habari

  1. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

    Wanabodi, Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
  2. JamiiForums Tanzania Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

    Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Habari Njema na Mbaya: Takribani 80% ya visa vya COVID19 haviambatani na dalili kali au za kutishia maisha

    Katika visa vilivyobainika duniani vya #CoronaVirus, asilimia 15 tu huambatana na dalili ya ugonjwa hatari wa mapafu “pneumonia”, kushindwa kupumua, oksijeni kupungua kwenye damu na matatizo mengine ya mapafu Asilimia takribani 5 huambatana na dalili hatarishi zaidi zinazoweza pelekea kifo kama...
  4. JamiiForums Tanzania Kipanya: Waandishi wa habari wanasubiri takwimu za covid-19

    Wasichoelewa ni kuwa takwimu zinatolewa J2 kanisani na mwenye mamlaka. Wengine wote W amepata sellotape midomoni.
  5. JamiiForums Tanzania Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

    Habari zenu jamani, Naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nimefanya kama mashilingi ni mwezi wa 6 sasa nipo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakini hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, nimemaliza Elimu ya Secondary mwaka 2017. Nashukuru nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kuchaguliwa hvyo kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye Ujasiliamali na kuweza kupata ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za...
  7. JamiiForums Tanzania Kwako Mbwana Mshindo mtangazaji wa habari za michezo pale Channel ten

    Ndugu Mbwana Mshindo salamu zipate, popote pale ulipo najua pengine upo humu unasoma hii ujumbe. Wewe ni mtangazaji mzuri mno, hukosei kosei, maneno yanatoka safi kabisa na una flow vizuri hongera sana. Ila unapokosea katika kutangaza pale jambo likaenda mrama usipanick na kuloose confidence...
  8. JamiiForums Tanzania Bahasha za kuwekea dawa, picha, passport, urembo, simu na matumizi ya ofisini kwako

    Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini. Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa...
  9. JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Habari! Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China. Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
  10. JamiiForums Tanzania Vyombo vyetu vya habari mmeshindwa kufafanua hii?

    Barua inayotoka ZARA yaani mamlaka ya kodi ya mapato Zambia ambayo nami naiambatanisha haijakusudia kufunga mpaka wala haina mamlaka ya kusimamia ulinzi mipakani, one border post maana yake ni kituo Kimoja cha forodha, na Ndicho kilichofungwa, wakati uhamiaji wakiendelea na shughuli zao za...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Habari njema: SIDO Arusha watengeneza Hema la kujifukizia nyungu

    Watanzania wameendelea kuwa wabunifu katika kujenga mikakati imara ya kukabiliana na janga hili hatari la Corona. SIDO mkoani Arusha wametengeneza hema maalumu kwa ajili ya kujifukizia au ukipenda kupiga nyungu. Hema hilo ni mfano wa kama kibanda kidogo cha turubai ambacho mhusika ataingia...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

    Mkutano wa M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara hii leo Mei 14, 2020 kwa lengo la kuzungumza na umma, hautafanyika kwa kuwa Mbowe ametakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay. Mkutano huu umehairishwa baada ya M/ kiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe wakati...
  13. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

    Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni. =============== Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Habari Njema: Mtoto wa Mbowe apona Corona

    Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona . Nakala imfikie Shetani popote alipo .
  15. JamiiForums Tanzania Corona: "Media tunakufa kizungu na tai shingoni!", asante Waziri Mwakyembe kutambua mchango wetu. Serikali/jamii please do something, tutakwisha

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Habari Njema: Tiba Lishe Ya NIMRI Yaanza Kufanya Maajabu Katika Kuwaponya Wagonjwa wa Covid 19

    Hatimaye watafiti wetu wa tiba mbadala wameanza kupata matokeo chanya katika kuwatibu wagonjwa wa Korona. Kumbe walikuwa katika utafiti kwa muda mrefu tu wakitafiti dawa ya HIV. Na sasa lilipokuja hili la korona wamefanya maboresho wanayoyajua wao. Hatimaye matokeo mazuri yamepatikana...
  17. JamiiForums Tanzania Habari za corona katika picha

  18. S

    JamiiForums Tanzania Ninaota tu: Ubongo wetu unahitaji na habari kama hizi kwa afya yake sio covid -19 twenty four hours

    Wakuu masikio yetu yanahitaji pia kusikia habari tofauti na mambo ya covid-19,bila kupoteza Muda twendeni kwenye mada moja kwa moja. Binafsi ningekuwa Mimi ndio nayeteua watukushika nyadhifa mbalimbali, Kamanda Kova nisingemsahau angekuwa mtu wa Kwanza kumpa kitengo hasa kwenye maeneo...
  19. JamiiForums Tanzania Live on Star TV, Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe azungumzia changamoto za Corona Sekta ya Habari

    Karibu Paskali
  20. JamiiForums Tanzania Una swali lolote kwa Waziri wa Habari, Dk. Harrison Mwakyembe? Atakuwa live Star TV kuzungumzia Sekta ya Habari na janga la Corona, uliza hochote

    Wanabodi, Je, una swali lolote la kihabari, kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe? Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe, kesho asubuhi, kuanzia saa 1:30-3:00 atakuwa live kujibu maswali yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…