Tukiweka hisia pembeni, ni wazi hakuna anayefikia hata robo ya uwezo wa Haji Manara

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
1630586479256.png

- Elimu yake watu hawana muda nayo kujua alisomea wapi maana balaa analofanya mbele ya macho yetu ni ushahidi tosha shughuli imempata anaeiweza, wapo kina gift macha wana degree zao lakini wamezimwa na nyota kali ya Manara.

- Manara ndie msemaji anaelipwa mno, milioni 9 kwa mwezi, huu ni mshahara wa miezi miwili ama mitatu ya mwalimu wa chuoni, hapohatujagusia mpunga anaopokea kwenye ubalozi wa azam, gsm na asas, pesa iliyokuwa inamtunza zaidi kuzidi ule mshahara wa laki 7

- Manara ndie msemaji anaekera zaidi upinzani lakini cha ajabu wanaendelea kumfollow hawataki kumu unfollow :D :D

- Manara ndie msemaji anaeweza kufanya promo za kujaza dimba.

- Manara ndie msemaji anaeweza kuukera upinzani kwa kiwango cha juuu (kuwakera, maneno ya shombo, kebehi, n.k. ) leo hii tayari mtu akisema "KOLO" picha inakuja ya simba
 
Hivi Manara ana nini zaidi ya porojo. Kwamba Yanga day ilijazwa na Manara? waambie hivyo Yanga kama watakuelewa. Simba ndio kabisaa usituambie huo ujinga,uwanja ukijazwa na performance ya timu. Kama anaweza kujaza uwanja mwambie ahamie KCMC ajaze huo uwanja. Hizi timu Simba na Yanga zinabebwa na historia zao. Acheni ujuha.

Mtu na akili zao unalinganisha watu kiwango cha kukera-harrasment na provocation kama sifa nzuri. Badala ya professionalism. Hii ni akili kweli
 
Mimi wala sibishani,twende sasa uwanjani matokea ya timu ndo yatatoa majibu kama Msukule ana faida au hasara.mbona itafahamika tu.
 
- Elimu yake watu hawana muda nayo kujua alisomea wapi maana balaa analofanya mbele ya macho yetu ni ushahidi tosha shughuli imempata anaeiweza, wapo kina gift macha wana degree zao lakini wamezimwa na nyota kali ya Manara.

- Manara ndie msemaji anaelipwa mno, milioni 9 kwa mwezi, huu ni mshahara wa miezi miwili ama mitatu ya mwalimu wa chuoni, hapohatujagusia mpunga anaopokea kwenye ubalozi wa azam, gsm na asas, pesa iliyokuwa inamtunza zaidi kuzidi ule mshahara wa laki 7

- Manara ndie msemaji anaekera zaidi upinzani lakini cha ajabu wanaendelea kumfollow hawataki kumu unfollow :D :D

- Manara ndie msemaji anaeweza kufanya promo za kujaza dimba.

- Manara ndie msemaji anaeweza kuukera upinzani kwa kiwango cha juuu (kuwakera, maneno ya shombo, kebehi, n.k. ) leo hii tayari mtu akisema "KOLO" picha inakuja ya simba

Utopolo katika kiwango cha juu kabisa cha ubora wa kufikiria kinyume na uhalisia.
 
View attachment 1921113
pengine akili zimeganda. Nakupa home work ya kuyeyusha akili. Unapata tafsiri gani kwa hizo post za Kamwaga na comments za fans za Simba?

Huwa wapo desparate kutafuta mbadala wa jina la Utopolo lakini wanafail.Utopolo moja ya jina bora kabisa kuwahi kubatizwa na mmoja wa Mwana utopolo likifuatiwa na Msukule na sasa tuna Mama J FC
 
- Elimu yake watu hawana muda nayo kujua alisomea wapi maana balaa analofanya mbele ya macho yetu ni ushahidi tosha shughuli imempata anaeiweza, wapo kina gift macha wana degree zao lakini wamezimwa na nyota kali ya Manara.

