Ridhiwani Kikwete awapasua wana Yanga na Haji Manara

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Nadhani Watu wengi mmebahatika Kuisikiliza Clip inayosambaa kwa Kasi sasa Mitandaoni ya Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ) hivyo nami nitaweka tu hapa Nukuu zake Tano tu zenye maana na umuhimu.

"Wana Yanga SC Wenzangu yatupasa sasa Kubadilika japo wenyewe tunajiona tunapatia kumbe tunakosea. Kuizungumzia Simba SC kila mara tusidhani kuwa tunaishusha bali tujue kuwa ndiyo Kwanza tunazidi tu Kuipaisha"

"Tukatae tukubali Wenzetu wa Simba SC Kibiashara wametuzidi na hili Wala halihitaji Mjadala hivyo ni Jukumu letu wana Yanga SC nasi Kujitangaza zaidi kwa Mambo na Maendeleo yetu kuliko kila mara Kuizungumzia Simba SC wakati Sisi bado tuna Safari ndefu ya Kufikia pale walipotutangulia"

"Yaani wana Yanga SC Wenzangu tunaacha kutumia Nguvu Kubwa kutangaza Jezi zetu ambazo bado hazijauzika kihivyo Sisi tuko busy Mitandaoni na Vijiweni Kukosoa Jezi za Simba SC ambayo hata Kimafanikio ya Kimpira kwa sasa wameshatuzidi. Huu ni Upuuzi mkubwa na yatupasa kubadilika"

"Nimesikitika sana kuona Leo hii Yanga SC tumemchukua aliyekuwa Msemaji wao Mkuu ambaye ni Mchumia Tumbo na Kumuamini na kuwa nae. Huyu ndiyo Mtu ambaye Kutwa alikuwa akitutukana vibaya wana Yanga SC mpaka Kutudhalilisha leo kwa Upumbavu Wetu na kwa Utashi fulani tumemkaribisha Kwetu"

"Kama ameweza Kuwatukana na Kuwachafua wale aliokuwa akiwapenda na Kuwatumikia kwa Moyo wake wote leo wana Yanga SC tuna uhakika gani kuwa huyu Msemaji mpya Mchumia Tumbo Siku akishindwana nasi na Kuondoka hatoenda Kutusema nasi vibaya huko atakakokwenda? Inasikitisha mno"

Ukiwa mwana Yanga SC mwenye Akili fupi unaweza kudhani hizi ni Hasira zake tu binafsi Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ), ila kwa wenye Akili Kubwa akina Mightier hapa tumegundua na tuna uhakika kuwa haya aliyoyasema ndiyo haya haya Machungu yaliyomo ndani ya Ubongo na Moyo wa Baba yake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.

Sasa ni rasmi kuwa Ndoa ya Ridhiwani Kikwete (MB Chalinze) ambaye ndiye kwa Maagizo ya Baba yake wamewaleta hapo Yanga SC akina GSM inaelekea Kuvunjika na hii si dalili njema kuelekea katika Uwekezaji.

Haya wana Yanga SC mliopo hapa JamiiForums (ambao hamchangii Pesa yoyote Yanga SC zaidi ya Kudemka tu) njooni mumbishie mwenye Yanga SC yake Ridhiwani Kikwete (tena mpaka huwa anatoa Pesa zake kuisadia) kama mna Ubavu huo Kudadadeki zenu.

Na baadae ikinipendeza Mightier nitakuja na Exclusive Thread ya kuhusu Matawi Makubwa ya Yanga SC hapa Dar es Salaam dhidi ya Injinia Hersi Said kwani kwa Mapovu yao dhidi yake na Kumchukua Haji Manara Yanga SC ikifungwa na River United FC katika CAF CL na Simba SC katika Ngao ya Hisani anaondoka Yeye na Manara wake.
 
Huu nao ni upuuzi..
Utasemaje mqenye yake yake wakati kunabwatu wanaajiriwa bila ridhaa yake? Yaani Manara...hili bandiko ni uzandiki tafuta pesa hutasugua tako kuwaza upupu huu
 
ONLY FOOLS WILL BELIEVE THIS.
 
