haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Haji Manara kazi anaiweza, ila tukikorofishananae, tutajilaumu kumpokea

    Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga na ninahamu ya kuona club yetu msimu huu inapata mafanikio. Ujio wa Haji Manara katika timu yetu, bila shaka ni moja ya mikakati ya timu yetu katika kutafuta mafanikio, na leo katika kilele cha siku ya wananchi, Haji Manara amethibitishi uwezo...
  2. LENGISHO

    JamiiForums Tanzania Antonio Nugaz amwita Manara "Msukule"

    Kuna dalili Kuwa Yanga ikaenda kupasuka pasuka , hii n baada ya Video iliyorekodiwa na Nugazi na mashabiki wa Yanga. Video hyo inasikika sauti ikidai kuwa Msukule wa Simba wamemchukua ( Ifahamike kuwa hakuna biashara ya mchezaji au kocha yeyote aliyetoka simba kwenda Yanga) mtu pekee aliyeenda...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Mabaya dhidi ya Yanga SC niliyoyasema nikiwa Simba SC ilikuwa kusherehesha tu

    "Yale maneno yangu yote mabaya dhidi ya Yanga SC niliyokuwa nikiyasema nikiwa Simba SC nilikuwa nasherehesha tu na nashangaa Watu wengi waliyaamini na hata hapa Yanga SC nitasema mabaya ya Simba SC na wana Yanga SC watakaoniamini shauri zao", Haji Manara. Chanzo: EFM Sports Headquarters leo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Haji Manara alipaswa kukamatwa; Serikali endeleeni tu kumlea huyu

    "Rangi ya Kijani ni rangi ya Dini ya Kiislamu na Mtume na hiyo rangi Nyekundu ni ya Shetani na wale upande wa Pili", Haji Manara. Chanzo: EFM Sports Headquarters leo. Kwahiyo kwa mujibu wake Haji Manara ni kwamba Waislamu ndiyo wana Dini ya Mungu na Yanga SC wote kwakuwa ni ya Kijani ila...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Haji Manara msimfikishe jikoni Yanga, anaweza kurudi Simba kuunga mkono juhudi

    Adui yako namba moja ni mtu wako wa karibu. Haji alivyokuja Yanga ndiyo atakavyoondoka Yanga. Kama mnadhani Yanga mna siri nyeti ambazo ni mwiko kufahamika kwa Simba na public basi ziwekeni mbali nae kwanza. Vinginevyo lazima mumlee Haji kama yai, msimkorofishe hata siku moja, vinginevyo iko...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Manara alipolia kubaguliwa baada ya kukanywa kwa kuchekelea ajali ya Yanga

    Hassan bumbuli alimpa makavu live baadaya kuwacheka Yanga kwa ajali ya kupasuka tairi la mbele la gari ambayo kimahesabu ingeweza kusababisha madhara makubwa kama kawaida yake ya kutumia ulemavu wake ku play victim card alianza kulialia mitandaoni and oh boy it worked ,hata majuzi tu alitumia...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga umeweka bayana majukumu ya Haji Manara

    Kumekuwa na sintofahamu kuhusu nafasi ya 'Bugatti' hasa ikizingatiwa Yanga inae Afisa wa Habari, Hassan Bumbuli na Afsa wa Uhamasishaji Antonio Nugaz Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema Manara ataingia kwenye Kitengo cha Uhamasishaji wakiamini atasaidia kuimarisha kitengo hicho...
  8. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Anahoji Msemaji wa Simba wa zamani Haji Manara

    Nadhani Lipo Tatizo kubwa sana kwenye hii cheque [emoji1787][emoji1787][emoji1787] 1. Iyo cheque inakua authorize kwa signature upande wa kushoto [emoji15] lakin kwakua anaitoa mfuko wa kushoto kuingza mfuko wa kulia ndio maana labda na hakutakiwa kuweka media basi[emoji1787] 2. Maturity date...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama hawa Wazee Wanne wa Simba SC wakifanya wanachotaka Kukifanya kwa Hasira waliyonayo, Haji Manara anakuwa Chizi au Marehemu upesi

    Nimejaribu Kuwasihi mno wasifanye wanachotaka Kukifanya kwa Kitendo cha Haji Manara wakanionya ninyamaze vinginevyo nami pia watanijumuisha katika Kafara lao Kubwa wanaloenda kulifanya kwa Usaliti mkubwa na Dharau dhidi ya Simba SC. Na Kilichonitisha zaidi kuna Wazee Wawili kati ya hawa Wazee...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wale Wanasimba SC Wanafiki kama Haji Manara na mliokuwa mkimtetea wakati wenye Akili tulishamshtukia mnahama nae au?

