haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

    Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake. Mo...
  2. Fredwash

    JamiiForums Tanzania Devil's Advocate Kwa Mohammed Dewji

    Jamani najaribu kuwa Devil's Advocate kwenye hii Saga ya Manara VS Mo/Barbara/Simba Nitaenda kwenye kupande ambao Manara ana claim Simba inanyonywa na Mo, kuwa kusema Mo anasema hapati faida ni uongo naomba anaejua. Simba kwenye mikataba yake ya 5 yrs ago kuanzia Sport pesa na mengineyo...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale wote 'mnaomtetea' Haji Manara na 'Upuuzi' na 'Unafiki' wake popote pale mlipo naomba mnijibu haya Maswali yangu Kwenu

    1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki? 2. Je, kati ya aliyekuwa CEO Magori ambaye hakuwa kumpa Mkataba wowote Haji Manara na CEO Barbara ambaye kwa mwaka...
  4. Francis fares Maro

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kinachoendelea katika michuano ya kombe la Kagame

    Wasalaam, Ndugu wanajf naomba kupata updates za kombe la Kagame huko linavyoendelea na nikiwa shabiki lialia wa Yanga naomba matokea bila kufichwa!! Nasubiria na updates za usajili kutoka club yangu pendwa naona viongozi na mashabiki tumekua kimya sana kama tumepigwa na ganzi kunani
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anafaa kuwa msemaji wa timu ya ndondo cup

    Kweli Simba na Yanga wana utani ambao wote tumeukuta, lakini wakati huu ambao timu zinaingia kwenye uwekezaji wa kibiashara hazihitaji msemaji kama Manara mwenye utani ule wa kale wa uhasama na uhasimu. Utani wa Manara ulipitiliza kiasi kwamba shabiki wa Yanga unashindwa kuinunua bidhaa ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

    Haji huyuhuyu anaelalamikia uongozi wa Simba, alikuwa analipwa 700k bila vyeti Manara huyuhuyu ambaye kabla ya Simba hakuwa maarufu shida zake kubwa zilitatuliwa na MO kifedha kama kijana wake Manara huyuhuyu aliwahi kumtusi maneno mazito na kumdharau CEO wa Simba kwasababu za uanamke wake...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara yuko sahihi kwa hili

    Kwenye press ya Mo nilipata mshtuko pale aliposema hapati faida yeyote kwenye timu na bahati mbaya waandishi wa habari hawakuuliza maswali ya msingi juu ya kile alichokitamka, sasa kumbe mshtuko wangu Haji Manara na yeye ameshtuka vile vile nilivyoshtuka na ile bilioni 21 aliyosema ametumia...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

    Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi. Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana ameshatuhakikishia ni kwanini ana udhaifu mkubwa wa Wanaume wengi wa Pemba, Lamu na Mombasa. Kayakanyaga hivyo...
  9. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

    Aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu Kongwe ya Simba Sports Club leo hii anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam juu ya Masuala mbalimbali ikiwemo ya yeye kuondoshwa katika klabu ya Simba Kuwa nami hapa kwa updates/kinachoendelea -------------------------------------------- Ameanza...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Dr. Sulle "Mafanikio ya Simba ni sababu ya maneno ya Haji Manara, sio Yanga walikuwa hawana timu''

    Mhadhiri na mhutubu maarufu Dr Sulle amedai kuwa maneno ya aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya @simbasctanzania Haji Manara yalikuwa na mchango mkubwa kwenye mafanikio ya timu hiyo na wala sio kuwa watani wao wa jadi Yanga walikuwa hawana timu lahasha. Dr Sulle anaamini #simbasc msimu ujao haitakuwa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya 'Kulikoroga' na kuona hapati 'Sapoti' ya Wanafiki wengi, hatimaye Haji Manara apanga Kuomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC

    Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote. "Mimi ni Binadamu sijakamilika na siyo Malaika hivyo yawezekana nina Mapungufu yangu na kuna...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ilikua lazima Mo Dewji aweke bilioni 20 baada ya Azam kutoa mkataba mnono Yanga

