haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jibu rahisi tu Kwenu kwa wale mnaomshangaa Haji Manara kwa Kauli zake kwa Pro - Magufuli dhidi ya wale Anti - Samia

    Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro. Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania CCM kemeananeni mapema na muonyeni Haji Manara kavuka mstari

    CCM mkiendelea hivyo mlivyo sasa kwa kila mtu kutoa tamko mnapotea. Hebu acheni huo ujinga! Haji Manara kaenda mbali sana kuwataka ndugu wa marehemu watulie je tafsiri yake ni ipi hapa na ni marehemu yupi anayemsema?! Shauri yenu.
  3. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Haji Manara awatolea uvivu wafuasi wa Magufuli. Awaambia wamuache Mama afanye kazi

    Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia. Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi. Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara bado tu unamuamini Alex Mgongolwa kuwa ishtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila Mkataba na atakusimamia Kisheria ushinde?

    Halafu nashangaa sana kuona ya kwamba ulitumia Nguvu Kubwa Kulisemea hili Mitandaoni huku Ukiwatisha Simba SC lakini ghafla ukapoa na sasa hivi hutaki hata Kuliongolea. Tunajua ni huyu huyu "Failure Lawyer' Alex Mgongolwa ndiyo alikutia Ndimu ( Kushawishi ) uwashtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila...
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: MO hatakiwi kupata cheo cha urais

    Haji Manara awaponda Viongozi wa Simba kumpa Urais wa Heshima Modewj, katika mazungumzo yake anadai kuwa, "Nchi Hii ina watu wa ajabu Kabisa, Wasomi wetu ni hovyo Sana, Hastahili hata Kuwa kiongozi wa Mtaa". Toka zamani, Haji Manara anapenda sana mpira wa miguu ama ukipenda football. Kumbuka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

    Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC. Kuna sababu Kuu Nne ambazo niliziona wakati nachangia huo Uzi kuwa Chama atatua Yanga SC moja ikiwa ni ukaribu wake na Ridhiwani...
  7. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ni mzima kweli?

    Haji manara vipi kuhusu goli la Joash Onyango dhidi ya gwambina? Vili kuhusu folul ya nnje ya box aliyocheza Joash Onyango dhidi ya Tusila Kisinda na mwamuzi akasema ni penati
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Haji Manara asijivishe U-mungu

    Anakera sana huyu mtu. Sijui nani alimwabia yeye ndiye kila kitu katika hii dunia? Halafu akiambiwa ukweli anajificha kwenye upungufu wa melanin kwenye ngozi yake (albinism) na kuanza kuomba huruma kwa umma. Haya siyo maneno ya kuongea hata kidogo.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC, Haji Manara angeshinda tuzo mngeanzisha 'threads' nyingi hivi kuhoji na kumchafua Bongo Zozo?

    Endeleeni kuanzisha 'Threads' zenu hapa za Kumnanga na Kumchafua ila kaeni tu mkijua kuwa Bongo Zozo ndiyo Mshindi wa Tuzo na wala Waandaaji TFF hawatomnyang'anya na kumpa Msemaji wenu Mnafiki, Mpuuzi na Mswahili Haji Manara. Kwahiyo Siku zote mlikuwa mnasubiria mpaka Bongo Zozo apate Tuzo hapa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhamia Yanga SC na kuidhalilisha Simba SC, leo Haji Manara akishinda tuzo ya msemaji bora wa Simba SC ataikataa?

    Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya kuhamia Yanga SC. Alivyo mtupu Kichwani najua akishinda ataenda Kuipokea ila kwa mwenye Akili Timamu...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ya Haji Manara na kisa cha Chanjadi, Mkristo wa Kinondoni

    Miaka ya tisini Na mwanzoni mwa miaka ya elfu 2 mitaa ya kino Kuna brother mmoja alijulikana Kwa Jina la Chanjadi. Chanjadi alizaliwa katika familia ya Kiislamu. Kama ilivyo ada kwa watoto wa Kino chanjadi ishu zake nyingi alikuwa anafanyia Dizonga. Siku moja Chanjadi from nowhere akawaambia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara naye siku hizi hamnazo! Kumbe hakukosea!