    Wengine tulikuja na Threads za kila aina hapa JamiiForums za Kumsema Haji Manara huku tukiwa na Taarifa za Kutosha tu kuwa alikuwa ni Msaliti ndani ya Simba SC tukadharaulika na Kupuuzwa hatimaye leo tumegeuka kuwa ni Mashujaa na huenda hata tunastahili Tuzo za Heshima. Haya wale wana Simba SC...
  11. demigod

    JamiiForums Tanzania Kumkaribisha Haji Manara Jangwani Ni Kosa Kubwa Sana!

    Wanajanvi. Sina shaka na uwezo wa Haji kwenye matumizi ya kimkakati ya Kimasoko. Ila kwa kutumia jicho la tatu ninaona kama ni kosa kubwa sana kumkaribisha huyu Mwamba pale Jangwani kwa sababu ya historia yake kwenye eneo la nidhamu na weledi. Ni kweli kuwa ametokea kwenye familia yenye vina...
  12. ze-dudu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

    Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga ====== Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo...
  13. Viol

    JamiiForums Tanzania Manara alikuwa jipu Simba, ukweli umejitenga

    Tulijiuliza sana kwanini Yanga wanamtetea Manara humu? Mtu avunje miiko ya kazi halafu kundi la wahuni linamtetea. Uongozi wa Simba sio wajinga, leo manara anatangaza tamasha la Yanga kuonyesha hadharani usaliti aliokuwa anafanya. Unajua siku zote ukisingiziwa kama huhusiki haikuumi, Manara...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Propaganda zinasukwa Simba Day isihudhuriwe na watu wengi ili uongozi wa Simba uonekane haufai

    Kilichopo zinatengenezwa propaganda nyingi ili uongozi uonekane haufai siku ya Simba Day watu wasijae uwanjani ili ionekane Manara yeye ndio alikua na uwezo wa kushawishi watu kujaza uwanja. Wanachotaka watu wasipojaa uwanjani wataandaa mada nyingi za kuuponda uongozi na kumsifia Manara kuwa...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Manara: Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa

    Mke wangu siku moja aliniambia kuna biashara nataka tufanye mimi na wewe kwa kushirikiana, nikakataa kwa kuwa biashara yenyewe ilipaswa iajiri watu wengine kama thelathini hivi. Nikamwambia mimi nitakuunga mkono lakini hiyo iwe yako wewe mwenyewe na mimi nisihusike nayo. Unajua why? Huwa...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara asaidiwe kabla ya kuanza kuokota makopo na chupi kichwani

    Ukiachwa achika Vijembe anavyorusha kwa Mo Dewji na Simba Sc na bado hajibiwi vinaweza kumfanya huyu mtu akawa data na kuanza kuokota makopo. Hatua aliyofikia ni mbaya sana hakuna tofauti yeyote na mtu ambaye wehu ndo umeanza kuingia ingia, ameanza kutembea bila viatu amekushikilia suruali...
  17. lodirofaa

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu usemaji wa Haji Manara

    Kuna hi kauli mtaani huna tena msemaji atakaekuja Kama haji manara Simba wengine wanasema Simba haitafanikiwa kwakuwa haji hayupo Tuanze hapa hivi chukua mashabiki Mia wa real Madrid alafu waulize wanamjua msemaji wa timu yao? Sizani Kama Kuna anaemjua kma wapo wachache LAKINI timu haifanikiwi...
  18. 2019

    JamiiForums Tanzania Hata Manara angekuwa balozi wa Mohammed Enterprises, Mo asingepata faida

    Sina nia mbaya na brand ya Mo ila najaribu kusema tu hata Manara angekuwa anatangaza biashara za huyu Mdosi bado hali ingekuwa mbaya tu sababu tatizo sio ubalozi bali ni ubunifu. Azam ni mbunifu sana ameajiri wataalamu na washauri wa biashara kitu ambacho Mo hana. Mo anatembelea nyota ya azam...
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Magoli ya kujifunga ya Manara na Mo: Wakati Manara akiongoza kwa faida ya Goli la ugenini, what is next?

    Manara kwa kusambaza clip aliyokuwa akimshutumu Babra, alijifunga own goal na kuondoka Simba Sc wanamichezo na mashabiki walimlaumu na wengine walisema ni tabia yake mbovu. Hajji akaanza mikakati ya kushambulia na kusawazisha goli kuanzia na ile press yake japo hata hiyo press bado alionekana...
  20. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Athari za Haji Manara kuondoka Simba mpaka sasa

    Hapa tuseme ukweli. Tangu kuondoka Manara kuna mambo tayari Simba imerudi nyuma na kulingana na Yanga. Kuna faida moja Manara ameiacha kwa Yanga nitaitaja baade. Katika kipindi hiki cha usajili, tumezowea kuwa kipindi cha muhaho kwa pande zote mbili. Manara akizowea kukoleza sana kwa kila...
Back
Top Bottom