hadithi

  1. JamiiForums Tanzania Hadithi: Kifo cha mwandishi

    HADITHI: KIFO CHA MWANDISHI SEHEMU YA KWANZA Mtunzi: More Mawasiliano: 0756320219 Hadi nafika nusu ya safari yangu bado nilikuwa nikijiuliza kama uamuzi wa kuwa na safari hii ulikuwa sahihi. Kila mara nilikuwa nikijaribu kubashiri matokeo ya safari yangu lakini sikuona yaliyo bora mbele yangu...
  2. JamiiForums Tanzania Hadithi Ndoa yangu inanitesa

    NDOA YANGU INANITESA Nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni moja ya usafirishaji wa madini kutoka Tanzania kupeleka Bang kok nchini Thailand. Kampuni yetu ikiwa ya mtu binafsi na ilikuwa Mkoani Arusha. Mimi Sweedy Kachenje ndiye niliyekuwa idara ya usafirishaji, nikiwa afisa mauzo. Katika maisha...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuziamini ndoto baada ya kuota nipo na Rais Samia kisha nikapata kazi

    Habari za mchana, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja. Mimi nilihitimu chuo kimoja maarufu hapa nchini mwaka 2015. Tangu mwaka 2015 nlikuwa naishia tu kupata viajira vya kubangaiza bangaiza. Sasa mwaka huu mwezi wa nne tarehe 3 niliota ndoto ambayo nlivyoamka nikaitafakari sana sikupata...
  4. JamiiForums Tanzania Hadithi fupi ya mapenzi

    SIMULIZI FUPI, LOVE STORY Kijana mmoja alitokea kumpenda sana dada mmoja ijapokuwa dada huyo alikuwa akimtolea nje mara kwa mara lakini kijana hakukata tamaa, akiendelea kurusha ndoano huku akiamini siku moja atafanikiwa. Siku moja dada huyo akiwa yupo nyumbani aliamua kumpigia simu huyu kaka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya mjukuu kifuani mwa babu na Lissu anayecheza na akili za watu majukwaani

    Hakuna mahali salama kwa mjukuu wa chini ya miaka miwili kulinganisha na kifuani kwa babu yake anapolala baada ya kuzidiwa na usingizi unaotokana na utamu wa hadithi ndefu. Huwa wajukuu wanasinzia upesi mno na mara nyingi hadithi haifiki hata nusu ya urefu wake, wao wakiwa wameshasinzia. Mtoto...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Hadithi ya mabadiliko Tanzania

    Nuru ya uwajibikaji Mara nyingi, nchi yetu ya Tanzania imejikuta ikisakamwa na changamoto nyingi za utawala bora na ukosefu wa uwajibikaji. Lakini katika kiza kirefu, nuru ya matumaini inang'aa. Hii ni hadithi ya mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ambayo yameleta mabadiliko makubwa...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Hadithi ya Wanyama wa Msitu: Jinsi Uwajibikaji na Utawala Bora ulivyosaidia kuleta Mabadiliko Chanya katika Jamii Yao

    HADITHI YA WANYAMA WA MSITU: JINSI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA ULIVYOSAIDIA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII YAO. Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Picha | Msitu wa kijani kibichi Katika msitu wa kijani kibichi, wanyama mbalimbali walikuwa wakiishi kwa amani na utulivu. Hata hivyo, katika...
  8. JamiiForums Tanzania Hadithi Fupi: Vita vya Maji Mengi

    Na: Mwalimu Makoba "NI hadithi kama hadithi za sungura na fisi. Haihusiani na tukio lolote halisi." Sehemu ya Kwanza Hapo zamani za kale watu kutoka mbali waliwavamia Wenyeji. Watu hawa waliwachukua na kuwauza kama anavyouzwa mbuzi mnadani. Ili kujihakikishia Wananchi hawafurukuti au...
  9. JamiiForums Tanzania Hadithi: Kichaa cha Mpenzi

    Sehemu ya 1 JINA lake kamili aliiitwa Meddie Manyara. Hii ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga katika majengo ya Shule ya Sekondari ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meddie alikuwa amehamia katika shule hiyo na kujiunga kidato cha nne akitokea Tabora alikokuwa akisoma katika Shule ya...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Maadili ya Uongozi: Hadithi ya Simba Mfalme na Nyani Mjanja

    MAADILI YA UONGOZI: HADITHI YA SIMBA MFALME NA NYANI MJANJA Imeandikwa na: Mwl.RCT Katika hadithi hii, nataka kufikisha ujumbe kuhusu maadili ya uongozi na jinsi yanavyoathiri jamii. Hadithi yangu inahusu simba, mfalme wa wanyama, na nyani, mshauri wake. Hadithi yangu inatokea katika hifadhi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hadithi: Mpangaji (1)