    Kumbe Haji Manarà alikuwa sahihi aĺiposema mtu ukiwa yanga unajikuta kichwani hamnazo. Yeye mwenyewe yamemkuta hayo hayo! Zilikoenda akili hata yeye mwenyewe hawezi kujua!! Utopolo sijui wanalogana namna gani!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alikuwa sahihi kwa kauli yake hii

    Ukipitia comments za mashabiki wa yanga aka utopolo baada ya Simba kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania huko Botswana, utafikia hitimisho kuwa Haji Manara alikuwa sahihi kwenye kauli yake kuwa mtu akiwa yanga hata kama ni profesa bado kichwani atakuwa na walakini! Mtu anakuambia eti timu zote...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nimezima East Africa Radio, kuna jamaa anasema Manara ndiye aliyeifanya Simba SC kuwa kubwa

    Nimezima na redio kabisa kuna jamaa anasema manara ndiye aliyeifanya simba kuwa kubwa na kwa sasa hamna kitu sababu mashabiki wengi wamemfata utopoloni. Hivi ile sheria ya kuwa na chetti kwa hawa watangazaji inaanza lini jamani Kipindi kinaitwa kipenga xtra zengwe, kama walevi vile
  15. Pununkila

    JamiiForums Tanzania Haji Manara nawapeleka Simba mahakamani kwa kunifanysha kazi bila mkataba

    Msemaji wa Dar es Salaam Young Africans HAJI SUNDAY MANARA amekaririwa na vyombo vya habari akisema ya kuwa anaenda MAHAKAMANI kuishtaki Simba kwa kosa la kumfanyisha kazi kwa miaka mingi bila kumpatia mkataba. Vilevile kosa Hilo ni sambamba na kutomwekea pesa zake katika mfuko wa hifadhi za...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati Msemaji wa Yanga SC Haji Manara akitaka Kuigombanisha Serikali na CAF hivi ndivyo Mchambuzi Bora EFM Jemedari Said alivyomuelimisha

    "Yanga SC haihusiki kabisa na Kupima COVID-19 Wachezaji wa Timu ngeni na waulizwe Serikali ya Tanzania. Na kuhusu hao Mashabiki kuingia waulizwe TFF na Watu wa Wizara na siyo Sisi Yanga SC" Haji Manara Msemaji wa Yanga SC. "Haji Manara na Yanga SC yake wasitake Kutupa lawama kwa Watu wengine...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hoja kwamba eti Haji Manara bado ana mapenzi Na Simba ni uthibitisho kwamba watanzania wengi Wana uelewa mdogo Sana kuhusu" Human Psychology"

    An evarage Tanzanian person is presumed to possess a very little understanding about human phsycology. Yani kwenye uelewa kuhusu saikoloji ya binadamu, watanzania wengi ni bure kabisa.. Ukitaka kujua kwamba watanzania wengi Wana mafuta ya taa kwenye vichwa vyao Na kwamba Hawana hata uelewa wa...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bila kukusudia Haji Manara ameitia hasara kubwa Simba, Inaugua ugonjwa wa Manara Syndrome

    Ili kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia...
  19. demigod

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Ni Dhahiri Kuwa Ilikuwa ni lazima Haji Manara aondoke Simba SC Kumpisha Barbara

    Wanamazengo, Hivi mmegundua kuwa licha ya Simba SC kupata msemaji wa muda - Bw Ezekiel Kamwaga, nafasi na majukumu mengi anayopaswa na kutakiwa kuyafanya anayafanya CEO wa klabu? Je, tunaweza kukubaliana kuwa ni sawa kwa CEO kuingilia majukumu na wajibu wa nafasi ya mtu mwingine? Sote tunajua...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) yamuumbua Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Kiherehere chake na Kudemka Kwake

    Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu) Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara...
Back
Top Bottom