- Manara ndie msemaji anaelipwa mno, milioni 9 kwa mwezi, huu ni mshahara wa miezi miwili ama mitatu ya mwalimu wa chuoni, hapohatujagusia mpunga anaopokea kwenye ubalozi wa azam, gsm na asas, pesa iliyokuwa inamtunza zaidi kuzidi ule mshahara wa laki 7

- Manara ndie msemaji anaekera zaidi upinzani lakini cha ajabu wanaendelea kumfollow hawataki kumu unfollow :D :D

- Manara ndie msemaji anaeweza kufanya promo za kujaza dimba.

- Manara ndie msemaji anaeweza kuukera upinzani kwa kiwango cha juuu (kuwakera, maneno ya shombo, kebehi, n.k. ) leo hii tayari mtu akisema "KOLO" picha inakuja ya simba

Umeongea kwa Mahaba yako ya Yanga Hivi wewe unamjua Masau Bwire wewee Au kwa vile hayupo Yanga au Simba....
Tumia Ubongo kabla hujawnzisha Uzi!
Masau Anajua Kukera mnooo Na Angekuwa Timu kubwa Yanga Mngekomaa
Tafuta Clip zake ndio utajua Naongea nini
 
mtu kashindwa hata kuji brand huyo ndio ataweza kui brand timu ??? hata page yake tu followers wachache sana, hakuna mtu wmenye time nae
 
Hivi Manara ana nini zaidi ya porojo. Kwamba Yanga day ilijazwa na Manara? waambie hivyo Yanga kama watakuelewa. Simba ndio kabisaa usituambie huo ujinga,uwanja ukijazwa na performance ya timu. Kama anaweza kujaza uwanja mwambie ahamie KCMC ajaze huo uwanja. Hizi timu Simba na Yanga zinabebwa na historia zao. Acheni ujuha.

Mtu na akili zao unalinganisha watu kiwango cha kukera-harrasment na provocation kama sifa nzuri. Badala ya professionalism. Hii ni akili kweli
Word bro!
 
Wacha unafiki wewe Leo ndiyo unaitambua Hilo la harrasment na provocation? Kweli wewe hamnazo au nawe Ni mchepuko wa kanjibah
Hivi Manara ana nini zaidi ya porojo. Kwamba Yanga day ilijazwa na Manara? waambie hivyo Yanga kama watakuelewa. Simba ndio kabisaa usituambie huo ujinga,uwanja ukijazwa na performance ya timu. Kama anaweza kujaza uwanja mwambie ahamie KCMC ajaze huo uwanja. Hizi timu Simba na Yanga zinabebwa na historia zao. Acheni ujuha.

Mtu na akili zao unalinganisha watu kiwango cha kukera-harrasment na provocation kama sifa nzuri. Badala ya professionalism. Hii ni akili kweli
 
Mimi kwa upande wangu naweza kusema kwa namna moja ama nyingine manara aliisaidia sana kuipromote Simba hatuwezi kubeza ukweli. Lakini hii ilichagizwa na mabadiliko makubwa ambayo simba waliyafanya ambayo ndo yameifanya itawale soka bongo... Sio kwamba manara asingekuepo simba isingefanya iliyoyafanya No. Lakini kuna kitu kingekosekana mvuto!!!..

Tukirudi upande wa Yanga bado chansi ya manara kuabudiwa ni 50/50 kwann nasema hivo.. Itategemeana na matokeo uwanjani.. Ila endapo bado Yanga ikiendelea kuteseka mbele ya polosi Tanzania tegemea aibu ya karne kwa manara ..

Ni hayo tu
 
Hizi sifa zote za manara mumeziona mwezi huu? Mumesahau kuwa wakati Simba tunamlinda Manara ni nyinyi Yanga ndiyo mulizokuwa munamtukana kuwa ni Mropokoji lakini hana sifa ya kuwa msemaji wa Timu.
 
Back
Top Bottom