    Chombezo : Mpangaji Sehemu Ya Kwanza (1) 15 Feb IMEANDIKWA NA : FRANK MASAI ***************** Naitwa Prince au Prince Mukuru kwa jina langu lote kwa ujumla. Baba yangu alikuwa ni mfanyakazi katika shirika la reli la Tanzania ila sasa hivi ni mfanya biashara za binafsi zinazo muingizia fedha...
  12. JamiiForums Tanzania Hadithi: Mzaha wa damu

    Wakuu! Nimerudi mapema kuliko nilivyotarajia. Hii ni kutokana na sababu kadhaa Mosi, nilifanikiwa kupata device nyingine japo sio yenye vile viwango nilivyotaka lakini inaweza! Pili , watu wengi wameonyesha upendo wa Hali ya juu kwangu! Kwa hivyo, nimekuwa nikipokeaa simu na jumbe nyingi na...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri muhimu kwa uongozi wa Yanga na mashabiki wa Yanga, hatutaki hadithi ya Simba na Jwaneng Galaxy

    Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar. Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa sababu wameshavuka malengo yaliyowekwa kuingia kwenye makundi, wanachotupa kwa sasa ni bonus tu...
  14. JamiiForums Tanzania Hadithi: Mpangaji

    Karibuni Tena katika story hii Kama kawaida ni mwanzo mpaka mwisho hakuna kuishia njiani Kutoka "madam president" na ",kesi ya Mzee Mnyoka" Ssa Leo tunaanza kisa kingine Cha Mpangaji Mtunzi ni Mimi mwenyewe CK Allan (0746 Mia mbili sitini na sita mia mbili sitini na Saba) MPANGAJI 01...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiisoma hii hadithi unamuela Rais Samia kwanini alisema Stupid ila mpaka leo hatujui stupid ni nani

    “If to correct you must humiliate; you don't know how to teach.” An old man meets a young man who asks: “Do you remember me?” And the old man says no. Then the young man tells him he was his student, And the teacher asks: “What do you do, what do you do in life?” The young man answers: “Well, I...
  16. JamiiForums Tanzania Waislamu wa Tanzania wanasubiri Mufti atangaze Mwezi hadithi inasemaje?

    Waislamu wa Tanzania mnaomfuata Mufti Eid yenu ni lini. Kesho ni Eid fitri Saudi Arabia, UAE announce Eid al-Fitr will start on Friday Amani Hamad, Al Arabiya English Published: 20 April ,2023: 05:26 PM GSTUpdated: 20 April ,2023: 07:53 PM GST The first day of Eid al-Fitr will begin on Friday...
  17. JamiiForums Tanzania Hadithi fupi kuliko zote: Alaumiwe Yunge

    Yunge kamuua Mzee Buhabi Yunge kamuua Nzehe Yunge kamuua Tatu Yunge kamuua Yunge mdogo. Kabaki Yunge na bibi na wachawi wengine kijijini. https://www.jamiiforums.com/threads/true-story-babu-yangu-kama-mshikaji-wangu.2071926/
  18. JamiiForums Tanzania Hadithi: Kesi ya Mzee Mnyoka

    KESI YA MZEE MNYOKA 01 Mzee Mnyoka alikua na kawaida ya kuchelewa kurudi nyumbani kwake, Mzee Mnyoka hakua mlevi au mchawi lakini tuseme tu hakua na mazoea ya kurudi nyumbani mapema. Siku ya Alhamis Kama ilivyo kawaida yake Mzee Mnyoka alikua akirudi nyumbani kwake majira ya saa 4:45 hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Kutunukiwa Cheti cha kujali Maslahi ya Wasomaji wa hadithi JamiiForums

    Nimeambiwa na watu kadhaa pamoja na watunzi suala hili wakipendekeza kuwa inafaa nipewe cheti maana nmekuwa nikiwapigania hasa. Na waandishi kadhaa wameonekana kunishukuru kwa jinsi ambavyo nawakumbusha kwa upendo na unyenyekevu uso kifani suala la kuzingatia maslahi ya walaji yaani wasomaji...
  20. JamiiForums Tanzania Hekaya za Abuuwasi na hadithi zingine

    Wengi walisoma hizi hadithi zamani. Ngoja tujikumbushe humu. Pia unaweza kusioma ndani ya maktaba app na vingine zaidi ya 60. Tupm au namba 0715278384 ukitaka kuungwa. HEKAYA ZA ABUNUWASI NA HADITHI ZINGINE Bombay; London: Macmillan,1942. pictuspublishers@gmail.com Pictuss, 2021 YALIYOMO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…