    Habari Wana michezo poleni wanachama wenye team yenu sababu mnaponzwa na mashabiki Kwan wao wanacho taka ni furaha tu Leo Mo katangaza kuweka Ile B20 ya hisa 49 kitu ambacho asinge fanya kama yanga wasinge Pata dili nono Tena Mara mbil ya pesa anayo Lipa Mo-Dewji kwa kumiliki hisa 49 milele uku...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kati ya Haji na Barbara nani hapa kazichanga vyema karata zake na yupi kajimaliza na atajutia milele?

    Je, ni Haji Manara ambaye baada ya Kuuamisha Umma kuwa anaonewa hivyo alitamani Simba SC ifungwe majuzi ili aje Kummaliza vyema Adui yake Kisha akaendelee zake Kupiga Pesa ASAS Diary, Azam Products na GSM au ni CEO Barbara Gonzalez ambaye pamoja na Shutuma zote alizopewa ila alichagua Kunyamaza...
  14. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji tuachie timu yetu

    Huyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri. Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake. Huyu ametapatapa sana kutaka kumiliki timu, tangu Africa Lion ambayo ilimshinda na kuja Simba kwa mgongo wa udhamini. Haji...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

    ====== Hajj Manara mwisho wake ni leo, Gsm poleni sana yuda iskarioti is out, Ezekiel ni kama vile anapewa miezi miwili ya transition ili kuendeshwa kitofauti na kusafisha u snitch ulisababishwa na tamaa za kuchukua mahela ya kuishi kifahari mjini. ===== BAADA ya maneno mengi bila vitendo...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara acha Kufanya Wana Simba SC wote ni 'hopeless' kama ulivyo

    Hakuna Mtu wa Simba SC hasa hao Viongozi uliowataja wakiongozwa na Salim "Try Again' Wala Nahodha wa Simba SC John Boko aliyekushauri kuwa usifanye ile Press Conference yako uliyoiahidi bali dhamira inakusuta na roho yako ya Kinafiki inakutesa. Kama hawa uliowataja hapa unawaheshimu na...
  17. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Haji Manara

    Hatutaki kuongea mengi juu ya Sakata hili. Mpaka sasa kosa la Manara ni moja tu, Kuanzisha malumbano wakati tunakaribia kucheza derby. Tuhuma nyingine bado hakuna uthibitisho maana kwenda sehemu haimaanishi umekwenda kusaliti. Tutawadai ushahidi wa huo usaliti wa Manara. Babra Umeletwa na Mo...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

    Ule muda wa lawama umewadia. Akili, macho na masikio yote kwa sasa yameelekezwa Kigoma ambako leo Jumapili, kunapigwa pambano la fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) baina ya Yanga na Simba itakayochezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika. Shilingi yako iko upande gani? Kuwa nami kuanzia Saa...
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania KARMA: Manara uliwanyea wenzio nje ya Simba, leo klabu imekukataa wenzako nao wamekuacha unyewe

    Kwa ufupi tu, Kuna wasemaji na wahamasishaji wengi wa Vilabu vya michezo hapa Nchini kuanzia Masau Bwire, Bumbuli, Nuggaz, na wengineo. Hawa wana jukumu kubwa la kuhamasisha mashabiki, kujenga mahusiano na klabu zingine, kujenga mahusiano jamii ya habari na taaasisi zingine nje ya mpira. Pia...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Haji Manara anatangaza maji ya Uhai ya Azam badala ya maji ya Masafi ya Mo?

    Kuna kitu kinaitwa "conflict of interest" Je, inaswihi kwa Haji ambae Boss wake Mo ana biashara ya Maji na wakati huohuo Haji kwenda kutangaza biashara ya Maji kwa Azam? Mo ana maji ya masafi na Azam ana maji ya Uhai. Mo ana timu ya Simba na Azam ana timu ya Azam. Hii imekaaje kikanuni?
Back
Top Bottom