Twende mbele,turudi nyuma, hata kama hizi taarifa ni kweli ama si kweli.."Mwenzako akinyolewa zako tiamaji"..Wananchi mnapaswa kukaa na huyu msemaji wenu kwa tahadhari sana..
.."A ticking time bomb"

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Umemkuza sana Ridiwani hapo kwenye umuhimu na ukubwa wake ndani.
65% ya Mafanikio ya Yanga SC leo hii mpaka ujio wa hawa GSM wenu umetokana na Yeye pamoja na Baba yake Rais Mstaafu Kikwete.

Je, Wewe unayepinga / kukataa hili umechangia nini katika Mafanikio haya Kiduchu ya Yanga SC? au unataka niseme mengine yaliypjificha ya kuhusu Ridhiwani, Baba yake na hawa GSM Wenu?
 
Twende mbele,turudi nyuma, hata kama hizi taarifa ni kweli ama si kweli.."Mwenzako akinyolewa zako tiamaji"..Wananchi mnapaswa kukaa na huyu msemaji wenu kwa tahadhari sana..
.."A ticking time bomb"

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Ukisema hii Taarifa na hizo Nukuu si za kweli unanikoea na ukiweza niombe Radhi kwani hujachelewa bado.

Ni Clip ambayo ipo tokea Jana na tena inasambaa sana katika Makundi ya WhatsApp na hata 95% ya Waandishi wa Habari wa Michezo nchini wanazo hivyo ni Jukumu lako kuitafuta na kuiomba huko ili Ujiridhishe nayo.

Labda tu Ridhiwani Kikwete ( Mbunge Chalinze ) kwa Kuwaogopa Yanga SC ajitokeze na akanushe kuwa ile siyo Sauti yake na ni Voice Cloning tu iliyofanywa na Wahuni. Ila Sauti ya Ridhiwani Kikwete wengi Wetu tunaijua kabla Baba yake hajawa Rais, alipokuwa na alipomaliza muda wake.
 
65% ya Mafanikio ya Yanga SC leo hii mpaka ujio wa hawa GSM wenu umetokana na Yeye pamoja na Baba yake Rais Mstaafu Kikwete.

Je, Wewe unayepinga / kukataa hili umechangia nini katika Mafanikio haya Kiduchu ya Yanga SC? au unataka niseme mengine yaliypjificha ya kuhusu Ridhiwani, Baba yake na hawa GSM Wenu?
Mkuu uwekezaji wa Rizmoko na dingi wake ni zaidi ya ujio wa GSM. Rudi nyuma sana wakati Yusuf Manji akiwa na kashafa ya kupiga hela ya NSSF na PPF nani alimjua huko Yanga? Wakati ule Yanga ilichafukwa mno na migogoro mikubwa mno. Mzee wa Msoga akiwa mtawala wa nchi na Yanga lialia akamtuma mwanawe kwa Manji kuwa hiyo hela aliyopiga akaitumie kumaliza mgogoro wa Yanga. Huo ndiyo ulikuwa ufufuo wa Yanga na pia ndiyo ikawa manukato yaliyotakasa uvundo wa Yusuf Manji na kashfa ya NSSF na PPF, mengine yakapikwa kikubwa ikabaki historia hadi leo. Kabla ya kashfa ya NSSF na PPF Manji hakuwa mdau wa Yanga. Hivyo Rizmoko na dingi wake wana input kubwa sana kwa Yanga hii .
 
Nadhani Watu wengi mmebahatika Kuisikiliza Clip inayosambaa kwa Kasi sasa Mitandaoni ya Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ) hivyo nami nitaweka tu hapa Nukuu zake Tano tu zenye maana na umuhimu.

