

    Adui yako namba moja ni mtu wako wa karibu. Haji alivyokuja Yanga ndiyo atakavyoondoka Yanga. Kama mnadhani Yanga mna siri nyeti ambazo ni mwiko kufahamika kwa Simba na public basi ziwekeni mbali nae kwanza. Vinginevyo lazima mumlee Haji kama yai, msimkorofishe hata siku moja, vinginevyo iko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…