"Wana Yanga SC Wenzangu yatupasa sasa Kubadilika japo wenyewe tunajiona tunapatia kumbe tunakosea. Kuizungumzia Simba SC kila mara tusidhani kuwa tunaishusha bali tujue kuwa ndiyo Kwanza tunazidi tu Kuipaisha"

"Tukatae tukubali Wenzetu wa Simba SC Kibiashara wametuzidi na hili Wala halihitaji Mjadala hivyo ni Jukumu letu wana Yanga SC nasi Kujitangaza zaidi kwa Mambo na Maendeleo yetu kuliko kila mara Kuizungumzia Simba SC wakati Sisi bado tuna Safari ndefu ya Kufikia pale walipotutangulia"

"Yaani wana Yanga SC Wenzangu tunaacha kutumia Nguvu Kubwa kutangaza Jezi zetu ambazo bado hazijauzika kihivyo Sisi tuko busy Mitandaoni na Vijiweni Kukosoa Jezi za Simba SC ambayo hata Kimafanikio ya Kimpira kwa sasa wameshatuzidi. Huu ni Upuuzi mkubwa na yatupasa kubadilika"

"Nimesikitika sana kuona Leo hii Yanga SC tumemchukua aliyekuwa Msemaji wao Mkuu ambaye ni Mchumia Tumbo na Kumuamini na kuwa nae. Huyu ndiyo Mtu ambaye Kutwa alikuwa akitutukana vibaya wana Yanga SC mpaka Kutudhalilisha leo kwa Upumbavu Wetu na kwa Utashi fulani tumemkaribisha Kwetu"

"Kama ameweza Kuwatukana na Kuwachafua wale aliokuwa akiwapenda na Kuwatumikia kwa Moyo wake wote leo wana Yanga SC tuna uhakika gani kuwa huyu Msemaji mpya Mchumia Tumbo Siku akishindwana nasi na Kuondoka hatoenda Kutusema nasi vibaya huko atakakokwenda? Inasikitisha mno"

Ukiwa mwana Yanga SC mwenye Akili fupi unaweza kudhani hizi ni Hasira zake tu binafsi Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ), ila kwa wenye Akili Kubwa akina Mightier hapa tumegundua na tuna uhakika kuwa haya aliyoyasema ndiyo haya haya Machungu yaliyomo ndani ya Ubongo na Moyo wa Baba yake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.

Sasa ni rasmi kuwa Ndoa ya Ridhiwani Kikwete (MB Chalinze) ambaye ndiye kwa Maagizo ya Baba yake wamewaleta hapo Yanga SC akina GSM inaelekea Kuvunjika na hii si dalili njema kuelekea katika Uwekezaji.

Haya wana Yanga SC mliopo hapa JamiiForums (ambao hamchangii Pesa yoyote Yanga SC zaidi ya Kudemka tu) njooni mumbishie mwenye Yanga SC yake Ridhiwani Kikwete (tena mpaka huwa anatoa Pesa zake kuisadia) kama mna Ubavu huo Kudadadeki zenu.

Na baadae ikinipendeza Mightier nitakuja na Exclusive Thread ya kuhusu Matawi Makubwa ya Yanga SC hapa Dar es Salaam dhidi ya Injinia Hersi Said kwani kwa Mapovu yao dhidi yake na Kumchukua Haji Manara Yanga SC ikifungwa na River United FC katika CAF CL na Simba SC katika Ngao ya Hisani anaondoka Yeye na Manara wake.
Naunga mkono hoja ya Ridhiwani. Yanga wamefanya ushamba uliopitiliza.

Ila mleta mada na wewe baada ya kumaliza kum quote Ridhiwani, umeamua kurejea kwenye "umanara" wako maana umefanya kile kile anachokifanya Manara!
 
Ndio unaibuka na huu ujinga leo? Wenzako waliweka audio kabisa watu wakaipotezea karibia wiki imeisha wewe ndio unapoteza muda wa kufanya kazi kwa kuandika mautopolo hayo halafu uke ullamike makato ya miamala.wakati unatumia kuandika maujingaujinga?
 
Kwa povu hili najua kuwa imeshapenya.
 
Back
Top Bottom